Mabalozi CCM wanaswa wakiandikisha wapigakura

watajibadilisha badilisha lakini wananchi walisha wachoka CDM songheni mbele hata wakifanya hivyo bado ni kitenda wili kinawangoja 2015 itakuwaje watajikusanaya kama wanavyofanya hivi?

Kila siku tunawaambia magamba ni mafisadi na wezi waliokubuku wanabisha. sasa hebu ona wizi huo wa mchana kweupe, na bado mambo watuumbuka zaidi na zaidi hapo Igunga

Ipo sababu moja tu kwa nini CCM wanakusanya kadi na majina ya wapiga kura!..
Siku ya kupiga kura wale wote wenye kadi hizi watakapo kwenda kupiga kura wataambiwa kadi zao zina matatizo na billa kuambiwa ukweli majina yao yatakuwa tayari yameisha jazwa ktk kadi za kura kumchagua mbunge wa CCM. Kwa hiyo, siku ya kura tegemeeni sana kuona watu wakirudishwa ama kukataliwa kupiga kura na pengine kusingiziwa kuwa wahalifu walitaka kupiga kura mara mbili.

Chadema muwe makini pamoja na vyama vingine vya upinzani. Wanavyoorodhesha majina inawezekana wakishayapata hayo majina na namba zao watayaondoa kwenye list siku ya kupiga kura na kusababisha usumbufu vituoni iliwaseme uchaguzi umevurujika.

Na kweli magamba wakitukanwa ni halali yao.

07kurabalo.jpg
Nghoboko Masele aliyejitambulisha kama balozi wa nyumba kumi kumi wa CCM, katika kijiji cha Mwayunge Mashariki Kata ya Igunga, akiwa chini ya ulinzi baada kukamatwa na wafuasi wa chadema akiorodhesha majina na namba za shahada za wapiga kura pamoja na namba za simu zao katika jiji hicho.jana. Picha na Fidelis Felix

Hao ndio mabalozi wetu wa nyumba kumi kumi waliokuwa na mkutano na Mkuu wa Wilaya...

Campaign za CCM ni hatari... so watasema nini? Au ndio wanahonga Mahakama na Polisi?

Kwanza balozi lenyewe lione sura!!

Yaani inaudhi hii mijitu! Hivi kwa nini polisi jamii haijamfanyizia huyu mpuuzi?

Ujinga wa watu wa mikoa ya Usukumani ndio unaotumaliza, yaani kila kitu ni "nduhu tabu" wakati matatizo ni lukuki. Mwoneni huyo balozi mwenyewe choka mbaaaaya! Halafu anatumwa na waume zake anakimbilia kuandikisha vitambulisho, siku nyingine hawa watu wapigwe kiberiti labda watashika adabu ya m*** zao.

Kampimeni ngoma yule kiongozi wenu wa fedha na uchumi pamoja na yule mke wa kada wenu!
Hakutumia mpira wa kuzuia maambukizi!
Wanatafuta sababu za kumaliza visigino baada ya matokeo kutangazwa.

I don't believe that this story bears any validity although many crassest credulous simpletons buys it unquestionably. There is some contradiction on the day and place where this photos were captured. As far as I understand, Igunga is a semi-arid region, then how comes that the backround is something different from Igunga I know? I can conspicuously smell elements of apocryphalness and mendaciousness on this story.
I enjoyed reading your sweet grammar. I hope next time you will consider refining it.

Kwanza balozi lenyewe lione sura!!

Yaani inaudhi hii mijitu! Hivi kwa nini polisi jamii haijamfanyizia huyu mpuuzi?

Ujinga wa watu wa mikoa ya Usukumani ndio unaotumaliza, yaani kila kitu ni "nduhu tabu" wakati matatizo ni lukuki. Mwoneni huyo balozi mwenyewe choka mbaaaaya! Halafu anatumwa na waume zake anakimbilia kuandikisha vitambulisho, siku nyingine hawa watu wapigwe kiberiti labda watashika adabu ya m*** zao.

wasukuma wameamka kuliko hata wakazi wa Dar. Tafakari

Pichani Balozi wa Nyumba Kumi katika Kijiji cha Mwayunge Mashariki, Kata ya Igunga mkoani Tabora, Nghoboko Masele, Akiwa chini ya ulinzi baada kukamatwa na wafuasi wa chadema na shahada za kupigia kura pamoja na orodha ya majina ya wapiga kura aliyodaiwa kukutwa nayo.

SOURCE:Wizi wa Kura Igunga: Sura Mbaya Ya CCM - Tanzagiza

Wakipigwa wanasema wamezalilishwa...sasa mtu kama huyu tumfanyaje jamani? Huyu ni kibaka wa haki za wananchi,tumezoea kuwa kibaka ni lazima aibe mali ya mtu,hawa wanaiba haki za wananchi,wana-deserve kichapo tu....Na kwa hakika hii itakuwa ndio sera yetu,kiongozi wa umma anayetaka kulinda maslahi ya CCM ni kumfundisha adabu tu....

Huyo mzee aliisha achana na ubalozi siku nyingi na si kada tena wa CCM.Huu ni ujanja wa CDM kutaka kujisafisha kwa kitendo cha aibu walichomfanyia DC.Watu wa Igunga wanajua ukweli labda wadanganyeni watu wa Arusha na K'njaro.

Hata kkikwete alikataa waziwazi eti lowasa si fisadi wakati kila mtu anaona..kwa hiyo sishangai kwa wewe kuropoka hvyo

WAKATI joto la uchaguzi mdogo wa Jimbo a Igunga likiendelea kupanda, Chama cha Wananchi (CUF) kimekituhumu CCM kuwa kimeanza kukusanya na kuorodhesha kadi za wapiga kura na kwamba, kimemkamata mmoja wa mabalozi wa nyumba kumi wa CCM wakati akifanya kazi hiyo.Tuhuma hizo dhidi ya CCM zilitolewa jana na mgombea wa CUF, Leopold Mahona, ambazo tayari zimeshapingwa na Mratibu wa Kampeni wa CCM, Mwigulu Nchemba.Akiwa katika kijiji cha Imalilo, Kata ya Nguru, jimboni humo, Mahona alisema kazi kuorodhesha majina ya wapiga kura na kadi zao inaratibiwa na kusimamiwa na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM.Mahona aliwataka wakazi wa kijiji hicho kukataa mpango huo kwa kutotoa vitambulisho vyao vya kupigia kura, kwani wakikubali kufanya hivyo watashindwa kuchagua mwakilishi mwenye uwezo wa kuwasaidia.Kauli ya Mahona imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba, kuwataka wakazi Igunga kujiandaa kukabiliana na hujuma zinazotarajiwa kufanywa na CCM kwa lengo la kulazimisha ushindi, kutokana na chama hicho kupoteza mvuto kwa wananchi."Wakija kuwaomba shahada kataeni, hata wakiwatisha msikubali, mkae kimya na msiwafanye chochote. Subirini siku ya kupiga kura na mnichague mimi nikaletee maendeleo,’’ alisema Mahona.Mahona alidai kuwa, wajumbe hao wanawatisha wakazi wa jimbo hilo wanaounga mkono upinzani na kulaani kuwa, kitendo hicho kinakwamisha maendeleo na juhudi za mabadiliko ya kidemokrasia.Wakati mgombea huyo wa CUF akilalamikia kitendo hicho, mwandishi wa habari hizi imeshuhudia tukio la uandikishaji kadi hizo ukiendelea katika maeneo mbalimbali. Mwandishi alishuhudia kijana mmoja, mkazi wa kata ya Iborogero, nje kidogo ya mji wa Igunga akiorodhesha majina ya wenye vitambulisho vya mpiga kura pamoja na namba za vitambulisho vyao vya mpigakura.Kijana huyo alipoulizwa na Mwananchi, huku akisita kutaja jina lake, alisema kazi hiyo amepewa na wakubwa wake ambao alikataa kuwataja na kusisitiza kuwa, anachofanya ni kuorodhesha majina ya wapiga kura na vitambulisho vyao kupigia kura kisha kuviwasilisha kwa wakubwa. ‘’Mimi kazi yangu kukusanya taarifa za watu wenye vitambulisho vya mpigakura. Ninaandika majina yao pamoja na namba ya kitambulisho nawasilisha kwa wakubwa, wao watatoa maelekezo na hatua za kuchukua,’’ alisema kijana huyo. Mmoja watu waliotoa kadi zao, Chiristina Kaloli, mkazi wa Iborogero alipoulizwa na gazeti hili alikiri kuwa, kadi yake imeishaandikishwa mjumbe wa CCM huku kusisitiza kuwa hiki ni kipindi cha mavuno kwao. Kadi hiyo ambayo mwananchi iliona kumbukumbu zake Ikiwa na namba 05262605 inaonyesha kuwa, ‘Chritina Kaloli alijiandikisha kuwa mpiga kura Desemba 26, 2004 katika Shule ya Msingi Mpogoro, Wilaya ya Igunga’.Source: Mwananchi 19 Sept 2011KWA MTAZAMO WANGU NINAONA WAZI KUWA BALOZI HUYU ALOKAMATWA NA WENZAKE WA AINA YAKE WANATEKELEZA MAAGIZO NA MAAZIMIO YA KIKAO CHAO NA DC wa Igunga.SWALI: Je CDM ilikosea KUSHUKU KUWA DC wa Igunga alipokutana na mabalozi, maafisa wa kata na wazee maarufu alikuwa AKIFANYA KIKAO HARAMU CHA KUHUJUMU UCHAGUZI UJAO? Je nini kifanyike kudhibiti hali hii? Ninaomba mchango wenu wakuu......................

WAKATI joto la uchaguzi mdogo wa Jimbo a Igunga likiendelea kupanda, Chama cha Wananchi (CUF) kimekituhumu CCM kuwa kimeanza kukusanya na kuorodhesha kadi za wapiga kura na kwamba, kimemkamata mmoja wa mabalozi wa nyumba kumi wa CCM wakati akifanya kazi hiyo.Tuhuma hizo dhidi ya CCM zilitolewa jana na mgombea wa CUF, Leopold Mahona, ambazo tayari zimeshapingwa na Mratibu wa Kampeni wa CCM, Mwigulu Nchemba.Akiwa katika kijiji cha Imalilo, Kata ya Nguru, jimboni humo, Mahona alisema kazi kuorodhesha majina ya wapiga kura na kadi zao inaratibiwa na kusimamiwa na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM.Mahona aliwataka wakazi wa kijiji hicho kukataa mpango huo kwa kutotoa vitambulisho vyao vya kupigia kura, kwani wakikubali kufanya hivyo watashindwa kuchagua mwakilishi mwenye uwezo wa kuwasaidia.Kauli ya Mahona imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba, kuwataka wakazi Igunga kujiandaa kukabiliana na hujuma zinazotarajiwa kufanywa na CCM kwa lengo la kulazimisha ushindi, kutokana na chama hicho kupoteza mvuto kwa wananchi."Wakija kuwaomba shahada kataeni, hata wakiwatisha msikubali, mkae kimya na msiwafanye chochote. Subirini siku ya kupiga kura na mnichague mimi nikaletee maendeleo,'' alisema Mahona.Mahona alidai kuwa, wajumbe hao wanawatisha wakazi wa jimbo hilo wanaounga mkono upinzani na kulaani kuwa, kitendo hicho kinakwamisha maendeleo na juhudi za mabadiliko ya kidemokrasia.Wakati mgombea huyo wa CUF akilalamikia kitendo hicho, mwandishi wa habari hizi imeshuhudia tukio la uandikishaji kadi hizo ukiendelea katika maeneo mbalimbali. Mwandishi alishuhudia kijana mmoja, mkazi wa kata ya Iborogero, nje kidogo ya mji wa Igunga akiorodhesha majina ya wenye vitambulisho vya mpiga kura pamoja na namba za vitambulisho vyao vya mpigakura.Kijana huyo alipoulizwa na Mwananchi, huku akisita kutaja jina lake, alisema kazi hiyo amepewa na wakubwa wake ambao alikataa kuwataja na kusisitiza kuwa, anachofanya ni kuorodhesha majina ya wapiga kura na vitambulisho vyao kupigia kura kisha kuviwasilisha kwa wakubwa. ''Mimi kazi yangu kukusanya taarifa za watu wenye vitambulisho vya mpigakura. Ninaandika majina yao pamoja na namba ya kitambulisho nawasilisha kwa wakubwa, wao watatoa maelekezo na hatua za kuchukua,'' alisema kijana huyo. Mmoja watu waliotoa kadi zao, Chiristina Kaloli, mkazi wa Iborogero alipoulizwa na gazeti hili alikiri kuwa, kadi yake imeishaandikishwa mjumbe wa CCM huku kusisitiza kuwa hiki ni kipindi cha mavuno kwao. Kadi hiyo ambayo mwananchi iliona kumbukumbu zake Ikiwa na namba 05262605 inaonyesha kuwa, ‘Chritina Kaloli alijiandikisha kuwa mpiga kura Desemba 26, 2004 katika Shule ya Msingi Mpogoro, Wilaya ya Igunga'.Source: Mwananchi 19 Sept 2011KWA MTAZAMO WANGU NINAONA WAZI KUWA BALOZI HUYU ALOKAMATWA NA WENZAKE WA AINA YAKE WANATEKELEZA MAAGIZO NA MAAZIMIO YA KIKAO CHAO NA DC wa Igunga.SWALI: Je CDM ilikosea KUSHUKU KUWA DC wa Igunga alipokutana na mabalozi, maafisa wa kata na wazee maarufu alikuwa AKIFANYA KIKAO HARAMU CHA KUHUJUMU UCHAGUZI UJAO? Je nini kifanyike kudhibiti hali hii? Ninaomba mchango wenu wakuu......................
Hii ni dalili ya kushindwa kwa CCM, watanunua kadi lakini hili jimbo ni la wapinzani tu.

Vijana tule sahani moja na mtu yeyote atakayekua amejihiari kuingia kwenye biashara ya kununua kura Igunga - hata kama ni Kamanda Tossi mwenyewe.

Ukombozi haukabidhiwi kama zawadi kiganjani; kazi ianze mara moja.

Back
Top Bottom