Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Je hizo candiderm na clotrimaxole zinasaidia fangasi za mguuni? Mm ninashida na mguu wa kulia yaani hasa vidoleni chini kwenye sole nusu ya mbele kuelekea kwenye vidole na pembeni wa mguu kulia hua ngozi inakauka na kuanza kubanduka nimejaribu kutumia mycota athlete cream inafanya kazi but zinarudi.

Hebu waungwana nisaidieni na mm
 
Utatajiwa dawa hapa,mpka huko chini usikie panawaka moto,dawa nzuri na isiyo na maumivu ni CANDIDERM CREAM
Hii ni bonge la dawa mkuu.Niliangaika sana mpaka nilipokutana na prof wa ngozi regency hospt akanipa hii dawa ndani ya siku3 tu utaanza kuona mabadiliko
 
cha msingi hakikisha unafyeka msitu na pia tumia taulo safi kukausha hizo maeneo after shower mpaka uwe mkavu, pia acha kuvaa tight underwears( maarufu boxer)
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mie ushauri wangu nenda hospital,fungus ziko za aina nyingi hivo unaweza tumia dawa ulotajiwa ikakusaidia kidogo na fungus ikajirudia baada ya muda au isikusaidie kabisa,so nenda hospital wanaweza Fanya culture wakajua dawa ya kukutibu wewe moja kwa moja
 
Unga wa mdalasini na asali,
Koroga kunywa, ndani ya siku kadhaa utaleta mrejesho.

N.B. Mara nyingi dawa za kupakaa hutuliza wala haziponeshi hasa tatizo likishakua sugu, kwa sababu ugonjwa hua kwenye damu ndio mana dawa za kupakaa yafaa ziambatane na za kumeza.
 
Ni dawa gani kutumia kutokomeza fangasi sehemu za siri
Nitafute nakuonesha dawa na unajititia mwenyewe vitu vya kutengenezea dawa havizi sh.200 au unaweza vipata bila pesa. Gharama ya kuoneshwa dawa na matibabu 20000|= kama unaumwa kweli nitafute.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom