Elections 2010 Mabadiliko ITV na Nipashe

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
Nimekuwa nikifuatilia ITV news daily nimegundua toka liibuke suala la mengi na ubambikaji wa madawa kwa motto wake coverage ya CHADEMA katika TV( leo news za mkutanomkule Kagera kuwa za kwnza na kuonyesha Nyomi la watu) yake na Magazeti(Nipashe kutoa picha na maelezo juu ya utafiti wa TCIB) yake imeongezeka
MY TAKE
Naona ameona mafisadi sio wa kuwakumbatia na anajua fika mpinzani wake ana support ya serikali ivyo kuingoa serkali husika ni jambo la Mbolea.
Keep it up Mzee Mengi wape vijana wa kazi more coverage ili serikali ya kidhalimu ingoke madarakani
 
Umeshau walishawai chakachua picha za JK mbambabay wakaonyesha kuna nyomi mbaya zaidi uwanjani wakati kule bay hakuna uwanja.
To naona kwa sasa wameshika kasi which is good ie level playing field on coverage
 
Amesoma alama za nyakati kama akina SUmaye na wazee wengine wa CCM ambao wamembwagia zigo JK na familia yake
 
Kweli wamekuwa fair ingawa wakati mwengine wanzidiwa na nguvu na ccm. nafikiri hawakuwa fair toka day one kuliko ilivyo sasa, wamesoma kwanza upepo wa wananchi unaenda wapi ndipo wakazidi kuwa fair.

Nawapa hongera sana
 
Acheni kuwaanyooshea kidole IPP Media ambayo inajiendesha yenyewe, kama kweli mnamkakati shikilieni mabango T-B-C na Daily noize ambazo ninyi ni miongoni mwa wamiliki.
 
TBC nao ni wa kuwaonea huruma bse wanapokea amri toka kwa JK.
Ila IPP media order zatoka kwa Mengi ndo maana twampongeza jamani mbona manshindwa appreciate vitu kama vizuri.
Au mnataka EU ndo impongeze ndo mtafurai KHAAA
 
Nimekuwa nikifuatilia ITV news daily nimegundua toka liibuke suala la mengi na ubambikaji wa madawa kwa motto wake coverage ya CHADEMA katika TV( leo news za mkutanomkule Kagera kuwa za kwnza na kuonyesha Nyomi la watu) yake na Magazeti(Nipashe kutoa picha na maelezo juu ya utafiti wa TCIB) yake imeongezeka
MY TAKE
Naona ameona mafisadi sio wa kuwakumbatia na anajua fika mpinzani wake ana support ya serikali ivyo kuingoa serkali husika ni jambo la Mbolea.
Keep it up Mzee Mengi wape vijana wa kazi more coverage ili serikali ya kidhalimu ingoke madarakani

Kama wamebadilika nitaanza kufuatilia news zao
 
Ni kweli hata ile coverage ya kupigwa kwa wazee wastaafu wa EA ilikuwa bomba sana... Ila TBC walikuwa kimyaaaaaaa...
 
Ukitaka kuwa fair lazima uwe na roho ngumu ya kutopokea pesa pana ya sisi m wanazomwaga ovyo kwenye vyombo vya habari.
 
Ippmedia was not balanced at first, and we condemned them here vehemently. But I guess they have now come to their senses. They have discovered that they were backing a losing horse.
 
Ile coverage ya wazee wastaafu wa East Africa inatosha kuonyesha kwamba sasa angalau hawaipendelei sisiem. Lakini ukweli mwanzoni kulikuwa kuna uminyaji wa coverage za CHADEMA. Tunampongeza Mzee Mengi na vijana wake kwa kuliona hilo. Kuipendelea sisiem ni kuchangia kuwakosesha matumaini watanzania wenzako.
 
Lakini wanatoa coverage ambazo ni delayed kama kule Kagera. naomba watoe coverage za siku hiyo hiyo zinakuwa bado za moto.
 
Ipp Media wamekuwa fair kwenye habari za uchaguzi from day one mkuu.

Big No. Ekchuale... kinachotushangaza ni haya madadiliko na kukumbuka shuka karibia kuna kucha... jamaa walikuwa wanadharau nguvu ya Slaa... this is the big elephant in the house they've been trying to ignore...
 
Nimekuwa nikifuatilia ITV news daily nimegundua toka liibuke suala la mengi na ubambikaji wa madawa kwa motto wake coverage ya CHADEMA katika TV( leo news za mkutanomkule Kagera kuwa za kwnza na kuonyesha Nyomi la watu) yake na Magazeti(Nipashe kutoa picha na maelezo juu ya utafiti wa TCIB) yake imeongezeka
MY TAKE
Naona ameona mafisadi sio wa kuwakumbatia na anajua fika mpinzani wake ana support ya serikali ivyo kuingoa serkali husika ni jambo la Mbolea.
Keep it up Mzee Mengi wape vijana wa kazi more coverage ili serikali ya kidhalimu ingoke madarakani

Wanapokesea ni kumuita JK Dakta.
 
Wanapokesea ni kumuita JK Dakta.

Inaudhi saana. Hasa tbc ndo wanajikomba ile mbya ..... utamwitaje "dakta" mtu hajui hata huo udokta unapatikanaje?
Na kikwete anavyopenda sifa hata hakatazi .... anaona kama ndo kapewa heshima , hajui watu wanamsaga sana kwa jinsi anavyojidhalilisha,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom