Mabanda ya kisasa ya kuku {chicken cages} naweza kupata wapi?

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Habari wakuu,

Katika kuperuzi mitandaoni nikaona kuna mabanda ya kisasa yanayoitwa chicken cages ambayo mayai hujikusanya yenyewe na kuyasafisha ni kazi rahisi.

Naomba msaada ni wapi wa kuyapata, au sehemu ambayo wanauza pembejeo za ufugaji kuku?

Nipo Dar es salaam..
 
Kuna kama kampuni tatu hivi.Hebu tafuta mtandaoni kampuni hii : BALTON...? (T) Ltd kama sijasahau jina.Niliwaona NANENANE Arusha 2015.HQ wapo Mikocheni Dar.Nitatafuta vipeperushi nikupe namba za simu.Kuna za kuku 96 na 192 etc.Kama una uwezo ni nzuri sana.Bei nilizoziona ni kati ya TZS 700,000/= mpaka 1,700,000/=.Mayai hayachafuki,chakula hakipotei,ukiweka chakula na maji asubuhi saa 12 huhangaiki tena mpaka jioni saa 12, kufanya usafi ni rahisi sana.Hayo ni maelekezo niliyopata kule Arusha.
 
Afri green

Wapo mikocheni njia ya kwenda Hurbert kairuki hospital

Wanauza Automatic incubator's na Chicken cage's

Namba yao 0658 939091
 
Kuna kama kampuni tatu hivi.Hebu tafuta mtandaoni kampuni hii : BALTON...? (T) Ltd kama sijasahau jina.Niliwaona NANENANE Arusha 2015.HQ wapo Mikocheni Dar.Nitatafuta vipeperushi nikupe namba za simu.Kuna za kuku 96 na 192 etc.Kama una uwezo ni nzuri sana.Bei nilizoziona ni kati ya TZS 700,000/= mpaka 1,700,000/=.Mayai hayachafuki,chakula hakipotei,ukiweka chakula na maji asubuhi saa 12 huhangaiki tena mpaka jioni saa 12, kufanya usafi ni rahisi sana.Hayo ni maelekezo niliyopata kule Arusha.
shukrani sana mkuu
 
wanaitwaje aisee au magomeni sehemu gani?
Yeah yeah niliwaona juzi, wako nyuma ya Kanisa la Sabato. Nilipita nikaona duka lao na hio Cage ni nzuri na ni ya Kuku 100. Wanauza laki saba. Ni nzuri sana niliipenda hadi nikajiuliza kwanini VETA wasibuni kitu kama hiki na wakakiuza kwa bei ya chini kidogo?
 
nashukuru kwa taarifa mdau
 
Namtafuta jamaa mmoja aliingiza hizo cage kama wiki mbili zilizooita nijuwe imem Cost kiasi gani
 
Cage ya kuhifadhi kuku 1000 ni around 2000 usd. Na uzito wake ni kama 970kgs hiyo ni volumetric.
 
Back
Top Bottom