Maandamano ya zanzibar kudai kura ya maoni

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
IMG_3495.JPG

Mdau wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya Muunganoakisindikizwa na polisi kuondoka sehemu ya maandamano
IMG_3477.JPG

Kiongozi wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya Muungano Rashid Salum Adiy akizungumza muda mfupi baada ya kushikwa na polisi kwa kufanya maandamano kinyume na sheria
IMG_3473.JPG

Kiongozi wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya Muungano Rashid Salum Adiy akizungumza na simu.
IMG_3483.JPG

Jeshi la Polisi likitoa tahadhari kwa wananchi waliofika katika viwanja vya baraza la wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni juu ya Muungano
IMG_3492.JPG

IMG_3493.JPG

Kikosi maalum cha Polisi cha kuzuia fujo kikijipanga kukabiliana na wanaharakati waliofika baraza la Wawakilishi jana
IMG_3485.JPG

Baadhi ya Wanaharakati waliokuwepo kwenye viwanja vya baraza la wawakilishi wakisubiri hatima yao ya kutaka kuonana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho.
IMG_3504.JPG

IMG_3506.JPG

Hashim na wenzake wakiwa katika gari la Jeshi la Polisi likiwachukua na kuwapeleka Madema, baada ya kukusanyika katika viwanja vya baraza la wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni itakayoamua kuwepo au kutokuwepo Muungan.Picha na Habari na Mdau Othman Maulid
 
wakaze buti....ukombozi hauji kirahisi....ila mimi huku kwetu kunaniboa kweli...yaani tumetulia kama vile muungano unatunufaisha sisi...aibu kweliii.
 
Back
Top Bottom