Maandamano ya wanawake CHADEMA yaliishia vipi?

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
Ndugu wana JF,

Kulikuwa na habari humu kwenye jukwaa letu kwamba,wanawake wa CHADEMA wataandamana kwenda kumuona mama Samia kufikisha ujumbe wao kuhusu mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo kule Zanzibar.

Je, Waliandamana au walizuiwa?
 
Hawa wanawake wa ukawa kawaroga nani chadema walisema hawamtambui magufuli mpaka wakatoka bungeni leo wameanza kutambua serikali ya magufuli?
 
Kuna linalo pangwa na hawa Nyumbu likawa!!
Hahaha ili uwe mfuasi wa hawa CHAGA-DEMA
Unapaswa usiwe na Akili ya kutafakari mambo kwa kina
 
Hawa wanawake wa ukawa kawaroga nani chadema walisema hawamtambui magufuli mpaka wakatoka bungeni leo wameanza kutambua serikali ya magufuli?
Hata kiongozi wao Mdee
Anafahamu kwanini hawata rudia kuandamana kwa maslahi ya VILAZA
 
Mnajitahidi sana kuanzisha mada za kipuuzi kasha mnajijibu wenyewe, mna akili kweli nyie? Ok hata hivyo feedback ganio mnaitaka? Yanawahusu nini? Hahahhahahhahaa
 
Back
Top Bottom