Mabalozi Wapya - Utamaduni wa kuzungusha viongozi!

Kweli Tanzania ni kisiwa cha amani na utulivu!


Wangeteuliwa john, michael, frank ungesema wanasifa stahiki kwani wameenda shule mburula mkubwa wewe chuki zenu dhidi ya majina issa, rajabu zitaisha lini? jaribu kuangalia tanzania ina mabalozi wangapi wa upande wako na wangapi wasio wa upande wako.
 
Unaju ani lazima uelewe tabia za JK kabla hujaelewa matendo yake ambayo ni pamoja na chaguzi zake za viongozi,

(1). JK ni mtu simple sana kuliko wachangiaji wengi wanavyomuandika humu, halafu ni mtu anayependa sifa na kukubalika na wengine, halafu ni mtawala anayetaka kuhusika na kila uamuzi hata uwe mdogo kiasi gani ni lazima ahusike, na issue nyingi alishazifanyia uamuzi siku nyingi kabla hajawa rais, kwa hiyo zikitokea yeye huamua tu bila hata kujali matokeo. Sasa kwa sababu ni mtu simple basi na marafiki zake wa kweli ni watu simple, na hata ukiangalia mistress wake siku zote ni wale wale simple simple, kwa hiyo msishangae kuona kuwa kunakuja viongozi wengi ambao ni simple simple kama yeye!

(2). Baada ya kuwalipa Mtandao kwa kuwapa vyeo vikubwa, sasa umefikia wakati wa kuwaweka viongozi royal kwake binafsi katika sehemu zote nyeti, nao watakuwa ni Wakwere au kutoka kabila lolote la karibu na Wakwere, walioko sehemu za Pwani, sasa hivi kuna nafasi ya Uslalama, inakuja august, na Jeshi. Makamba, Ditopile, Abdulaziz, Sisco, Balozi Idd, Shamuhuna, Khatibu, Mapuri, na the likes, hawa sasa ndio wenye nafasi kubwa ya kuwa watawala wa bongo, sasa ukiangalia hayo majina utaelewa ninachosema, kwani hawa ndio waaminifu wa kweli kwake, uwezo wao kikazi sio neno kwani siku zote kuna wasaidizi!

(3). Je kuna udini? Swali linapaswa kuwa according to our experience as a nation, nini faida na hasara ya viongozi kuwa wadini? Hili lilianza na Mwinyi matokeo yake by the time anaondoka tukajionea maandamano, kuchomwa mabucha, na mauaji ya Mwembe chai, cha ajabu ni matatizo toka upande mmoja tu! Sasa here we are, Jk anaanza tena kuchagua waisilam tu, I mean huwezi kusema eti sio tija, Hell NO! katika nchi yenye dini sensitivity kama bongo huwezi kusema viongozi watano wakichaguliwa Waisilam ni ok, suala la uwezo hilo halina ubishi kwani ni kwa nini walitolewa huko walikokuwa? Adadi kwa nini alitolewa kule polisi? Mapuri kwa nini hakupewa uwaziri tena? Kwa hiyo sio siri kuwa hawa watu hawana uwezo wa uongozi, kuwapeleka huko nje ni kutudhalilisha wabongo!

JK tayari ameshaanza kukubali pole pole kwa matendo yake kuwa na yeye uwezo wa kuongoza kama rais ni mdogo, tena sana, unapoanza kuchagua viongozi wasiokuwa na uwezo ili mradi tu wakusifie basi ni dalili za ngvu ya soda kuwa inaanza kufikia mwisho. Viongozi wengi wanaoelewa kinachoendelea sasa hivi hawataki tena kumsikia Mkapa, maana ndiye chanzo cha haya mauza uza! EL peke yake hawezi kuleta mabadiliko, kwani sasa hivi ndiye anaye-run serikali technically, otherwise Watanzania tutajiongoza wenyewe for thr next ten years kama vile enzi za Mwinyi!
kwenda zako na hoja zako dhaifu, unajua tz ina mabalozi wangapi nje? wangapi wakristo? mbona waislam wanasema balaza la mitihani la taifa lipo kwaajili ya kupendelea wakristo kwani toka liundwe haijawai kuwa na katibu mkuu muislam nyie mnabisha na kusema wanaoteuliwa wana sifa? juzi tu wametoka kufelisha kwa masudi watoto wa kiislam wakasingizia kompyuta
 
Bila ya shaka hadi sasa mtakuwa mmeshapata habari kuwa Mhe. Kikwete ameteua mabalozi wapya. Wengi wao ni wapya na wengine ni wa zamani. Wengine haina hata mantiki sijui kwa nini wamepewa ubalozi!! Baadhi ya uteuzi huo.

Mhe. Ramadhani O. Mapuri - Balozi mpya China....

Kamanda Adadi Rajabu - Balozi Mpya Harare Zimbabwe!!

Balozi Kibelloh - Atolewa Uingereza na kwenda Paris

Balozi Daraja wa US..??????????????????
Safi
 
Back
Top Bottom