jacjaz
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 440
- 205
Hivi ni kwanini wengi wetu tunabadilika baada ya ndoa hata kama uchumba ulidumu muda mrefu kiasi cha kutosha kujuana vyema!?
mfano; mtu ulimjua kuwa ni mcheshi,muongeaji mzuri tu,mshauri wa ukweli na anakwenda na wakati,ila baada ya ndoa anakuwa mpole,mwenye aibu zaidi na anayekubali kila kitu toka kwako bila hata kushauri tena kama awali?! ukiuliza anakwambia anakuheshimu! mwanzo haikuwa heshma au!?
ova, kama nimesomeka....