Mabadiliko makubwa ktk muhimili wa mahakama tanzania

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
kwanza SASA ni wazi tayari mahakama imepata mtendaji wake mkuu na currently muhimili huu uko ktk mchakato wake rasmi wa kujipanga, kwa kuanzia tetesi zinasema mchapakazi,mwanamichezo (former soccer player -mazao fc iringa) mwanasheria makini ndg yetu amevaa namba tatu kiutendaji akiwa nyuma ya Mkuu wa muhimili huo mh. Jaji mkuu na wasaidizi wake Jaji Kiongozi na Majaji, namba 2 kimuundo anakuwa ni mtendaji mkuu wa mahakama, mteule huyu si lazima awe nguli wa sheria ,huyu keshateuliwa na rais na ki hadhi anafanana na Katibu wa bunge na.3 yeye anauvaa unadhimu mkuu ktk kada ya sheria ndani ya judiciary ,hapa ni lazima uwe nguli unayeishi na kuhudumu ktk muhimili huu wa kusimamia upatikanaji wa haki ndipo tunamuona kijana wa makamo si mwingine ni Chief registrar of Court of Appeal formely known as RCA mh.ignace kitusi amevaa safari buti za mh. Jaji mutungi francois........tafadhari niwaombe wenye full details ili wamwage latest hapa jamvini hasa new organization chart ya judiciary tanzania na wateule wake kwenye kila kona......maana nasikia tayari mh. Jaji mkuu ameteua safu yake,hongera sana comrade kitusi.
 
Mkuu,mbona umeandika haraka haraka kama unaoga nje vile........Tulia andika tena ili ueleweke
 
Hahaaaaaaaaaaaaa asante ila nakuruhusu ui edit kwa kuijazia nyama ikae kimkao wa kujipulizia manukato wacha nirudi kuoga mie
 
Back
Top Bottom