habari za mdaa huu wakuu, kuna rafiki yangu anaitaji msaada demu wake ana fangasi ukweni yaani alianza kuwasha ukeni kwa ndani baada ya siku kama mbili akaanza kutokwa na vitu viupe ukeni vizito na mchanganyiko wa damu kwa mbali alivyoenda hosiptali baada kumpima aliambiwa ni fangasi wasiwasi wa rafiki yangu ni kuwa na yeye hizo fangasi zitampata?

habari za mdaa huu wakuu, kuna rafiki yangu anaitaji msaada demu wake ana fangasi ukweni yaani alianza kuwasha ukeni kwa ndani baada ya siku kama mbili akaanza kutokwa na vitu viupe ukeni vizito na mchanganyiko wai damu kwa mbali alivyoenda hosiptali baada kumpima aliambiwa ni fangasi wasiwasi wa rafiki yangu ni kuwa na yeye hizo fangasi zitampata?
majibu ya humu yanafurahisha.kwa hiyo ni yeye anajaribu kumsingizia rafiki?awadanganye watoto wadogo na sio jf.
Arudi hospital tena ili wampime vizur zaid coz bado tatizo lipo hata kama alienda hapo mwanzo.Wanaweza chukua huo uchafu wa chini wakiupima watajua tatizo,au njia nyingine.Aende hospital kubwa kama Muhimbil.
R.I.P Dr Bakari muhimbil~alikuwa mtaalamu wa magonjwa yakina mama.
Sasa kama walienda hospitali wameshindwa vipi kuuliza maswali hayo na kuyapatia jibu?
Uwepo wa damu ukeni kama mwanamke hayupo kwenye siku zake sio dalili nzuri na pengine tatizo sio fangasi tu.
Inahitajika daktari aangalie ndani ya uke kwa speculum ili awe na uhakika hiyo damu inatoka sehemu gani. Tafadhali mhimize afanye hivyo kwa sababu damu inaweza kuashiria tatizo kubwa kama kansa. Katika nchi nyingine huwa kuna utaratibu wa wanawake kumuona gynecologist angalau mara moja kwa mwaka ili kuhakikisha "everything is ok". Sisi hatuna utamaduni huo kama sera, ila linapotekea tatizo ni muhimu kuchukulia serious, hata kama mtu anaweza kuhisi ni tatizo dogo.
Pia ni vizuri kupima mkojo kwa sababu njia ya mkojo iko karibu na uke kwahiyo inawezekana infection imeingia kwenye njia ya mkojo pia.