Mabadiliko MMU

SAFI SANA DENA,
Kumpenda,kumsifia,kumkandia mwanaJF mwenzako mi naona hakuna ubaya ila kuanzisha eti thread ya nampenda mwanaJF fulani naona kama haina maana sana, hatua unayotakiwa kufanya ni kuMP ili huko mwelezane mnavyopendana kwa undani.
Huyo unamwanzia thread kama ameolewa au ameoa inaweza kumletea matatizo ktk familia yake hasa ikiwa mume/mke ana ufahamu mdogo.

Suluhisho ni kuMP.
Pia mgongee THANKS,LIKE NYIIIINGI UWEZAVYO.
 
Nipo sweety naogopa foleni,unaongoza kwa kuzimikiwa/kudondokewa hapa MMU tukipangana hata foleni ya Babu haifui dafu,nini siri yako Dena ?

ha ah ha ha ha foleni ruksa wananizimikia wananidondokea including wewe mwenyewe................
 
Dena
Kama umeninyang'anya maneno mdomoni vile.Inaudhi sana kuona MMU limetekwa nyara na watu wachache wanaomaindiana.Hii inaboa kichizi na kufanya watu tulipotezee hili jukwaa munimu.Kama Mbu vipi mbona hau moderate bana? Ina maana huna meno?
Mods fanyeni la akili kabla hamjapoteza wanachama zaidi JF

AJABU: Thread hii hii imevunja rekodi ya kurudia matapishi yake yenyewe! Kinacholalamikiwa ndicho kimevuma kuliko!

Tausi bana hiyo kitu imenigusa ndo maana nikaanzisha hii thread.....................nimeona kama inaboa fulani hivi
 
SAFI SANA DENA,
Kumpenda,kumsifia,kumkandia mwanaJF mwenzako mi naona hakuna ubaya ila kuanzisha eti thread ya nampenda mwanaJF fulani naona kama haina maana sana, hatua unayotakiwa kufanya ni kuMP ili huko mwelezane mnavyopendana kwa undani.
Huyo unamwanzia thread kama ameolewa au ameoa inaweza kumletea matatizo ktk familia yake hasa ikiwa mume/mke ana ufahamu mdogo.

Suluhisho ni kuMP.
Pia mgongee THANKS,LIKE NYIIIINGI UWEZAVYO.

Well said dear....................
 
Mods tunaomba mwongozo wa hii thread... ni sahihi kumuanzishia thread Member unayemzimia?

Mimi sio MOD Kukatalia au kukubalia nimetoa mawazo yangu tu my dear sio amri................pole kwa kukwaza
 
Nawe ukiona wanafanya hivyo, waPM uwapashe, usianzishe thread kama ulivyofanya sasa. Unakataa nini na unafanya nini? If something is not chewable, ignore it.
 
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
hahahaha jaman nilikua cjafka humu,ningekosa mengi, wengine wanampenda halima Mdee,yani chenga 2pu, wanazingua afu hawamaanishi,wapo fake.m2 anapenda ushauri wa member anataka kutangaza ndoa.
 
hahahaha jaman nilikua cjafka humu,ningekosa mengi, wengine wanampenda halima Mdee,yani chenga 2pu, wanazingua afu hawamaanishi,wapo fake.m2 anapenda ushauri wa member anataka kutangaza ndoa.

Mchokozi wewe ha ha ha ha ha
 
Na zile za kumissiana je! maana baada ya kutokuzipenda zile, itakuja mwingine tena hapendi aina fulani ya thread basi kila mtu atasema hapendi nini, mwisho wa siku kila kitu kitakuwa hakipendwi. wahusika wamesikia afadhali, nina imani watapunguza.... ila tu hata kwenye diskashen za QM na QT pia katikati huwa zinawekwa jokes za hapa na pale sio kuwa serious mwanzo mwisho inachosha sana.
 
Mimi sio MOD Kukatalia au kukubalia nimetoa mawazo yangu tu my dear sio amri................pole kwa kukwaza

Hahaaa DA sijakwazika kabisa nipo poa, maana hapa JF ni kipimo cha uvumilivu, ingawa makwazo hayana budi kuja lakini kwa hili sijakwazika...
anyway sikuanzishii thread lakini NAKUZIMIA..........
 
Na zile za kumissiana je! maana baada ya kutokuzipenda zile, itakuja mwingine tena hapendi aina fulani ya thread basi kila mtu atasema hapendi nini, mwisho wa siku kila kitu kitakuwa hakipendwi. wahusika wamesikia afadhali, nina imani watapunguza.... ila tu hata kwenye diskashen za QM na QT pia katikati huwa zinawekwa jokes za hapa na pale sio kuwa serious mwanzo mwisho inachosha sana.

umenena mkuu..
anyway nimeizimia hiyo avatar yako ni wewe mwenyewe au ni zile zile za kutoka magharibi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom