Najua kua humu ndani kuna wanasheria waliobobea.Hivi CCM inapoamua kumpiga mtu au kundi la watu picha na kuamua kuweka publically kwenye mabango yao na bila ridhaa ya watu husika kwa manufaa ya chama na sii taifa.Je watu hawa waliotendewa sivyo,wana haki gani kisheria?Kwnini picha za watu zitolewe bila ridhaa zao?Je wanaweza kudai fidia?Wanasheria mpo hapo?Tusaidieni