Maaskofu ikemeeni serikali-Wasira

Paschal Matubi

JF-Expert Member
Sep 15, 2008
235
302
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.

Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
 
Hapo Tyson amenena na ujumbe umfikie hicho kidudu mtu kilichoteuliwa tanga lakini bado kinang'ang'ania A town
 
Kazi ipooo mwaka huu..ccm wanasema makanisa yavue joho waziri anasema kosoeni!!!napenda hii
 
Si kuna mwingine kasema wakitaka kuingia kwenye siasa wave majoho.....:A S-confused1:
 
Safi sana Tyson...Viongozi wengi wana Hisia ati...!
Kinachowafunga mdomo ni maPrado na nafasi wanazotumikia...
Wassira kauli yako imepokelewa, na nasikia huko Mbeya Maaskofu wanafanya mkutano kujadili watoke vipi na kauli yao ya kulaani mtu!
 
Mh. Steven Wassira (Tyson) na Mh. Samuel 6 hongereni kwa kuanza kuzisoma alama za nyakati, vinginevyo nanyi mtaangukia PUA huko Majimboni kwenu. Yaonekana wengi wa viongozi ndani ya CCM wanaona ni kama vile wako pale kwa ridhaa yao wao wenyewe.

EL, naye kesha soma alama ila tatizo ni rekodi yake huko nyuma.
 
mkuu . ...hawa wanaonyesha kuanza kuungama....unaonaje tuwasamehe saba mara sabini.... halafu tuwarudishe kundini..six.., Wasira.., na EL
 
serikali imetuma ujumbe mwepesi mno kwenye shughuli hiyo ...tangu enzi za nyerere ,mwinyi hadi mkapa..shughuli ya kusimika maaskofu kiutamaduni wa ikulu wamekuwa wakituma rais mwenyewe .....huu ni muashirio mbaya kwenye mahusiano.......mara ya mwisho rais alienda bukoba kusimika askofu lutheran ..akachelewa kufika na kuhaaribu ratiba nzima na alipofika tu alihutubia na kuondoka bila kujali kushiriki chakula cha mchana alichoandaliwa na wenyeji wake!!
 
Mkuu,
Kawaida mtu akishagundua makosa yake lazima apatwe na aibu...
Atatunga sababu weee...ili asihudhurie, au aje wakati mambo yameshapita!...
 
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.

Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'

JK kasepa ameona kutia timu na suti yake ya damu noma!
 
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.

Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'

we know for sure that in CCM there are those people/leaders loyal to the the poor ppl of URT. only that they are scared of the mafia.
 
Jee huyo askofu aliyesimikwa naye hakutoa yake, kuhusu maovu ya serikali?

Kuna askofu mmoja sikumkariri jina (Nilifuatilia Radio Maria Online) alisema hakuna amani bila haki. Niliipenda hiyo na Wassira alikuwa anajaribu kurespond
 
si kuna mwingine kasema wakitaka kuingia kwenye siasa wave majoho.....:a s-confused1:

ninamfahamu mary chatanda mzaliwa wa mkoa wa mbeya aliyewawahi kuwa katibu wa vijana wa mkoa wa iringa na mumewe ni katibu msaidizi wa ccm mkoa wa iringa. Upeo wa mary wa kufikiri ni mdogo sana. Hii imetokana na makuzi yake na kukosa elimu angalau ile tunayolaumu ya shule za kata. Alichojaliwa ni ujanja wa kung'ang'ania watu. Kama mtakumbuka wakati jk anaingia ikulu mara ya i huyu alikuwa sehemu ya timu ya kampeni ya ist lady akitokea morogoro alikokuwa katibu. Baada ya uchaguzi alikuwa mshauri wa mama kabla ya kuteuliwa kuwa katibu wa mkoa wa arusha. Nasema upeo wake wa kufikiri ni mdogo kwasababu ana illussion kuwa anaweza kufanya lolote bila kuonywa kwa connection hiyo. Ataendelea kuivuruga arusha kama alivyoivuruga morogoro na iko siku atasababisha matatizo makubwa zaidi ya haya yaliyotokea juzi. Ameacha pia zogo tanga watu wanamwangalia tu na kwa woga wakampa ubunge hii ni hatari.
 
Mbona serikali ya jk ipo so disintegrated!! Viongozi waandamizi kama mawaziri wanatoa kauli zinazopingana!! Hii ni dalili tosha ya kuchokana na ubabaishaji ndani ya serikali. Wakati wa mkapa usingesikia kauli za mawaziri zikipingana kiasi hico.
 
Hivi hii siyo dalili kwamba baraza la mawaziri liko frustrated na leadership failure ya m/kiti wao? Is it not an opportunity to capitalize in the next bunge session to call for vote of no confidence againgst JK? Nani akabidhiwe hiyo hoja binafsi?
 
Back
Top Bottom