Mabadiliko ya maneno na maana zake mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
25,792
23,269
Kula = kufuturu chakula = futari Njaa = swaumu Enyi wataalamu wa lugha naomba msaada wenu na sababu za kitaalamu juu ya mabadiliko haya. Nawasilisha
 
Kula = kufuturu chakula = futari Njaa = swaumu Enyi wataalamu wa lugha naomba msaada wenu na sababu za kitaalamu juu ya mabadiliko haya. Nawasilisha

Labda nikusaidie maana ya maneno hayo mawili kwanza.(funga na futari)

Kufunga nikujizuiya na kula(kwakukusudia) na kutenda mambo mabaya au dhulma ya aina yoyote kwa muda maalum.na si kukaana njaa kama ufikiriavyo.

Kwamfano:ukikaa na njaa siku mbili au hata moja bila ya kula kwakukikosa chakula tu, na sio kukusudia kutokula,hapo utakua umekaa na jaa(hii ndio njaa).


Kufuturu ni nikula chakula kwa wakati maalum baada ya kufunga. hapa na sema wakati maalum kwa kua ukifunga au ukikaa na njaa ikiwa hukula katika wakati unaokubalika itakua hukula futari bali umekula chakula cha kawaida.nimetumie neno kawaida kwakua wanaokula futari wanaamini kua kula futari pia ni ibada ikila kwa wakati wake..

natumai utakua umefaidika na chochote katika maelezo hayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom