Maandamano yenye mafanikio ni yale ambayo hayasubiri kibali cha polisi

mkweli1961

Senior Member
Nov 9, 2010
148
44
Maandamano yoyote ambayo yamepata kufanikiwa ni yale ambayo hayasubiri kupata kibali cha polisi.Ni lazima tufahamu kuwa polisi nao wanataka kuandamana lakini kutokana na miiko ya kazi zao hawawezi kufanya hinyo. Hawa polisi ni ndugu zetu, mishahara yao ni midogo nao wamechoka. Wanasubiri sisi tuanze kwa nguvu kubwa. Ndugu zangu hatupaswi kusubiri maandamano ya kupewa kibali na polisi kwani hicho kibali hakiwezi kutoka kwani hawa wanatumikia serikali ya CCM.

Kama kweli tuna kitu cha msingi tunakidai na ni haki yetu wananchi hatupaswi kusubiri kibali cha maandamano tena ya amani. Hali ya maisha in ngumu, shilingi inashuka thamani kila siku, sehemu zingine katika nchi hawana petroli, sukari bei juu, namna hii kweli tutafika. Tunahitaji ufumbuzi wa haraka. Maandamano yanasaidia watawala kuamka na kufuata misingi ya haki za binadamu.

Tunaandamanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu 100% umezungumza ukweli, ila kuna wachache humu nasikitika hawatokuelewa, police wanasubuli umma wote tulianzishe, watakuwa upande wetu tu.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia! Polisi wenyewe hawaelewi kitu, wao wakipelekewa taarifa ya maandamano wanadhani wanaombwa kibali cha kuandamana!
 
Tatizo la watanzania hawajiamini embu 2jaribu kujiamin na 2nachofanya uone kama hawa mapot hawata 2unga mkono,maana maisha yao yanahuthunisha sana.
 
Ukweli mtupu, vikao vya siri vifanyike tuhamasishane tuende njiani
 
haki haiombwi,

polisi wote walio na vyeo vya chini wakikubali nao kugoma pamoja na wananchi, hata wasipo shiriki katika maandamano, lakini wakiambiwa piga bomu la machozi waseme NO, piga virungu NO, waviongozi wa siasa wanapigania haki na maisha bora ya hata hao polisi wenyewe na watoto wao wanaosoma katika shule za kata zisizo na walimu, shule za msingi ambazo watoto wao wana kalia mawe darasani, wakati viongozi wa juu watoto wao wakisoma ulaya na marekani, wakitibiwa ulaya na india.
 
Shida ni uelewa wa polisi wetu, wanatumikishwa kama machine akimbiwa ua anaua, akiambiwa acha anaacha! Hawana utashi binafsi wanaumia na hali na maisha magumu, Tukiandamana kupinga hali hiyo wanatuttwanga tena kwa hasila kali kama wao wanaishi peponi na mafisadi kumbe kila siku ni kukopa tu.
 
Back
Top Bottom