Maandamano ya Chadema yatishia Serikali ya CCM madarakani

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Kauli za Mheshimiwa PM Mizengo Pinda na Waziri Ofisi ya Raisi "TYSON"......................zinathibitisha ya kuwa CCM ina hofu kubwa ya kuondolewa madarakani kwa maandamano kutokana na hoja zao za "madongo kuinama" kuwa wapo madarakani kwa mujibu wa misingi ya kidemokrasia kuonekana si za kweli hata kidogo hususani kutokana na nchi kama Misri ambako chama tawala kilikuwa kinamiliki asilimia 97 ya viti vyote Bungeni lakini sasa imethibitika ya kuwa ni udhaifu wa taasisi za utawala bora nchini humo ndizo ambazo zilikuwa zikiwahakikishia ulaji serikalini....................................na hivyo kushika hatamu kupitia dhuluma dhidi ya matakwa ya wapigakura.................

Pinda alipokuwa anaahirisha Bunge alikemea maandamano ya wanafunzi na kudai ni uvunjaji wa sheria.........................................huku "TYSON" naye akishutumu wale ambao aliwaita ni wavunjaji amani watachukuliwa hatua za kisheria............bila ya huruma yoyote ile.......

Well, Pinda and "TYSON".................we did not elect you in the first place to be our leaders...................then where that legitimacy to loot our constitutional rights of willful assembly is hailing from.........................

Haki ya raia kukutana ni ya kikatiba sasa hizo sheria zenu za kubinya haki hizo wenzetu mmezitoa wapi? AND, why now is CCM very apprehensive?????????????

The wind of democratic and economic reforms sweeping North Africa and the rest of Middle East is coming home to roost CCM alive for every imaginable and unimaginable crimes against humanity committed by TANU/ASP/CCM against the people of Tanzania since independence..............................and there is no one who can stop history from manifesting itself before our very eyes..........................
 
Waziri Mkuu apasha wanaobeza Serikali

Imeandikwa na Halima Mlacha, Dodoma; Tarehe: 16th February 2011

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewapasha baadhi ya wabunge wanaotumia siasa vibaya kuibeza Serikali iliyo chini ya CCM kuwa haijafanya jambo lolote tangu uhuru.

Akizungumza kwa takwimu Februari wakati wa kuhitimisha mjadala wa Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, aliyoitoa wakati akifungua Bunge la 10 mwaka jana, Pinda alisema kauli za wabunge hao si za dhati, hazina ukweli wowote na ni za kuvunja moyo.

Alisema umekuwapo mchezo wa baadhi ya wabunge kutekeleza dhana ya upinzani kwa kubeza juhudi za Serikali katika kuiletea maendeleo Tanzania, wakidai kuwa kwa muda wa takribani miaka 50 tangu uhuru haijaleta maendeleo yoyote.

"Leo naomba nitoe dukuduku langu, wapo baadhi ya wabunge wanadiriki kubeza juhudi za Serikali na hata kudai hapa tulipofikia ni pabaya zaidi, panatisha zaidi, napenda kuweka wazi kuwa hizi si kauli za dhati hata kidogo.

"Sina haja ya kulieleza Bunge hili kuonesha mkoloni alipoondoka katika nchi zetu (Tanganyika na Zanzibar), wananchi aliwaachia maendeleo ya namna gani.

"Lakini pia hata kama ningefanya hivyo, kwenye sekta ya afya tungeulizana walituachia zahanati ngapi? Vituo vya afya vingapi? Hospitali za wilaya ngapi?

Hospitali za mikoa na za rufaa ngapi? Hata madaktari waliokuwapo wakati huo kwa kulinganisha na idadi ya wakazi walikuwa wangapi?" Alihoji.

Katika sekta ya elimu, alisema leo kuna shule za msingi 15,816 nchini ambapo katika vijiji karibu vyote 11,812 kuna shule za msingi.

Alifafanua, kwamba wakati wa uhuru kulikuwa na wanafunzi 486,470 wa shule za msingi lakini hadi 2010 kulikuwa na wananfunzi milioni 8.4 sawa na ongezeko la asilimia 1,700.

"Aidha, kila mtoto mwenye umri wa kwenda shule, leo anakwenda. Umoja wa Mataifa umeona na kuridhika kabisa na jitihada za Serikali za kuandikisha watoto waliofikisha umri wa kwenda shule za msingi," alisema.

Alisema wakati wa uhuru kulikuwa na wanafunzi 11,832 wa sekondari na hadi 2010 kulikuwa na wanafunzi milioni 1.6 sawa na ongezeko la asilimia 13,850 na kuhusu elimu ya juu, alisema wakati wa uhuru kulikuwa na chuo kikuu kimoja leo kuna vyuo vikuu na vyuo vikuu vishiriki 32. "Mwaka 1961, mimi nilikuwa na miaka 13.

Waliokuwa na umri mkubwa kuliko mimi, wanaweza kueleza vizuri zaidi. Kwa wakati huo nakumbuka, njia ya usafiri iliyokuwa na uhakika katika nchi yetu ni watu kutembea kwa miguu, tena kwa kupita katika barabara zisizo za uhakika.

Hakukuwa na barabara za lami, changarawe na hata za udongo tu," alisema. Alisema Serikali
imepiga hatua kubwa katika ujenzi wa barabara na karibu mikoa yote sasa imeshaunganishwa na barabara za lami isipokuwa minne ya Rukwa, Kigoma, Tabora na Manyara.

"Utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara za kuunganisha mikoa hiyo ipo katika hatua
mbalimbali za upembuzi yakinifu, usanifu wa kina ama ujenzi kwa kiwango cha lami," alifafanua.

Katika sekta hiyo ya miundombinu ya barabara, alifafanua kwamba hadi mwaka 2000, kati ya barabara kuu zenye urefu wa kilometa 12,809, kulikuwa na kilometa 3,904 tu za lami.

Alifafanua, kwamba kwa sasa kuna barabara za lami za urefu wa kilometa 5,626 na kati ya hizo, Serikali katika awamu za tatu na nne zilijenga kilometa 1,722 za barabara mpya za lami kati ya mwaka 2000 na Desemba 2010.

Kuhusu hoja kwamba Serikali ya Awamu ya Nne haikujenga barabara mpya kwa kuwa nyingi zilianzia Serikali ya Awamu ya Tatu, Pinda alikiri kwamba miradi 14 ya kilometa 1,226 ilianzishwa katika Serikali ya Awamu ya Tatu.

Lakini akafafanua, kwamba kati ya miradi hiyo, iliyokamilika katika kipindi hicho cha miaka 10 ya Serikali ya Awamu ya Tatu ni saba ya kilometa 403.

Katika ufafanuzi huo, aliweka bayana kwamba Serikali ya Awamu ya Nne ilipoingia madarakani, ilirithi miradi saba iliyobaki yenye urefu wa kilometa 823 ambayo yote imekamilika sasa.

Mbali na kukamilisha miradi hiyo katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza ya Serikali hiyo,
Pinda alisema Serikali chini ya Rais Kikwete ilianzisha miradi mingine mipya 27 yenye urefu wa kilometa 1,745.

Kati ya miradi hiyo, tayari kilometa 392 zimekamilika kwa kiwango cha lami hadi Desemba mwaka jana.

"Jamani maendeleo ni hatua, Serikali hii inajitahidi na ndiyo maana tuko hapa. Na bado Serikali inaendelea na mchakato wa kuunganisha wilaya na mikoa mingine iliyobaki kwa kuhakikisha barabara zake zinakuwa za ama kiwango cha lami au changarawe," alisema.

Alisema anaelewa ndani ya Bunge wamo wabunge ambao wamepishana umri kwa kuzaliwa; wapo watu wazima waliozaliwa miaka ya zamani, wapo wa kati na pia wapo vijana "lakini wengi wao hawajui tulikotoka".

Waziri Pinda, alisema pia katika miaka ya themanini, Watanzania wenye umri mkubwa
watakumbuka kuwa hata bidhaa zao kama sukari, unga na maharage walipata kwa mgawo na kulazimika kuwa na daftari la kumbukumbu ambapo hata soda kununua ilikuwa lazima kibali.

Kuhusu ukusanyaji mapato ya Serikali, alisema kuimarika kwa uchumi kumewezesha
mapato ya kutosha.

"Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa wakati anachukua madaraka mwaka 1995, uwezo wa Serikali wa kukusanya mapato yake ulikuwa hauzidi Sh bilioni 25 kwa wastani wa kila mwezi," alisema.

Alifafanua kwamba wakati anakabidhi madaraka kwa Rais Kikwete mwaka 2005, makusanyo ya ndani kwa mwezi yalifikia wastani wa Sh bilioni 150 sawa na ongezeko la Sh bilioni 125 kwa miaka 10.

Alisema Rais Kikwete amewezesha Taifa kupata Sh bilioni 400 kwa mwezi sawa na ongezeko la Sh bilioni 275 kwa miaka mitano.

"Desemba 2010, mapato yalifikia Sh bilioni 587. Hiki ni kielelezo cha kutosha kwa Watanzania kujivuna kwamba juhudi zimefanyika," alisema Pinda.

Pia alizungumzia migomo na maandamano katika vyuo vikuu nchini na kusema tayari Serikali imemtuma Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kukagua hesabu za vyuo vyote ili kuondoa malalamiko yanayohusu fedha.

Aidha, aliwataka wanafunzi na wahadhiri wa vyuo hivyo kutokimbilia kugoma wanapotaka kudai haki zao na badala yake watumie majadiliano kupata ufumbuzi wa kile wanachokidai.

Kuhusu umeme alisema: "Hivi mkoloni alivyoondoka hali ilikuwaje? Serikali inafanya juhudi kubwa kumaliza tatizo lililopo, ipo miradi ya muda mrefu na mfupi, jamani tuwe wakweli hata kwa vitu vinavyoonekana."

Pia alivitaka vyama vya siasa kuepuka kuwa chanzo cha migogoro na uvunjifu wa amani na kuungana na viongozi wa dini kwa kuweka pembeni itikadi zao, katika kuhamasisha na kudumisha amani nchini.
 
PHP:
Pia alizungumzia migomo na maandamano katika vyuo vikuu nchini na kusema tayari Serikali imemtuma Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kukagua hesabu za vyuo vyote ili kuondoa malalamiko yanayohusu fedha. 

Aidha, aliwataka wanafunzi na wahadhiri wa vyuo hivyo kutokimbilia kugoma wanapotaka kudai haki zao na badala yake watumie majadiliano kupata ufumbuzi wa kile wanachokidai.

Well, Mr. Pinda.........the right of peaceful assembly and demonstrating against societal ills is an unalienable one.......with constitutional right of a democratic state...............................
 
Pinda alibembeleza taifa

na Irene Mark, Dodoma

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, juzi alitoa hotuba iliyoonekana dhahiri kuwabembeleza wanasiasa wa vyama vya upinzani na makundi mbalimbali ya wananchi, wakiwamo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ambao katika siku za hivi karibuni wamekuwa wakidai haki kwa nguvu, kwa njia ya migomo na maandamano.

Katika hotuba yake hiyo, Pinda alitoa ujumbe uliolenga kupoza wimbi la madai ya haki za wananchi huku akisihi busara kutumika hususan kwa wanafunzi wa chuo ambao licha ya kukiri kwamba wana madai ya msingi, aliwaomba wasubiri matokeo ya tume iliyoundwa na rais kwa ajili ya kushughulikia madai yao, likiwamo suala la mikopo.

Akitoa hotuba ya kuhitimisha mjadala wa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete bungeni juzi, Pinda aliomba ushirikiano wa wanasiasa wote bila kujali itikadi za vyama vyao kwa mustakabali mwema wa taifa hili.

Akizungumzia amani na utulivu wa nchi, waziri huyo alisema wasipokuwa imara wanasiasa na viongozi kwa ujumla nchi inaweza kutetereka, hivyo kuomba mshikamano wao.

Alisema kwa miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika huru hadi Tanzania, wananchi wote waliishi bila kubaguana, kunyanyasana, kwa uhuru, haki na usawa hivyo kutaka hali hiyo iendelee.

Alisema nchi yetu haina dini wala kabila isipokuwa kwa wananchi wake mmoja mmoja, hivyo kuwaomba viongozi wa dini waendelee kuliombea taifa ili tudumu kwa amani na utulivu.

Pinda aliyetumia muda mwingi kuzungumzia utulivu na amani ya nchi aliwataka Watanzania kuona mafanikio ya serikali kabla, wakati na baada ya uhuru huku akiwasisitiza wanasiasa wa vyama vya upinzani kuyahubiri mafanikio hayo kwa wafuasi wa vyama vyao.

"Wanaosema hakuna kilichofanyika sina hakika kama wanafahamu tulikotoka. Wale wakubwa wa umri wangu ama zaidi na wale wa kati ya miaka ya 1970 wanaweza kuwa mashuhuda wazuri wa mafanikio yetu.

"Mimi sidhani kama kuisema vibaya serikali kila siku bila kuangalia ukweli wa mambo ni sawa… nafikiri hawa wanadhani kuisema vibaya serikali ni kutekeleza kazi ya vyama vya upinzani, si sawa…hebu tujiulize wakati wa ukoloni hali ilikuwaje," alisema Pinda ambaye urefu wa hotuba yake ulimlazimu Spika wa Bunge, Anne Makinda, kutengua kanuni na kuongeza muda wa dakika 30.

