Mabalozi 12 wa CCM Arumeru Mashariki wahamia CDM?

Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Mbona hii imetokea tangu wiki iliyopita mkuu na kutangazwa na REDIO WAPO FM Pekee hapa Tanzania.
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
uwa sielewi wanaibukaje washindi mwisho wa siku?au ndio kuiba kura?watu wamewachoka ila ving'ang'anizi
 
Ving'ang'anizi siku zote husababisha vurugu ikiwemo vita katika baadhi ya nchi, hata hapa kwetu kwa mwenendo huu tusiashangae siku nchi ikiingia katika machafuko kwani watawala hawako tayari kukubaliana na ukweli wa sasa.
 
Kumbe mabalozi wa nyumba kumi ni viongozi

Kama sio hawa watu wanaoitwa mabalozi wa nyumba 10...usingekuta CCM bado ipo madarakani....hao ndio wanaongoza kwa kugawa kanaga kofia na hela za ccm
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Kwa ninavyojua kila Balozi anasimamia kitongoji chake...ina maana hapa ni vitongoji 12....ni hatua nzuri sana kwa Cdm 2015,
 
Kumbe mabalozi wa nyumba kumi ni viongozi

mi nafikiri kwa upeo wako wa kuelewa hawa c viongozi,mi nakumbuka nilipoitaji kujaza form ya kujiunga chuo nilipofika ofice ya serikal ya mtaa walinirudisha kwa mjumbe wa nyumba 10,akanipatia form ya uthbitisho then nikaileta kwa ofs ya serkali ya mtaa wakaipokea.
 
Wao wana fedha, sisi tuna Mungu!.
&&&&&&MCHAGUENI SIOI ILI KUMFUTA MACHOZI%%%%%%%%%%%%%%%%
 
Wana haki kuhama coz hawa hata kiuchumi wapo taaban mbaya so huwa ccm inawatumia wakti huu ila 4nowdays balozi hana ushawishi kwani raia wamefunguka..sana sana cku izi kazi yao kubwa ni kusuluhisha kesi za wanywa buzaa walotwangana chupa..ili wapate ujira wa mwia
 
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Du imekaa vema sana nadhani hii inatokana na kampeni ya nyumba kwa nyumba ambayo kwa dak hizi za majeruhi ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom