Mabalozi wa CCM Igunga wataka kujivua gamba; Wadai rushwa ilitumika

Hawa mabalozi inabidi kuwa karibu nao kwa upole na urafiki mzuri kwani wana siri nyingi wanazojua hawa wanamagamba kutumia kuiba kura
 
Si lazma wawe viongozi kuielezea jamii yaliyojiri uzalendo tu unatosha ! Safi sana
Aaah! kama ni hivyo basi poa. Kuna skendo la RA na wapinzani, litatolewa muda si mrefu. Politics is a dirty game,unadhani RA na wafuasi wake wamefurahia matokeo?
 
Kama imethibitika hivyo, basi matokeo yatenguliwe na yule aliyekuwa wa pili apewe Ubunge, kupunguza gharama za kampeni tena. Nashauri CDM tumieni ushahidi huo mahakamani. Mh. Tendwa, sheria yako ya vyama vya siasa inasemaje ikithibitishwa kuwa mgombea wa chama fulani ameingia madarakani kwa rushwa??
 
Wanafki watupu. Wamechangia kuwadhulumu wana Igunga haki yao ya kumchagua kiongozi wanayemtaka.
 
Hao ni wanafiki wakubwa usikute wamepigwa panga kwenye mgao. walikuwa wapi wakati wa uchaguzi si wangesema kabla ya hesabu ya kura?
 
Yametokea hayo ila tuwape nafas ya kuwakomboa toka kwenye fikra mfu,tatizo lao n elimu naona yalowapata yatoa fundisho ktk jamii kwa ujumla wake.Ndo funzo kwa kila dhulumat kujuta na pia jasho ka mjonge haliliw bure.
 
Matokeo Nepi alitangaza kabla hata ya tume..Wajue Tanzania ilipotoka na sasa ni tofauti.CCM inatakuja anguka kifo cha Mende
 
nadhani tatizo ni mgao tu, hawa hawana lolote ni sehemu ya wanafki ndani ya ccm, tena nashauri CHADEMA isipende sana wanachama wenye asili ya ccm wengi wao hawana nia ya kweli ukombozi wa nchi wamekaa kinafki nafki tu.
 
huu ni unafki wa hali ya juu, chonde chonde CHADEMA msipende watu wa jinsi hii wana asili ya usaliti
 
Back
Top Bottom