Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninayo psoriasis yaani fungers long time back lakini sijapata dawa maalum...na nahisi iko vile vile
kwani dawa aina yingi nimetumia...nipeni ushauri wa dawa nzuri ya kutumia.
hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? au wewe ni bwabwa?mimi natafuta wanawake wewe unaniandikia pm ya kwamba unataka nikuto.mbe, mimi tangu lini nakula matope? mjinga kweli wewe.mimi ni mwanaume, miaka 19, wananisumbua shingoni, kwapani na sehemu za siri. kutokana na haraka ya madaktari tumbi hospital, walinipa dawa ambayo ni kama cream ipo kwenye ki tube. nikawaambia hii dawa naijua nimesha tumia hii na dawa nyingine kama hii zinazotengenezwa india. nilitamani kupata vidonge kwani nahisi tatizo lipo ndani ya mwili. hawakunisikiliza. nakumbuka ilikuwa ni dawa ya deplozon.
hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? au wewe ni bwabwa?mimi natafuta wanawake wewe unaniandikia pm ya kwamba unataka nikuto.mbe, mimi tangu lini nakula matope? mjinga kweli wewe.
na mie ngoja nitoe experience yangu,nilishawah kusumbuliwa sana na fangasi sehem za sir,kwa wiki kama nne zilizopita nmeponya tatzo hili kwa tiba ya vitunguu swaumu, nilikua nikivimenya vitunguu hvyo vipande kati ya tano mpk saba na kuvikata kata baada ya apo nilikua na meza na maji kama vidonge. Ndani ya wiki na nusu ckuona tena hilo tatizo wala muwasho
MziziMkavuna mie ngoja nitoe experience yangu,nilishawah kusumbuliwa sana na fangasi sehem za sir,kwa wiki kama nne zilizopita nmeponya tatzo hili kwa tiba ya vitunguu swaumu, nilikua nikivimenya vitunguu hvyo vipande kati ya tano mpk saba na kuvikata kata baada ya apo nilikua na meza na maji kama vidonge. Ndani ya wiki na nusu ckuona tena hilo tatizo wala muwasho
Dawa kiboko ya Fungus na Minyoo
Dawa kiboko ya Fungus na Minyoo
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.