Maandamano ya waislamu yazuiwa

mgomba101

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
1,817
706
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya baadhi ya Waislamu yaliyotangazwa kufanyika Novemba mosi na mbili mwaka huu ya kushinikiza kutolewa rumande kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jana kuwa maandamano hayo ni batili kutokana na kutopewa baraka na jeshi hilo.

Alisema polisi imejipanga kuwashughulikia wote watakaofanya maandamano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Aidha, alisema Jeshi la Polisi linamsaka mtu anayechapisha vipeperushi vya kuchochea maandamano ambayo ni hatari kwa wananchi.

Aliwataka wananchi kuendelea na shughuli za kiuchumi kutokana na kuimarishwa kwa usalama katika siku hizo ambazo watu hao wanataka kuandamana kinyume cha sheria.

“Hatutarudi nyuma kwa wale ambao watavunja sheria na kuvuruga amani ya nchi katika siku hizo mbili,” alisema Kova.

Kova alisema haki itapatikana mahakamani, hivyo hakuna haja ya kufanya maandamano katika mahakama hiyo ambayo inasikiliza kesi ya kiongozi huyo.

juu
 
Mabao yao yatakuwa yamechakaa sasa hawana cha kufanya chini ya miti baada ya swala.

Jambo zuri kwa serikali sio kutumia nguvu, ni kuwapa mabao na kete mpya watatulia tu, we huoni wenye shughuli zao hawashiriki
 
To All Muslims: License to Kill on 2nd November, 2012 has been GRANTED!

I love you Jesus, similarly I respect Prophet Muhammad (S.A.W)
To me GOD is LOVE, Teach me What's About ALLAH?
If I can't LOVE those I can See, How Can I testify to LOVE Someone I've never Seen?
Who is your True Enemy. If not Diseases, Hunger, and Bad Social Services which Ill-treat both (Enemy & Friend) of your squarely?

Well, I want to show you how a really Devout LOVE those considering him/her their enemy. Listen and read carefully!

DO NOT DEMONSTRATE OR ABUSE THE RIGHT OF ASSOCIATION ON 2[SUP]ND[/SUP] November, 2012 and be cautious throughout the whole month of November!

Simple and Clear; The License to Kill by using firearms at such occasions (demonstration, evil assembly, etc) has been officially GRANTED! Boys with irritating fingers are in the range field to exercise shooting without missing. On the return of these boys from your demonstrations, the state is seriously looking forward to have the corpses of the "Big Fishes" Don't dare even to be close to such demonstrations!

I am leaking this verified and classified License information while jeopardizing my position only because I love you.

Don't Trace nor Track my IP. You will end-up confused!
 
Mabao yao yatakuwa yamechakaa sasa hawana cha kufanya chini ya miti baada ya swala.

Jambo zuri kwa serikali sio kutumia nguvu, ni kuwapa mabao na kete mpya watatulia tu, we huoni wenye shughuli zao hawashiriki

Hiyo kali; kwa nyongeza ni kuwapikia ubwabwa misikitini - wanapenda ubwabwa hao! Eti ni chakula cha mtume!
 
Toka nizakiwe mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu. Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani hapo?

Maandamano ya Wakristo yapo tu wewe! Hujui wakatoliki huwa wanatembeza sanamu ya Bikira Maria?
Maandamano ya wakristo ni ya sherehe; lakini maandamano ya waislamu ni ya shari!
 
Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu
 
Toka nizakiwe mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu. Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani hapo?

Look hereunder....this is how Christians (on this case Roman Catholics) demonstrates

10.JPG
Msafara wa Mazishi ya Mhashama Kaldinari Laurean Rugambwa
yaliyofanyika Tarehe 7 Oktoba, 2012 mjini Bukoba

Attachments

  • Maandamano.JPG
    Maandamano.JPG
    170.1 KB · Views: 149
Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu
huwa wanapewa ushirikiano km wanaandamania kitu cha msingi
 
Toka nizakiwe mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu. Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani hapo?

Wanaoandamana sio waislam, waislam (Suni) wanamwelewa sana Mtume wao Muhamad ipasavyo;ukichunguza utaona tafisiri ya mafundisho ya mtume wao katika maisha yao ya kila siku.
 
Kova hawezi kupanda cheo zaidi ya hapo alipo.Uwezo wake mdogo mno kwanza najiuliza hapo kafika fikaje

alifika baada ya kumuua yule mwandishi wa habari John Lubungo Mbeya ambaye alikuwa anafuatilia mtandao wa ujambazi Mbeya unavyoshirikiana na RPC wa wakati huo Suleiman Kova
 
Back
Top Bottom