Maandamano ya waislam

Status
Not open for further replies.

Maroun MU

Member
Jul 21, 2012
97
4
Waislam wamepanga Maandamano ya Mani Tanzania hapo kesho hd ktk Ofisi ya Waziri mkuu kwa Waislam wa Dar Es Salaam na huku mikoa mingine ikielekea ktk Ofisi ya wakuu wa mikoa,huku jeshi la Polisi linaloshindwa kuamua mambo ipasavyo likitakwa Waislam wacfanye Maandamano ya Amani kwa kuogopa kuvunja amani,swali linakuja hapa kwan maandamano ya Amani siku zote huwa yanavunja amani ama kn agenda hapa imejificha juu ya kesi za waislam wote wanaoshikiliwa na jeshi la polisi.
 
Na hl jeshi la polisi itambue km waislam hapo kesho na wao hawatokubali kitu,na nina uhakika hali haito chafuka cz mkuu wa nchi yupo nchini
 
WAISLAM MNAOTAKA KUANDAMANA:-
Mkitaka kufanikiwa jambo lenu mngesema mnataka kuandamana kwenda kwa Waziri Mkuu kumpongeza kwa kumuwezesha Mwakyembe kuleta usafiri wa reli jijini DSM.
Mnakuwa na mabango yenu, dabodabo, ya kumsifu waziri mkuu mnayabeba mkiwa njiani kuelekea ofisini kwake, mkifika huko mnatoa yale yenye ujumbe wenu.
Polisi wakileta zao za kuleta wote mnalala chini huku juu mkipunga bendera nyeupe.
 
Ushauri wa bure;
Jitahidini kuwa na subira, hapo mnataka kutengeneza sababu ya kwamba mnaonewa maana kama mmeambiwa masuala yote yanashughulikiwa mnatafuta nini hapo kama sio kutengeneza issue. Je na wakristu wakiamua kuandamana kwa yale mlofanya kitaeleweka kitu hapo kweli? si itakuwa nchi ya maandamano na bado mnalia umasikini mtajikomboa lini? acheni hizo.
 
Waislam wamepanga Maandamano ya Mani Tanzania hapo kesho hd ktk Ofisi ya Waziri mkuu kwa Waislam wa Dar Es Salaam na huku mikoa mingine ikielekea ktk Ofisi ya wakuu wa mikoa,huku jeshi la Polisi linaloshindwa kuamua mambo ipasavyo likitakwa Waislam wacfanye Maandamano ya Amani kwa kuogopa kuvunja amani,swali linakuja hapa kwan maandamano ya Amani siku zote huwa yanavunja amani ama kn agenda hapa imejificha juu ya kesi za waislam wote wanaoshikiliwa na jeshi la polisi.
sasa kwenye ofisi za wakuu wa mikoa mnaenda kufanya nini?safari ile ilikuwa ikulu huku mkijua rais hayupo sasa hivi kwa waziri mkuu na wakuu wa mikoa?ama kweli ipo haja ya polisi kuwatupia waandamanaji wa namna hii vitu vizito maana inaonekana wameamua kujitoa fahamu,sasa baada ya kushugulikiwa na vitu vyenye ncha kali watazinduka.
 
Maandamo ya amani yenye dhumuni gani? Nijuavyo maandamano yoyote yana sababu mfano kupiga maamuzi fulani, kulaani vitendo fulani nk. Hebu tusaidieni sababu yao ya maandamano yaliyoisema ni ipi?
 
Waislam wamepanga Maandamano ya Mani Tanzania hapo kesho hd ktk Ofisi ya Waziri mkuu kwa Waislam wa Dar Es Salaam na huku mikoa mingine ikielekea ktk Ofisi ya wakuu wa mikoa,huku jeshi la Polisi linaloshindwa kuamua mambo ipasavyo likitakwa Waislam wacfanye Maandamano ya Amani kwa kuogopa kuvunja amani,swali linakuja hapa kwan maandamano ya Amani siku zote huwa yanavunja amani ama kn agenda hapa imejificha juu ya kesi za waislam wote wanaoshikiliwa na jeshi la polisi.

maandamano ya amani lazime yawe dedicated juu ya suala fulani. Maandamano ya amani kwa ajili ya nini?
 
Kuachiwa huru waislam waliokamatwa kwa dhurma,wakina shekh Farid,Mselem,Mussa na Shekh Ponda na wenzakeeee
 
Wewe!! kama watu wamesahau virungu vya uti wa mgongo walivyokuwa wanagongwa
na polisi maandamano yaliyopita wathubutu tena kuandamana.Unagongw kirungu halafu
unaulizwa una sh.ngapi, unachunwa halafu unaambiwa kimbia"
 
Jeshi la polisi liko sahihi, kesho hakuna ruhusa ya maandamano kwa wanaojiita waislam. uislam wa kweli ni ule wenye amani ndani yake , kama hauna amani hicho ni kitu kingine. Ujumbe kwa waislamu ,kwanini mnasahau/hamfuati agizo hili la mtume S.W.A ; ni jukumu la kila muislamu kumuunga mkono muislamu mwenzie hata kama ana nia ya kutenda kosa ili aweze kumzuia . jamani mbona mnamafundisho mazuri hamtaki kuyafuata.
 
kuachiwa huru waislam waliokamatwa kwa dhurma,wakina shekh farid,mselem,mussa na shekh ponda na wenzakeeee
ala ! Kumbe wamekamatwa kwa dhuluma!hebu tupe habari kamili maana inaonekana wewe ulishuhudia yote waliyoyafanya na wewe ni jaji muadilifu
 
Mkuu mmejiandaa kukabiliana na flying objects na vitu vizito

Hivyo vitu kesho havitatumika kabisa watapitisha kitu km hiki
jw.JPG

ama hivi
JWTZ Ikulu.JPG
kwani na wao wapo wenye DINI hiyo hiyo lkn hawakubaliani na wachocgezi wavaa suruali fupi kumbe ndani wamebeba majambia
PAKUCHE SALAMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom