Maandamano ya chadema

gwala

Member
Feb 8, 2011
11
0
Habari za asubui wana JF kulikuwa na taarifa za maandamano CDM leo. kwa mwenye taarifa ya kinachoendea atujuze jamani.
 
Inaelezwa magazetini kuwa yamefutwa baada ya muswada kuondolewa hati ya dharura, na kukubali ujadiliwe na waanchi zaidi na kuandikwa kwa kishwahili
 
Back
Top Bottom