Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

Ndo mana maaskofu wamesema warudishiwe hospt zao na shule zao, km serikali haitaki kurudisha basi iende kwa uma ikaeleze uzuri ma ubaya wa MoU
Si kusema majukwaani tu waandae maombi ya kurudishiwa hizo Hospitali na Shule zao kimaandishi na taratibu husika.

Lakini wajue tu kuwa safari hii Watanzania wengine hawatakubali kuona Hospitali na Shule zilizojengwa wakati wa Mkoloni kwa pesa za Watanganyika wote vikiangukia mikononi mwa Wakristo peke yao! hata Makanisa yaliyojengwa wakati wa Mkoloni nayo tutahakisha tunagawana.
 
Sasa hizo pesa za MoU mnachukuwa za nini wakati hospital zenu za kanisa mnafanya biashara kama siyo ufisadi ni nini.

Unaijua Hindu Mandal Hospital? Unaijua Regency hospital? Unazifahamu gharama zao? Sasa bila MoU hospital za Makanisa ambazo hakuna ubishi zinahudumia wengi gharama zao zingefanana na Hindu na Regency. Unadhani Muislam maskini wa kule Kiboriloni angeweza kufanyiwa upasuaji KCMC?
 
Na Mchungaji Mwanjali na Getrude Lwakatare je? Askofu Kulola nae mbona humsemi ni wa Chama gani?

Umemsahau Mchungaji Lema eti naye alifungua Kanisa Mwanza akatafuna pesa akakimbilia Arusha kugombea ubunge.
 
Si kusema majukwaani tu waandae maombi ya kurudishiwa hizo Hospitali na Shule zao kimaandishi na taratibu husika.

Lakini wajue tu kuwa safari hii Watanzania wengine hawatakubali kuona Hospitali na Shule zilizojengwa wakati wa Mkoloni kwa pesa za Watanganyika wote vikiangukia mikononi mwa Wakristo peke yao! hata Makanisa yaliyojengwa wakati wa Mkoloni nayo tutahakisha tunagawana.

Kwani matamko ya mashehe yanatolewa wapi? Mkuu akutukanaye ngomani na wewe msubiri ngomani umtukane. Matamko ya Mashehe yatolewe jukwaani ya Maaskofu yatolewe kwa maandishi sijui wayapeleke wap si ujuha huo?
 
Kwa hiyo mapadri wote saizi wapo Chadema? Mbona watuhumiwa wote wa kesi za kuchoma makanisa wameishafikishwa mahakamani. Maaskofu wanataka serikali iwanyonge hadharani ndiyo wafurahi.
kufikishwa mahakamani sawa je? unajua wameshtakiwa kwa makosa gani?, au unafikiri wakristu akili zao ni fupi tu wakimuona mtu anashuka kwenye karandinga anajua haki imetendeka? fuatilia mashtaka wlioshtakiwa nayo kisha urudi uendeleza usanii wenu
 
Kama viongozi wa ki dini nao wameanza mipasho ya kidini tutegemee nini?


Afsa wanakutakia mema.

Unatakiwa kuikosoa serikali yako ya ccm kuendekeza siasa za udini kwa mbinu mbalimbali

Inawagawa waislam kupitia bakwata ilikondoa utulivu na mshikamano kati ya waislamu

Inahubili majukwaan bila aibu na ni uzushi na uwongo uliokomaa kwamba CUF ya waislam sijuwi Julius Mtatiro ni mwislam? - rejea ya IGP Omar mahita na majabia aliiuwa CUF hadi wa leo. serikali ya CCM inasema CDM ya wakristo sijuwi akina profesa safari, zito, afi nk ni wakristo?

Unapaswa kwenda mbali kutafuta ukweli na kumtambua nani mchawi wa amani yetu, kwa vyovyote ni serikali ya ccm, hivyo inapaswa kuambiwa ukweli waziwazi ili ijirekebishe. Kukaa kimya nikurutubisha miiyo na akili zetu kwa chuki na ghazabu kwa kila imani kumchukia jirani yake bila sabau ya msingi na mwishowe ya Somalia na Nigeria yatatukumba.

Ukweli na uwazi utatukomboa na Jinamizi la propganda za ccm.
 
Lakini wajue tu kuwa safari hii Watanzania wengine hawatakubali kuona Hospitali na Shule zilizojengwa wakati wa Mkoloni kwa pesa za Watanganyika wote vikiangukia mikononi mwa Wakristo peke yao! hata Makanisa yaliyojengwa wakati wa Mkoloni nayo tutahakisha tunagawana.
Na misikiti iliyojengwa wakati wa mkoloni je?!
 
Unaijua Hindu Mandal Hospital? Unaijua Regency hospital? Unazifahamu gharama zao? Sasa bila MoU hospital za Makanisa ambazo hakuna ubishi zinahudumia wengi gharama zao zingefanana na Hindu na Regency. Unadhani Muislam maskini wa kule Kiboriloni angeweza kufanyiwa upasuaji KCMC?

Usidhani unaongea na watoto wadogo hivi kufanyiwa oparesheni KCMC ni bei rahisi. Hospital zipo nyingi tu bei nafuu siyo lazima niende Hindu.
 
Hao watumishi wa idara za serikali na mahakama anaowataja tayari walishakuwa viongozi waandamizi kwenye idara husika kabla ya rais Kikwete hajaingia madarakani.Kwa mtazamo wangu ni yeye huyo muhubiri ndio mdini na leo hii amemua kuonyesha ulimwengu kuwa nchi hii ni mfumo kristo kwa kutopenda kuona waislam kwenye nafasi za uongozi.