Alisema kabla ya muungano Tanganyika ilikuwa na watu milioni 13 wakati Zanzibar kulikuwa na watu milioni mbili, lakini hivi sasa idadi ya watu imezidi milioni 40, hivyo ni vigumu kwa haraka kukidhi haja za watu hao.

Akitoa mfano wa idadi ya wanafunzi waliopo kuwa ni 8,419,305 huku akifananisha na waliokuwepo wakati wa uhuru kuwa ni 48,647 na kuhoji wanaosema hakuna mabadiliko kama hawalioni hilo.

Aidha, aliainisha idadi ya vijiji vilivyopo kuwa ni 18,512 ambavyo vipo kwenye maeneo tofauti na miundombinu migumu kufikika, hivyo kuwaomba wanasiasa hususan wa kambi ya upinzani kuliona hilo.

Kuhusu migomo ya vyuo vikuu, amekiri kuwepo kwa matatizo ya mfumo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, hivyo kuwaomba wanavyuo hao kuvumilia hadi tume iliyoundwa na rais itakapotoa majibu yake.

"Zaidi ya vyuo vikuu 17 wanafunzi wake wamegoma kwa madai tofauti yakiwemo fedha kidogo za chakula kwa siku, ongezeko la ada, udahili ambao wakati mwingine unasababishwa na ucheleweshwaji wa fedha za mikopo na mambo ya aina hiyo… wanavyuo hao wanazo hoja za msingi lakini kugoma si suluhu, jambo la msingi hapa ni kama alivyofanya rais kuunda tume ambayo itakuja na solution," alisema Pinda.
 
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema kuandikwa kwa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, kunaweza kulazimisha kufanyika kwa mabadiliko katika katiba ya Zanzibar, huku akionya kuwa Watanzania wasiposhikamana nchi itayumba.

Akihitimisha mjadala wa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa wakati akizindua Bunge na ambayo ilichangiwa na wabunge 176, Pinda alisema kuwa marekebisho hayo yataigusa katiba ya Zanzibar ili kuweka suala la Muungano katika hali nzuri zaidi.

"Napenda niwahakikishie Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wenzangu kwa ujumla kuwa, pamoja na marekebisho yaliyofanywa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, marekebisho yote yaliyofanywa, kwa maoni yangu, yana utashi wa kuimarisha Muungano wetu.
Hili linadhihirishwa na Ibara ya 2 ya Katiba hiyo kama nilivyoitaja hapo juu ambapo Zanzibar inajitambulisha kuwa iko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" alisema Pinda na kuongeza:
"Endapo kuna sehemu yoyote chini ya Katiba hii inayoonekana kuwa na mgongano na masharti yaliyopo ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, napenda kuwaeleza Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wenzangu kuwa, wakati wa kupitia Katiba yetu kwa lengo la kuwa na Katiba Mpya kama Serikali ilivyoelekeza, migongano yoyote inayojitokeza, itaangaliwa wakati huo kwa lengo la kuwianisha Katiba zetu hizi mbili ili kuendela kudumisha, kuimarisha na kukuza Muungano".

Pinda katika hotuba yake alilizungumzia kwa kirefu suala la marekebisho hayo kufuatia mitizamo tofauti ya wabunge kuhusu suala hilo.

Baadhi ya wabunge walitamka bayana kuwa baadhi ya marekebisho yaliyofanywa yalikuwa na mwelekeo wa kuubomoa Muugano wa Tanganyika na Zanzibar.

"…..wapo Wabunge wanaoona kuwa, Marekebisho haya ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanywa katika mazingira haya, yamekwenda mbali na hivyo kutoa picha kwamba Muungano sasa unatetereka,"alisema Pinda na kuongeza:

"Baada ya kuwasikiliza wote, naungana na wale wanaosema kuwa, Muungano huu upo pamoja na Marekebisho ya Katiba kwa mustakabali wa Nchi ya Zanzibar na Watu wake. Bado Muungano wetu ni imara na utaendelea kuwa imara".

Alisema mabadiliko hayo yameleta matumaini mapya kwa Wananchi wa Zanzibar, jambo ambalo ni la msingi katika maendeleo ya nchi na kwamba yamesaidia kuamsha hisia sahihi za Umoja, Mshikamano, Upendo, Kuvumiliana na katika kuwaletea Wananchi wa Zanzibar maendeleo.

Miongoni mwa mambo ambayo yalibainishwa na wabunge kuwa yanakiuka sheria mama ambayo ni Katiba ya nchi ni pamoja nakuelezwa kuwa Zanzibar ni Nchi, Rais wa Zanzibar kupewa mamlaka ya kugawa maeneo ya Kiutawala (Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo) badala ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyokuwa awali, ukomo wa Mamlaka ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika kusikiliza baadhi ya Mashauri Tanzania Visiwani na
Rais wa Zanzibar kutambulika kuwa ndiye Mkuu wa Nchi ya Zanzibar.

