Mabaamedi wa Sinza na Kinondoni

Wanavutia sana
 
Attachments

  • 1454339919932.jpg
    1454339919932.jpg
    64.4 KB · Views: 155
  • 1454339940869.jpg
    1454339940869.jpg
    63.3 KB · Views: 53
Mi naendaga kunywa gongo Tu kwa mama kibonge. Ukifika hakuna kupiga stori unapimiwa unakunywa fasta halafu unawasha fegi huku umekunja uso unasikilizia maini yanaungua. Baadae unashushia miguu ya kuku.
 
Vingunguti darajani hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom