Maandamono UK:Mbona Uvunjifu Mwingi Umefanywa kwenye Maduka Ya Wahindi?

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
wenKILVf3jfdgAAAABJRU5ErkJggg==




Nilikuwa naangalia taarifa ya habari BBC,waathliwa wakubwa wa maandamano [riots] za vijana wa majiji. Vijan hawa [Yob] wengi wanaonekana ni vijana wenye asili ya kizungu na kiafrika,hakuna hata mhindi mmoja anaeoneka kwenye mtafaruku huu [anarchy] ambayo kwa sasa imetoka London, Livepool imeamia Manchester.

Natafuta kujua inakuaje vijana hawa [Yob] wanaponya uharibifu [Uproot] na kuvunja maduka mbona wanavunja maduka ya wahindi na sio wazungu na waafrika waingereza.

Wanajamvi naomba kujua siasa za wingereza na hawa wahindi nmanake kwa sasa wanaonekana wamekuwa wahanga wa mtafaruku huo kiasi kuwa sasa wengi wao maduka yao na nyumba zao zimechomwa moto,naomba mtujuze mnaojua siasa za wingereza na uchumi wao.

Manake kama kuna Nchi Ulaya ni bingwa kwa kukumbatia wageni basi ni Wingereza manake unaweza kuona watu kama Abromovick,Baba ya Marehemu Dodi Farahid na matajiri wengi tu wa kigenii kiasi kuwa wageni wengi sana wanamilki mabilioni ya pesa huku waingereza hasa kizazi kipya wakiwa choka mbaya.

Kwa kuangalia haraka mtu hawezi kujua madhara ya uchumi uliowekwa kwa wageni haswa walipoingia kishindo [impact] chake uonekana kwa kizazi cha watoto ambao baba zao walikubali kupokea wageni hao kwa kuwa wanakuwa hawana chao walichounda ambacho wazazi wao watawaachia bali wanaaacha mikononi mwa watoto na familia zz wageni wachache wenye utajiri mkubwa kupita maelezo huku wao wakiwa watumwa wao kwa kuuzwa na viongozi waliowatawala baba zao.

Ukiangalia uwezi kuamini kuwa mwingereza anavunja kuingia kuiba perfum na nguo,simu na vitu vidogo vidogo sana,ama kuna kitu nyuma ya pazia.Japo waingereza kupitia BBC wanalazimisha tuone kama ni wahuni.Je ni wahuni gani hao imesambaa miji yote mikuu.

Kulikoni na wahindi.Manake isije kuwa .......... Wamechokaaa wanatka kuowaona wanaondoka.

WanaJF tujuzane
 
Back
Top Bottom