Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Nenda hospital haraka,mpaka dalili inajitokeza ujue kako ndani muda ,inatibika na kupona kabisa.mwenzio/wenzio usimwache/waache maana ukipona mwenyewe ukilala nao utapata tena.mwambie mwenzio awe mwaminifu na wewe utulie .hosptal za serikal wanavipimo sahihi Na majibu ya kweli na dawa pia.
 
Mkuu kuwa makin.. magonjwa ni mengi kishenz. hata hivyo ni vizuri ukapata diagnosis ya tatizo lako mapema kabla ya ugonjwa kuwa mkubwa. lakin ki ukwei hakuna ant-bacteria inayoweza kutibu fungus may be anti-fungal.
 
Habari zenu wanaJF doc's.,
Naombeni msaada in that thing, imetoka kama ni fungus flani hivi juu ya kichwa cha u*me, yaani inakuwa ka punye flani, ikipona kuna kuwa ka kagamba kalaini but ukikatoa panaanza upya.,
Just wanned to know if this Ant-bacteria medicine can cure this thing..!
Any aidia plz!

Ndio lakini si fangasi kama uliyoeleza.Jambo la maana ni kwenda hospitali kupima na kupata tiba.Ni vizuri kwenda katika hospitali ya serikali ukiwa na mpenzi/wapenzi/mke au wake zako.Pia nakupa ushauri huu,usipende kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi,hata bibie asiwe akianika chupi,vitambaa vyake chumbani,aanike nje vikauke kwa jua na apige pasi kuepuka matatizo hayo.Kingine ni usafi wa maeneo ya siri.KAMA UNA WENGI TUMIA MIPIRA (CONDOMS)
 
GOOD DAY ALL,

Habari ya week end members. Ninaomba kujuzwa dawa na matibabu ya tatizo la fungus (any kind of fungus) au kama kuna specialist wa hili eneo mnijulishe.

Binafsi ninatatizo la fungus ambao nikitumia dawa wanapotea wote na it takes about a month or two tatizo linajirudia. Nimetumia dawa nyingi na mara nyingi tu.

Msaada jamani.
 
Tumia dawa ya kupaka na vidonge vya kutibu fungus kwa pamoja.Hakikisha matibabu yako yanafikisha at least siku 30 ili kumaliza fungus kabisa.Kama unatumia maji ya kisima basi uwe unaweka dawa kama water guard,dettol etc kabla ya kuoga.Uwe unabadili nguo unazovaa kila siku.Uwe msafi kwa ujumla.Fungus ni moja ya magonjwa yanayosumbua sana hivyo inahitaji uvumilivu kuyatibu.
 
Pole sana, ila sasa hujawa specific ni fungus za wapi....au..ndo masecret? Ila kuna vidonge vinaitwa gressiofulvin ni vizuri kwa fungus za nje na ndani ya damu kama ujuavyo fungus nyingi zinakuwa ktk damu hivyo zinachukua muda mrefu kupona completely. Mandhali umefika hapa wataalamu watakufahamisha zaidi.
 
Kama alivyokuambia mchangiaji wa kwanza usafi ni muhimu, hakikisha nguo zako zote ni safi piga pasi kabla ya kuvaa na usirudie nguo kabla ya kufua. Tumia dawa ya kupaka pamoja na vidonge
 
GOOD DAY ALL,
Habari ya week end members. ninaomba kujuzwa dawa na matibabu ya tatizo la fungus (any kind of fungus) au kama kuna specialist wa ili eneo mnijulishe.
binafsi ninatatizo la fungus ambao nikitumia dawa wanapotea wote na it takes about a month or two tatizo linajirudia. nimetumia dawa nyingi na mara nyingi tu.
msaada jamani.


1)hizo fungus zipo sehemu gani ya mwili wako?
2)ulitumia dawa aina gani na je uliandikiwa na daktari au ulitunmia tu kwa vile umehisii una fungasi?
3)kama uliwahi kumuona daktari,je alikuambia unasumbuliwa na aina gani ya fangus?

toa majibu ya hayo maswali,ili niweze kukupa msaada kadri niwezavyo
 
thanks all,
@mayassa!!
fangasi wapo kwenye bega, ni kama vishilingi viwili...mwanzoni i thought bi mba but doctots walisema ni fungus maana huwa panapauka mwili ukiwa mkavu. huwa vina washa washa.
 
dear kiroboto,
1. fungus wapo kwenye bega chini ya shingo, kuna mpauko wa ngozi
2. doctor alisema ni aina ya candid (sijui kama nimeandika sahihi)
3,. nimetumia dawa za kuapa nyingi zenye suffix.... zole mfano; clotrimazole(kupaka), fluconazole (kunywa) etc na nyingi ni creams ambazo hupelekea kuifanya ngozi kuwa laini sana. zinapotea ila baada ya muda panajirudia
 
punguza kula Red meat, kunywa maji kwa wingi, matunda na mboga mboga kwa wingi. Kunywa pia dawa ya kusafisha damu. All the best.
 
dear kiroboto,
1. fungus wapo kwenye bega chini ya shingo, kuna mpauko wa ngozi
2. doctor alisema ni aina ya candid (sijui kama nimeandika sahihi)
3,. nimetumia dawa za kuapa nyingi zenye suffix.... zole mfano; clotrimazole(kupaka), fluconazole (kunywa) etc na nyingi ni creams ambazo hupelekea kuifanya ngozi kuwa laini sana. zinapotea ila baada ya muda panajirudia

that seems like tinea corporis,tumia whitfield's ointment(dawa ya kupaka) mara mbili kwa siku kwa wiki zisizopungua nne
pia tumia na vidonge(griseofulvin 500mg mara moja kwa siku kwa muda wa wiki nne)

for more infro ni pm
 
tatizo la fangasi linatesa sana, mimi nilisumbuka sana, pls tumia dawa inaitwa cateconazol, sijaiandika kitaalam lakini inafahamika ukiwaeleza
 
kwa kuGoogle nimeona kuwa dawa zote ulizotumia na ulizoshauriwa ni nzuri. inaonekana kuwa fangasi ni ugonjwa unaosumbua sana. matibabu yake z
isipungue wiki 6 au zaidi na hata miezi 6. ukipata dawa za kumeza na kupaka ni bora zaidi. pole sana
 
nilikuwa na fungus za miguu. nikasoma kwenye internet kuwa ukipaka apple cider vinegar for three weeks kila siku inapona. Nilifanya hivyo sasa ni mwezi wa 6 sina problem, ila sijui kama nimepona kabisa.
 
Nawashukuru wote kwa ushauri wa kitaalamu na uzoefu, ame-practise hayo mambo na sasa anasema hana tena dalili zile za mwanzo. Thank you all.
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom