Mabalozi 12 wa CCM Arumeru Mashariki wahamia CDM?

Ukimsubiri Wasira aamke ukamueleza hili atakuambia, "hii siyo habari kwakuwa yeye keshasema jana kuwa Dr Slaa aliiba fedha za Kanisa". Ndo mpiga debe mwenyewe wa ccm!
 
Mbona hii imetokea tangu wiki iliyopita mkuu na kutangazwa na REDIO WAPO FM Pekee hapa Tanzania.

labda hiyo ni nyingine..maana ni jana tu kwenye mkutano uliofanywa na sugu na halima mdee hao mabalozi walirudisha kadi za ccm na mmoja liichana chana kwa hasira kisha wakachukua za chadema na wakamshukuru Mungu kwa kutua mzigo mzito ...mmoja alisema kila siku wanafatwa usiku na vuongozi wa ccm ili wanunue kadi za kupigia kura toka kwa wananchi......
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Hii habari njema sana kwa wapinga ufisadi
 
uongozi wa ccm unaanzia kny shina,balozi akiwa msimamizi wake..na bado watahama wengi zaidi

Na unapanda hivyo hivyo mpaka kwa mkuu wa wilaya hadi mkuu wa mkoa hawa wote ni viongozi wa CCM
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Kwani CDM kinamabalozi. kAZI IPO.CCM kazi kwisha.
 
CCM hadi sasa ni gari bovu litazima muda wowote kabla ya 2015,gari jipya CDM limeshapita saa nyingi.
 
Na unapanda hivyo hivyo mpaka kwa mkuu wa wilaya hadi mkuu wa mkoa hawa wote ni viongozi wa CCM

Dr. Toure sasahivi ni balozi wa nyumba 10.
Akiendelea hivyo hivyo atakuwa mkuu wa mkoa
 
mi nafikiri kwa upeo wako wa kuelewa hawa c viongozi,mi nakumbuka nilipoitaji kujaza form ya kujiunga chuo nilipofika ofice ya serikal ya mtaa walinirudisha kwa mjumbe wa nyumba 10,akanipatia form ya uthbitisho then nikaileta kwa ofs ya serkali ya mtaa wakaipokea.

Hilo unaloeleza ni sawa kabisa Babuu Blessed, hata mara nyingine ukiomba dhamana lazima watie mkono kuwa we ni mkazi wa eneo lake ili kuhalalishwa na serikali ya mtaa. Tatizo ni upatikanaji wao ni kupitia chama CCM. Wakati ule Chama kimeshika Hatamu (through one party system) tulikuwa tunaelewa huo mfumo, ila kwasasa pamoja na mabadiliko yote haya bado mfumo huu upo. Sasa ona madhara yake haya, inamaana ingawa CCM ndiyo chama chenye serikali, kama mitaa wanayoongoza hawa wajumbe haina wana CCM basi kunakuwa hakuna watu wa kuwaongoza. Kichama watu ni wana CCM tu.
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

vurugu za kufa mtu zimeibuka katika kikao cha ndani cha chadema,ambapo mbunge wake alitumia bastola kumtisha mmoja wa viongozi mbele ya katibu mkuu wa chama hicho Dk wilibrod slaa.

chanzo:magazeti ya leo
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

mwanakijiji wewe si msaliti wa taifa lako?naona umeamua kuendeleza propaganda za gizani kuwahadaa wale wasiotafakari mambo
 
mtu anaeandika kwa chuki toka ughaibuni hawezi kutuletea uzushi hapa tukamwelewa.hukum nzuri ni tarehe moja april
 
[h=6]Jana amekamatwa kijana wa chadema maeneo ya USA akiwa na daftari la wapiga kura pamoja na shahada 150 za kupigia kura, yuko chini ya sheria kwa sasa[/h]
 
Pigo kubwa,agent muhimu kwa magamba kwa mitandao yao ya kugawa hongo,sasa watapitishia wapi?
 
Jana amekamatwa kijana wa chadema maeneo ya USA akiwa na daftari la wapiga kura pamoja na shahada 150 za kupigia kura, yuko chini ya sheria kwa sasa

Kwani huyo kijana ni wa TUME ya UCHAGUZI. Hii habari tunashaka nayo sana, ina nia ya kuanzisha chokochoko. Mbona Mh. Makongoro alikamatwa na Masanduku ya kura wakati wa zoezi la kuhesabu kura segerea lakini sasa ni Naibu waziri??
Tulizisikia mbinu chafu nyingi Igunga, sasa naona mchezo unahamia Arumeru masahriki. Kama wangekamata MAFISADI na sheria ikafata mkondo wake, kweli ningebaini tuna serikali makini.
 
Back
Top Bottom