Maandamano ya CUF na ya CHADEMA!!!!!! Nini tumejifunza watz?

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
9
Nadhani mpaka sasa watanzania tutakuwa tumejua ukweli kuhusu nani ni mpinzani wa kweli kati ya cdm na cuf.
Maandamano ya CUF hayakuwa na kibali chochote, but yalifanyika na polisi waliyasindikiza mpaka mwisho wa safari yake. Pamoja na ushirikiano huu wa cuf na polisi but viongozi wake wakuu hawakutaka kushiriki zaidi ya kujificha na kutuma misukule yao.
Maandamano ya cdm yalikuwa na kibali cha maandishi, cha kushangaza Said Mwema akayaingilia na kuyafuta kwa mdomo, kinachonishangaza ni kwa nini alishindwa kupeleka barua ofisi ya cdm kinondoni but akaweza kuwaita waandishi wa habari ofisini kwake na kuwapa taarifa hiyo. Kipi ni rahisi, kumuita mwanahabari wa mwananchi atoke tabata mpaka mjini au kutuma mtu apeleke barua ofisini kinondoni(CDM)?
Halafu kwenye maandamano ya CUF ambayo hayakuwa na kibali chochote hata cha kuchonga mbona hatujamsikia Mwema akisema chochote na hakuna aliyeshtakiwa mpaka leo?
Mwema namuweka kwenye kundi la Wauaji, maana aliuwa wafungwa Mbeya wakati alipokuwa RPC kule miaka ya nyuma.
 
wle walipangwa kufanya vile ili,ili polisi walivyofanya kama jana wananchi waone ni kawaida tu,ila wananchi wa sasa sio wale wanaowadhania wakuwadanganya kirahisi,hapa lazima shinikizo liwekwe Mwema ajiuzuru na kufunguliwa mashitaka.....
 
Back
Top Bottom