Maandishi kwenye magari, tumefika huku?

angeandika HARAKAT AL-SHABAB MUJAHDEEN ingeleta maana mby. Lakin al shabab tu ni kiarab na maana yake umeshaambiwa hapo juu
 
lipo moja limeandikwa UKIONA KAPOTEA KAMTAFUTE MAbWEPANDE, lingine JUA KALI MASTER, lingine ZIMA KIPISI MGAMBO ANAKUJA, lingine NJAA AINA BAUNSA, lingine TUKIKUMBUKA TULIKO TOKA BASI MASAI ATACHANA CHUPI, lingine BUBU UNAMFOKEA KIZIWI? lingine WATOTO WA JANGWANI, lingine .......

wameandika eti LIWALO NA LIWE
 
Ndugu mtoa hoja hivi wewe ni mgeni bongo?Achilia magari hadi kuna hotel zina majina kama Al-Qaeda,Boko Haraam n.k.Hayo ni majina tu wala hayaathiri chochote.
 
Wadau jana mida ya saa moja jioni nilikuwa nikienda sehemu ya kupata moja moto moja baridi, nikiwa kwenye gari mbele yangu kuna basi moja lilikuwa mbele yangu, basi lenyewe bila kuficha ni la kampuni ya Mohamed classic.

Kilichonikera kwenye hilo basi ni bango au mudguard iliyokuwa na maneno makubwa ya ALSHABAB. Mtu akiandika maneno kama yale maana yake ni kwamba anaunga mkono wanachofanya magaidi wa alshaabab au inawezekana ni mmoja wao. Nikajiuliza je huko njiani yanakopita hakuna hata wana usalama wa kuwauliza?

Siku za nyuma pia niliwahi kuona pia pickup moja imeandikwa "Boko Haram".

Nimejaribu kuweka picha ingawa haionekani vizuri maana ilikuwa usiku

attachment.php

ni neno la kiarab..lenye maana sawa na Mwanamume rijali aliyemkamilifu,au shujaa...nafkir ndo wanachomaanisha
 
hapo red nimecheeeka
lipo moja limeandikwa UKIONA KAPOTEA KAMTAFUTE MAbWEPANDE, lingine JUA KALI MASTER, lingine ZIMA KIPISI MGAMBO ANAKUJA, lingine NJAA AINA BAUNSA, lingine TUKIKUMBUKA TULIKO TOKA BASI MASAI ATACHANA CHUPI, lingine BUBU UNAMFOKEA KIZIWI? lingine WATOTO WA JANGWANI, lingine .......
 
Wadau jana mida ya saa moja jioni nilikuwa nikienda sehemu ya kupata moja moto moja baridi, nikiwa kwenye gari mbele yangu kuna basi moja lilikuwa mbele yangu, basi lenyewe bila kuficha ni la kampuni ya Mohamed classic.

Kilichonikera kwenye hilo basi ni bango au mudguard iliyokuwa na maneno makubwa ya ALSHABAB. Mtu akiandika maneno kama yale maana yake ni kwamba anaunga mkono wanachofanya magaidi wa alshaabab au inawezekana ni mmoja wao. Nikajiuliza je huko njiani yanakopita hakuna hata wana usalama wa kuwauliza?

Siku za nyuma pia niliwahi kuona pia pickup moja imeandikwa "Boko Haram".

Nimejaribu kuweka picha ingawa haionekani vizuri maana ilikuwa usiku

attachment.php
Huku mitaani kwetu kuna 1 limeandikwa Michael Obama.......yule ***** anayesupport ushoga duniani!
 
Back
Top Bottom