Maandamano yajayo tusiwaachie wamachinga na wapiga debe.

mamaWILLE

Senior Member
Jul 27, 2011
151
39
Maandamano yajayo tusiwaachie wamachinga na wapiga debe kwani kila maandamano yanapoitishwa machinga na wapiga debe hujitokeza kwa wingi na wasomi kama maprof, Dk,
Phd huwa watazamaji tu. Sasa safari hii sote tujitokeze.

leo yametimia serikari imeonyesha kuwa hatuskilizi sisi wananchi tunataka nini. Serikari Imeamua kwa makusudi kusoma muswada wa sheria leo hii.

Sote tulikubaliana hapa kama ukisomwa kwa mara ya pili tuko tayari kwenda jela, kupigwa risasi na hata kuuwawa kwa kutetea haki yetu.

Jukwaa la katiba jana limetoa ahadi kama muswaada utasomwa mara ya pili basi wataandaa maandamano. Leo muswada umesomwa mara ya pili kwa maana ya jukwaa la katiba tunawadai haki waliyo ahidi ya maandamaono makubwa nchi nzima.

Wana Jf wengi mlipost kwa nyakati tofaut mko tayari kwa maandamano na mpo radhi kufa. Sasa tujiandae kwa hilo la maandamano maana tulikubaliana hapa hapa.

Natoa wito kwa wasomi maandamano yajayo wasomi tujitokeze kwa wingi tusiwaachie wamachinga na wapiga debe pekee. Kama tulivyo toa hisia zetu katika mijadala mbali mbali basi tujitokeze sote katika maandamaono hayo. TUSIOGOPE TUTASHINDA KWA UMOJA WETU.

Nawasilisha wapendwa





ria.
 
Muhimu ni vipi mtu anavyo weza kutafsiri maana ya neno maandamano hasa katika kizazi hiki cha sanyansi na teknologia. Na amini hawajawahi kuachiwa peke yao na wala haitatokea kuaachiwa wandamane peke yao kwani mara zote wanakuwa na viongozi wao.
 
nna dream kumkamata mzee wa GOMBE aka wassira harafu anisomee waraka woooote wa katiba chovu wa huyu waziri kilaza kombani sijui halafu akifika mwisho nimkate kibao atoke kamasi kwa woga halafu nimwambie PEOPLEEESSSS halafu nataka yeye ajibu huku kamasi zikimdondoka POWEEEEEEEER! mwisho nambandika alama ya V usoni
 
Back
Top Bottom