Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Naomba kuongeza maelezo kdg apo, ni kwamba nilikua nikivimeza vipande hivyo vyote kwa pamoja asubuhi na jioni then baada ya kama wiki na nusu tatizo lilipotea kabisa. Na kwa kuongezea ni kwamba tatizo hilo limenitesa karibu miaka mitatu kwa vipindi tofauti tofauti kiasi cha kuzunguka sana kwenye vituo mbalimbali vya afya
 
Mkuu Mzizimkavu asante kwa msaada unaoutoa hapa jamvini, mimi nina tatizo la kuwashwa mwili/ kuchomachoma hasa pale joto la mwili linapoanza kuongezeka mf. Nikiwa naota moto/jua/nikifanya mazoezi, hali hii ya mwili kuwasha hudumu kwa kipindi kisichozidi nusu SAA then baada ya hapo hali ya kawaida hurejea...

Baada ya muwasho hutokea VIDOTI vidogo hasa kwenye mikono na baadae hupotea...

Hali ya ngozi yangu ni kama ina MBA, msaada wako tafadhali sana ni ugonjwa gani huu unaonisibu coz umedumu kwa muda sasa

nimewahi kukutana na hili tatizo, ni pm nikupe intro kidogo
 
Jaribu kwenda hosptal kubwa upime damu kwa ajili ya magonjwa ya zinaa na mkojo kiujumla ili upate uhakika ni aina gan ya fungus inakusumbua
 
ndugu zang naombeni msaada wa dawa ya kumaliza kabisa tatzo lang la fangasi sehem za siri maana lnansumbua sana

Nunua tissue paper, uwe unajikausha kila baada ya kuoga hayo maeneo. Hii ni baada ya wewe kupona.

Pia fua na anika chupi nje kila siku.
 
Ok pole xn km unasumbuliwa na tatizo km hilo bt kuna dawa ambazo zinaweza kukusaidia na ukapona kabisa ukitaka hz dawa na maelezo zaid tumia hz no 0768359292 na 0652359291
 
Nakushauri umuone Dr wamagonjwa ya wanawake umuelezee au ufanyiwe culture ili ujue ni aina gan ya fungus wanaokusumbua upatiwe dawa
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom