Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,279
- 92,337
kwahiyo hapa unamaanisha hata kama mtu ni shoga wewe utamtetea kwa sababu ni muislamu? jamani kweli shule ni jambo muhimu.Udini na Ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga Kikwete ni nini? zaidi ya dini yake?