.
Anachokifanya askofu ni kuiamsha serikali iliyolala fofo kuwa hizo kampeni za kidini zinazoshikiwa kidedea na makundi ya kiislamu zinahitaji majibu. Badala ya kile wanachodai kuwa nchi hii ni mfumo kristo, amejaribu kuwaonyesha uhalisia wa mgawanyo wa uongozi katika uwiano wa waislam na wakristo. Na kinachowashangaza viongozi wa kikristo ni pale ambapo upande wa bara asilimia 90 ya viongozi waandamizi ni waisilamu na upande wa Zanzibar ni asilimia 100.
Maana yake ni kwamba kinachopiganiwa hapa na waisilamu ni kuhakikisha hiyo asilimia 90 ya bara inafikia asilimia mia. Kibaya zaidi ni pale ambapo kiongozi mkuu wa nchi ambae ndie aliasisi hizi harakati za kidini katika kampeni zake za 2010. Na kwa wakati huu wa propaganda zote za MOU sijui na nini yeye na serikali yake hawataki kutoa majibu yatakayoweka madai ya wananchi sawa.
Hivi kweli kwa upande wa Zanzibar inaingia akilini kweli kwamba hakuna mkristo hata mmoja mwenye sifa ya kuwa kiongozi? Jioneeni aibu enyi waisilamu mliojawa na ubaguzi huku mkija bara na uisilamu wenu kutafuta nafasi za uandamizi. Iraq yenyewe pamoja na uisilamu wake ilikuwa na waziri mkuu mkristo sembuse ninyi ambao wakristo ni wengi sana huko wakiwa na dayosisi zilizokamilika pamoja na taasisi zake ikiwa ni pamoja na mashule? SHAME ON YOU RASCISM REGIME!!
.
 
Unaijua Hindu Mandal Hospital? Unaijua Regency hospital? Unazifahamu gharama zao? Sasa bila MoU hospital za Makanisa ambazo hakuna ubishi zinahudumia wengi gharama zao zingefanana na Hindu na Regency. Unadhani Muislam maskini wa kule Kiboriloni angeweza kufanyiwa upasuaji KCMC?
Na wapo wengi, kwa jinsi wanavyofanya kila kitu bila mipaka, ngono bila mipaka, wanawake bila bipaka kadiri hela kidogo zinavyoingia au kama wanawake wanajituma kimaisha, kula vyakula hatarishi kwa wingi hadi matumbo kuwa makubwa, mabusha, figo kw akuoza meno kunakosababishwa na ulaji wa mirungi, na maji ya zamzam yenye flouride,cynanide na sumu nyingine kupita kiwango cha WHO.
 
Nakushukuru sana Kamanda wangu SEBM.Usihofu mkuu kwani hata Mandela alifungwa kwa ajili ya kutetea wanyonge..Ha..Ha..Ha!

Mkuu wangu Molemo,

Wakati uko kifungoni ulikosa mengi. Naamini ulitusoma kupitia jina la 'guest'. Basi wakati uko lupango 'unanyea debe', kulizuka mijadala mizito kati ya tarehe 18 - 21 Disemba 2012. Yaani siku chache tu za kumpokea "Mtoto Mwanaume Aliyezaliwa Kati Yetu"

Nakwambia tukio hilo likaibua wanachama wapya..watatu waliokuwa "verified" na wengine kadhaa ambao wali-prefer anonymity. Mojawapo ni rafiki yangu kipenzi Kamanda Taswira na mwenzake mwishowamwaka2012.

Basi wakati unatafakati maneno mazito ya Mzee wetu Dkt. Martin Shao kutoka Dayosisi ya Kaskazini, utambue uwepo wa hawa marafiki zetu niliokutajia.
 
Last edited by a moderator:
Tena zitapigiwa na riba ni pesa zetu sisi watanzania.



Wewe ni mwanasheria majibu yako yanareflect siasa wala sio taaluma, umenisoma mkuu ukanielewa au umekurupuka tu kwa

ghadhabu? wakati mwingine hekima itumike zaidi ya jazba. hebu nisome tena mkuu


quote_icon.png
By adolay kwa kuwa zilikuwa zimehifadhiwa benki hazifanyi kazi na hata zikirudishwa sijuwi atakula nani maana mpaka leo Za EPA zinarudi na

zinakoishia haijulikan. Vyovyote vile mkataba wowote kisheria huwa na muongozo inapotokea mafarakano-terms of reference

zitapatikana huko.

Mimi sishabikii jambo hili maana mwisho wa siku ni watanzania kwa ujumla wao ndiyo watako athilika. Kushabikia

utengano na ubaguzi ni kufuata na kutii mamlaka ya shetani, kwani kupendana na kuishi kwa amani pamoja ndiyo

maelekezo ya muumba wetu yaani MUNGU




Tena zitapigiwa na riba ni pesa zetu sisi watanzania.ya hotoba ya askofu.
 
sasa hata kama walikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia hiyo inasababisha awe amesema uongo, kama walikuwepo na si kwa usawa kwanini JK asirekebishe.

jipange usikurupuke
Msingi wa uteuzi wa viongozi si imani ya dini,anakotoka wala sura yake bali ni sifa na vigezo vya utumishi.Jifunze kutokuwa mpumbavu.
 
Back
Top Bottom