Maaskofu TEC: Tulitahadharisha yanayotoea

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) uliotolewa na maaskofu hao baada ya kikao chao cha mkutano wa 65 uliofanyika Kurasini DSM na kusomwa na Rais wa TEC Mhashamu Thaddaeus Ruwa'achi (sasa amemaliza muda wake) unasema kwa nyakati tofauti wameziandikia mamlaka husika (serikali) na kushauri namna ya kuzuia kuibuka vurugu za chuki za kidini wakapuuza na sas madhara hasi yanaonekana.

source :kiongozi 6-12 july 2012
 
Serikali ilipuuza kwasababu wanamaslai na udini kwenye hili taifa. Due to that ni lazima tujipange kukabiliana na udini huu.
 
Maaskofu wa TEC na jumuiya nyingine ni greater thinker wameelimika wakastaarabika sana ni watu makini wana upeo mpana sana wana tofauti sana na wenzagu fulani ambao ni wachumia tumbo hawana uwezo ata wa kumudu maisha yao binafsi na pia wana elimu ya darasa la saba majority sasa mpaka hapo unategemea nini ndo mana wanashikiwa akili sana ili familia zao zipate kuishi.
 
Serikali ilipuuza kwasababu wanamaslai na udini kwenye hili taifa. Due to that ni lazima tujipange kukabiliana na udini huu.
Serikali ya CCM inalinda wapiga kura wake watiifu...na ndiyo maana tunaona waeneza chuki wakitamba bila kudhibitiwa...yana mwisho haya...!
 
Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) uliotolewa na maaskofu hao baada ya kikao chao cha mkutano wa 65 uliofanyika Kurasini DSM na kusomwa na Rais wa TEC Mhashamu Thaddaeus Ruwa'achi (sasa amemaliza muda wake) unasema kwa nyakati tofauti wameziandikia mamlaka husika (serikali) na kushauri namna ya kuzuia kuibuka vurugu za chuki za kidini wakapuuza na sas madhara hasi yanaonekana.

source :kiongozi 6-12 july 2012

nadhani wangalitoa UFAFANUZI WA MABILION YA MOU yanatumika vipi huku hosptal zao zikigoma. hapa watz tutamuelewa
 
Kweli kabisa Walidiliki kusema ni chaguo la Mungu,walifanya kosa kuangalia maumbile ya nje,Kama Samuel alivyofanya Kwenye kitabu cha biblia
 
nadhani wangalitoa UFAFANUZI WA MABILION YA MOU yanatumika vipi huku hosptal zao zikigoma. hapa watz tutamuelewa[/QUOTE
kukumbuka katika hiyo MOU, mojawapo ya vipengele ni pamoja na serikali kuwalipa madkatari bingwa, na baadhi..ndio maana wale wanaolipwa na serikali, ndio waliogoma, but wale walioajiriwa na hizo taasisi za dini hawajagoma....sio kukwepa kodi.. mbona huzungumzii shule binafsi ambazo sio za mashirika ya dini, na kodi hawalipi? acha chuki binafsi mkuu...
 
nadhani wangalitoa UFAFANUZI WA MABILION YA MOU yanatumika vipi huku hosptal zao zikigoma. hapa watz tutamuelewa
Bugando Medical Centre

Address: Bugando Medical Centre, P.O. Box 1370, Mwanza
District and Region: Mwanza District, Mwanza Region
Tel: 028 (068) 1 60410
Fax: 028 1 42392
e-mail: <bugando@africaonline.co.tz>

History

A Zonal Consultant and teaching hospital which is owned by the Tanzania Episcopal Conference. It was build between 1968 and 1971 by Misereor. It was operated by the government of Tanzania until 1985 when it was handed back to the Trustees of TEC.
Jiulize ni nani kati ya Serikali ya Mwinyi(1992) au Kanisa aliyemnyemelea mwenzake na hivyo kusababisha kusainiwa kwa MoU? Na ukilijua hilo utajua pia sababu ya kusainiwa kwa MoU na hayo malalamiko yenu yote mnatakiwa kuyapeleka kwa serikalini tu... Lakini kwa sababu za chuki zenu za kidini mbaya wenu siku zote ni Kanisa tu...
 
nadhani wangalitoa UFAFANUZI WA MABILION YA MOU yanatumika vipi huku hosptal zao zikigoma. hapa watz tutamuelewa[/QUOTE
kukumbuka katika hiyo MOU, mojawapo ya vipengele ni pamoja na serikali kuwalipa madkatari bingwa, na baadhi..ndio maana wale wanaolipwa na serikali, ndio waliogoma, but wale walioajiriwa na hizo taasisi za dini hawajagoma....sio kukwepa kodi.. mbona huzungumzii shule binafsi ambazo sio za mashirika ya dini, na kodi hawalipi? acha chuki binafsi mkuu...
Chuki tu ndugu yangu zimewatawala hao...Yaani badala hata ya kuwashukuru hao waajiriwa wa taasisi za dini na wenyewe wanawekwa kwenye mgomo...mbona juzijuzi hapa ITV walionyesha masister wa bugando wakiwa wanatoa huduma...!?
 
Wakwepa KODI through MOU! Hamna lolote!

.
Nyama na tende mnazokirimiwa na mataifa rafiki hamlipi kodi japo ni kiduchu. Ingekuwa je kama mngekuwa na akili ya miundo mbinu endelevu ambayo ingelipelekea muingize mizigo ya thamani kubwa nchini? Ikiwa ya tende hamlipi? (kukwepa?) TAFAKARI!!
.
 
  • Thanks
Reactions: pig
Yaani kama sio hizo taasisi nchi hii ingekuwa na kazi kubwa kujijenga Angalia MASHULE NA MAHOSIPTALI WALIYOJENGA NA KUIACHIA SERIKALI.PIA BIANAFSI SIKUONA WALIPOKOSEA TEC KUITAHADHARISHA SERIKALI NA MAMBO YALIOTOKEA. LAKINI PIA TEC HAWAKUSEMA NI CHAGUO LA MUNGU NA HAWATASEMA HIVO KWA YEYOTE AJAE KWANI SI KAZI YAO.
 
Maaskofu hao wamesoma sana! Na wanatoa ushauri wakisomi
 
Back
Top Bottom