Aliwataka Watanzania kuyatazama marekebisho ya kumi yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar kama njia ya kuimarisha na kwamba hata mjadala wa kuandikwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhamira iwe hiyo hiyo.

Pamoja na kauli hiyo, lakini kiongozi huyo alisema bado Tanzania ina amani na utulivu wa kutosha kupigiwa mifano na mataifa mengine ya jirani akisema kuwa amani hiyo inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote.

Katika hotuba hiyo iliyochukua dakika 57, Pinda alisema kuwa amani ya Tanzania inapaswa kulindwa na watu wote wakiwemo wanasiasa, viongozi wengine wakiwemo watu wa kada mbalimbali.

“Licha ya kuwa Tanzania bado imejaa amani na utulivu, lakini tusiposhikamana nchi itayumba na umoja wetu utatoweka kabisa natoa wito kwa watu wote kila mmoja kwa nafasi yake bila kujali itikadi zao kuulinda umoja na amani tuliyonayo ili iweze kudumu zaidi,” alisema Pinda na kuongeza;

“..Hata tukitaka kujenga uchumi imara, ni lazima nchi ilinde amani yake kwa gharama yoyote ile, hivyo tutafanya kila tuwezalo kuilinda amani hiyo isivurugwe.”

Pinda pia alikemea migomo katika vyuo akisema kuwa njia hiyo siyo utaratibu mzuri wa kudai haki.

"Kudai haki, sio njia nzuri wa utatuzi wa migogoro katika vyuo,"alisema Pinda.

Waziri mwingine aliyechangia katika hotuba hiyo ni Stephen Wasira (Mahusiano na Uratibu) ambaye alionya kuwa nyufa za udini zimeanza kujitokeza na akasema lazima hali hiyo ikemewe kwa nguvu zote.

Wassira aliwageukia wabunge wa kambi ya upinzani na kusema lazima wawe makini kwa kuna kuna kila dalili kwao ya kushabikia uvunjifu wa mani.

Alisema kuwa sifa ya upinzani ni kujenga hoja na wala sio kukimbilia maandamano na kugomea hotuba za viongozi huku wakitoka nje ya kumbi za vikao.

“Sifa kubwa ya upinzani ni kujenga hoja sio kukimbilia nje na kufanya maanadamano, lakini si mnajua hata mimi nilikuwa upinzani na hasa wewe Selasini unajua hilo na kaka yako anajua tulikuwa wote hivyo mkivuruga amani tuliyonayo hata ninyi mtaingia katika nchi ambayo haitawaliki na itawachukua muda mrefu badala ya kuleta maendeleo ninyi mtaanza kutafuta amani,” alisema Wasira huku akimyooshea kidole mbunge wa Rombo Joseph Selasini na wabunge wa CCM wakishangilia.

Mawaziri wengine waliojibu hoja mbalimbali za wabunge zilizojitokeza kwenye hotuba hiyo ya Rais kwenye uzinduzi wa bunge ni Profesa Jumanne Maghembe( Kilimo), Haji Mponda (Afya),Philip Mulugo naibu Waziri (Elimu), Omary Nundu (Uchukuzi)John Magufuli (Ujenzi) na Naibu Waziri wa Viwanda biashara na Masoko Lazaro Nyarandu.

Bunge linaendelea leo, baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Maulid ambapo leo wabunge wataanza kwa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kabla ya kuingia katika maswali ya kawaida.
 
Pinda: Katiba mpya kuiathiri ya Zanzibar

Wednesday, 16 February 2011
Waandishi Wetu - Dodoma

Miongoni mwa mambo ambayo yalibainishwa na wabunge kuwa yanakiuka sheria mama ambayo ni Katiba ya nchi ni pamoja nakuelezwa kuwa Zanzibar ni Nchi, Rais wa Zanzibar kupewa mamlaka ya kugawa maeneo ya Kiutawala (Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo) badala ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyokuwa awali, ukomo wa Mamlaka ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika kusikiliza baadhi ya Mashauri Tanzania Visiwani na Rais wa Zanzibar kutambulika kuwa ndiye Mkuu wa Nchi ya Zanzibar.

Aliwataka Watanzania kuyatazama marekebisho ya kumi yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar kama njia ya kuimarisha na kwamba hata mjadala wa kuandikwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhamira iwe hiyo hiyo.

Pamoja na kauli hiyo, lakini kiongozi huyo alisema bado Tanzania ina amani na utulivu wa kutosha kupigiwa mifano na mataifa mengine ya jirani akisema kuwa amani hiyo inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote.

Katika hotuba hiyo iliyochukua dakika 57, Pinda alisema kuwa amani ya Tanzania inapaswa kulindwa na watu wote wakiwemo wanasiasa, viongozi wengine wakiwemo watu wa kada mbalimbali.

"Licha ya kuwa Tanzania bado imejaa amani na utulivu, lakini tusiposhikamana nchi itayumba na umoja wetu utatoweka kabisa natoa wito kwa watu wote kila mmoja kwa nafasi yake bila kujali itikadi zao kuulinda umoja na amani tuliyonayo ili iweze kudumu zaidi," alisema Pinda na kuongeza;

"..Hata tukitaka kujenga uchumi imara, ni lazima nchi ilinde amani yake kwa gharama yoyote ile, hivyo tutafanya kila tuwezalo kuilinda amani hiyo isivurugwe."

Pinda pia alikemea migomo katika vyuo akisema kuwa njia hiyo siyo utaratibu mzuri wa kudai haki.

"Kudai haki, sio njia nzuri wa utatuzi wa migogoro katika vyuo,"alisema Pinda.

Waziri mwingine aliyechangia katika hotuba hiyo ni Stephen Wasira (Mahusiano na Uratibu) ambaye alionya kuwa nyufa za udini zimeanza kujitokeza na akasema lazima hali hiyo ikemewe kwa nguvu zote.

Wassira aliwageukia wabunge wa kambi ya upinzani na kusema lazima wawe makini kwa kuna kuna kila dalili kwao ya kushabikia uvunjifu wa mani.

Alisema kuwa sifa ya upinzani ni kujenga hoja na wala sio kukimbilia maandamano na kugomea hotuba za viongozi huku wakitoka nje ya kumbi za vikao.

"Sifa kubwa ya upinzani ni kujenga hoja sio kukimbilia nje na kufanya maanadamano, lakini si mnajua hata mimi nilikuwa upinzani na hasa wewe Selasini unajua hilo na kaka yako anajua tulikuwa wote hivyo mkivuruga amani tuliyonayo hata ninyi mtaingia katika nchi ambayo haitawaliki na itawachukua muda mrefu badala ya kuleta maendeleo ninyi mtaanza kutafuta amani," alisema Wasira huku akimyooshea kidole mbunge wa Rombo Joseph Selasini na wabunge wa CCM wakishangilia.

Mawaziri wengine waliojibu hoja mbalimbali za wabunge zilizojitokeza kwenye hotuba hiyo ya Rais kwenye uzinduzi wa bunge ni Profesa Jumanne Maghembe( Kilimo), Haji Mponda (Afya),Philip Mulugo naibu Waziri (Elimu), Omary Nundu (Uchukuzi)John Magufuli (Ujenzi) na Naibu Waziri wa Viwanda biashara na Masoko Lazaro Nyarandu.

Bunge linaendelea leo, baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Maulid ambapo leo wabunge wataanza kwa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kabla ya kuingia katika maswali ya kawaida.
 
Waziri mwingine aliyechangia katika hotuba hiyo ni Stephen Wasira (Mahusiano na Uratibu) ambaye alionya kuwa nyufa za udini zimeanza kujitokeza na akasema lazima hali hiyo ikemewe kwa nguvu zote.

Wassira aliwageukia wabunge wa kambi ya upinzani na kusema lazima wawe makini kwa kuna kuna kila dalili kwao ya kushabikia uvunjifu wa mani.

Alisema kuwa sifa ya upinzani ni kujenga hoja na wala sio kukimbilia maandamano na kugomea hotuba za viongozi huku wakitoka nje ya kumbi za vikao.

"Sifa kubwa ya upinzani ni kujenga hoja sio kukimbilia nje na kufanya maanadamano, lakini si mnajua hata mimi nilikuwa upinzani na hasa wewe Selasini unajua hilo na kaka yako anajua tulikuwa wote hivyo mkivuruga amani tuliyonayo hata ninyi mtaingia katika nchi ambayo haitawaliki na itawachukua muda mrefu badala ya kuleta maendeleo ninyi mtaanza kutafuta amani," alisema Wasira huku akimyooshea kidole mbunge wa Rombo Joseph Selasini na wabunge wa CCM wakishangilia.

CCM is very afraid...............................and has every reason to be...................................very afraid of democratic and economic reforms sweeping North Africa and the rest of the Middle East......................................just like the days of independence...............................it all begun with the wind of change sweeping across Africa.........................and it was the colonialists; whom CCM had inadequately replaced, who had argued they will withstand the storm..........................AND, now CCM is also making a similar outlandish claim.....................................Truthfully, history repeats itself.....................................
 
PHP:
Aliwataka Watanzania kuyatazama marekebisho ya kumi yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar kama njia ya kuimarisha na kwamba hata mjadala wa kuandikwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhamira iwe hiyo hiyo.
 
Pamoja na kauli hiyo, lakini kiongozi huyo alisema bado Tanzania ina amani na utulivu wa kutosha kupigiwa mifano na mataifa mengine ya jirani akisema kuwa amani hiyo inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote.

Katika hotuba hiyo iliyochukua dakika 57, Pinda alisema kuwa amani ya Tanzania inapaswa kulindwa na watu wote wakiwemo wanasiasa, viongozi wengine wakiwemo watu wa kada mbalimbali.

"Licha ya kuwa Tanzania bado imejaa amani na utulivu, lakini tusiposhikamana nchi itayumba na umoja wetu utatoweka kabisa natoa wito kwa watu wote kila mmoja kwa nafasi yake bila kujali itikadi zao kuulinda umoja na amani tuliyonayo ili iweze kudumu zaidi," alisema Pinda na kuongeza;

"..Hata tukitaka kujenga uchumi imara, ni lazima nchi ilinde amani yake kwa gharama yoyote ile, hivyo tutafanya kila tuwezalo kuilinda amani hiyo isivurugwe."

Pinda pia alikemea migomo katika vyuo akisema kuwa njia hiyo siyo utaratibu mzuri wa kudai haki.

"Kudai haki,  sio njia nzuri wa utatuzi wa migogoro katika vyuo,"alisema Pinda.

Asichoelewa Pinda ni kuwa marekebisho ya katiba ya Zanzibar siyo shirikishi hata kidogo.....................ni makubaliano ya viongozi wa CCM na CUF kuwa hawana cha kugombania kwa kugawana keki ndogo iliyopo hazina.......................................mtu wa kawaida hakushirikishwa katika kuyafanya hayo marekebisho...........................................kama CCM inataka kupita njia hiyo ya ulaghai dhidi ya raia wa nchi hii wasije wakamlaumu mtu ya kuwa ni nani ameleta machafuko.................................
 
Kwa heri mtoto wa mkulima wa bandia............................mwanzoni nilidhan i tunaweza kuwa tumepata mtu mwadilifu ambaye ataweza kukemea uovu lakini pamoja na kuwa mtoto wa mkulima sijawahi kumskia pinda akikemea wala rushwa au wanaoifilisi nchi wakati hyo ndiyo chanzo cha matatizo yote tunayoyona sasa.....................haiwezekani kikwete,pinda, na serikali ya ccm wangali wanajua watu wanaogawana utajiri wa nchi na wao wasitoe matamko..................tunajua piunda na viongozi wote wa ccm ni sehemu ya uchafu huu wote...............

Tutawashikisha adabu
 
Pinda lazima awe na hofu kwa sababu hakuachaguliwa na wananchi.Aliachakachua akadai amepita bila kupingwa. Lkn Masha aliwaumbua wale wote waliodai kupita bila kupingwa.
 
Tuandae freedom square yetu tuwaondoshe madarakani hawa ccm na kikwete waliuochoka kufikiri, hawana dira wala sera za kutuongoza tuseme basi
 
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema kuandikwa kwa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, kunaweza kulazimisha kufanyika kwa mabadiliko katika katiba ya Zanzibar, huku akionya kuwa Watanzania wasiposhikamana nchi itayumba.

Akihitimisha mjadala wa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa wakati akizindua Bunge na ambayo ilichangiwa na wabunge 176, Pinda alisema kuwa marekebisho hayo yataigusa katiba ya Zanzibar ili kuweka suala la Muungano katika hali nzuri zaidi.

"Napenda niwahakikishie Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wenzangu kwa ujumla kuwa, pamoja na marekebisho yaliyofanywa katika Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, marekebisho yote yaliyofanywa, kwa maoni yangu, yana utashi wa kuimarisha Muungano wetu.
Hili linadhihirishwa na Ibara ya 2 ya Katiba hiyo kama nilivyoitaja hapo juu ambapo Zanzibar inajitambulisha kuwa iko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" alisema Pinda na kuongeza:
"Endapo kuna sehemu yoyote chini ya Katiba hii inayoonekana kuwa na mgongano na masharti yaliyopo ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, napenda kuwaeleza Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wenzangu kuwa, wakati wa kupitia Katiba yetu kwa lengo la kuwa na Katiba Mpya kama Serikali ilivyoelekeza, migongano yoyote inayojitokeza, itaangaliwa wakati huo kwa lengo la kuwianisha Katiba zetu hizi mbili ili kuendela kudumisha, kuimarisha na kukuza Muungano".

Pinda katika hotuba yake alilizungumzia kwa kirefu suala la marekebisho hayo kufuatia mitizamo tofauti ya wabunge kuhusu suala hilo.

Baadhi ya wabunge walitamka bayana kuwa baadhi ya marekebisho yaliyofanywa yalikuwa na mwelekeo wa kuubomoa Muugano wa Tanganyika na Zanzibar.

"…..wapo Wabunge wanaoona kuwa, Marekebisho haya ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanywa katika mazingira haya, yamekwenda mbali na hivyo kutoa picha kwamba Muungano sasa unatetereka,"alisema Pinda na kuongeza:

"Baada ya kuwasikiliza wote, naungana na wale wanaosema kuwa, Muungano huu upo pamoja na Marekebisho ya Katiba kwa mustakabali wa Nchi ya Zanzibar na Watu wake. Bado Muungano wetu ni imara na utaendelea kuwa imara".

Alisema mabadiliko hayo yameleta matumaini mapya kwa Wananchi wa Zanzibar, jambo ambalo ni la msingi katika maendeleo ya nchi na kwamba yamesaidia kuamsha hisia sahihi za Umoja, Mshikamano, Upendo, Kuvumiliana na katika kuwaletea Wananchi wa Zanzibar maendeleo.

Miongoni mwa mambo ambayo yalibainishwa na wabunge kuwa yanakiuka sheria mama ambayo ni Katiba ya nchi ni pamoja nakuelezwa kuwa Zanzibar ni Nchi, Rais wa Zanzibar kupewa mamlaka ya kugawa maeneo ya Kiutawala (Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo) badala ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyokuwa awali, ukomo wa Mamlaka ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika kusikiliza baadhi ya Mashauri Tanzania Visiwani na
Rais wa Zanzibar kutambulika kuwa ndiye Mkuu wa Nchi ya Zanzibar.

Aliwataka Watanzania kuyatazama marekebisho ya kumi yaliyofanywa kwenye Katiba ya Zanzibar kama njia ya kuimarisha na kwamba hata mjadala wa kuandikwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhamira iwe hiyo hiyo.

Pamoja na kauli hiyo, lakini kiongozi huyo alisema bado Tanzania ina amani na utulivu wa kutosha kupigiwa mifano na mataifa mengine ya jirani akisema kuwa amani hiyo inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote.

Katika hotuba hiyo iliyochukua dakika 57, Pinda alisema kuwa amani ya Tanzania inapaswa kulindwa na watu wote wakiwemo wanasiasa, viongozi wengine wakiwemo watu wa kada mbalimbali.

“Licha ya kuwa Tanzania bado imejaa amani na utulivu, lakini tusiposhikamana nchi itayumba na umoja wetu utatoweka kabisa natoa wito kwa watu wote kila mmoja kwa nafasi yake bila kujali itikadi zao kuulinda umoja na amani tuliyonayo ili iweze kudumu zaidi,” alisema Pinda na kuongeza;

“..Hata tukitaka kujenga uchumi imara, ni lazima nchi ilinde amani yake kwa gharama yoyote ile, hivyo tutafanya kila tuwezalo kuilinda amani hiyo isivurugwe.”

Pinda pia alikemea migomo katika vyuo akisema kuwa njia hiyo siyo utaratibu mzuri wa kudai haki.

"Kudai haki, sio njia nzuri wa utatuzi wa migogoro katika vyuo,"alisema Pinda.

Waziri mwingine aliyechangia katika hotuba hiyo ni Stephen Wasira (Mahusiano na Uratibu) ambaye alionya kuwa nyufa za udini zimeanza kujitokeza na akasema lazima hali hiyo ikemewe kwa nguvu zote.

Wassira aliwageukia wabunge wa kambi ya upinzani na kusema lazima wawe makini kwa kuna kuna kila dalili kwao ya kushabikia uvunjifu wa mani.

Alisema kuwa sifa ya upinzani ni kujenga hoja na wala sio kukimbilia maandamano na kugomea hotuba za viongozi huku wakitoka nje ya kumbi za vikao.

“Sifa kubwa ya upinzani ni kujenga hoja sio kukimbilia nje na kufanya maanadamano, lakini si mnajua hata mimi nilikuwa upinzani na hasa wewe Selasini unajua hilo na kaka yako anajua tulikuwa wote hivyo mkivuruga amani tuliyonayo hata ninyi mtaingia katika nchi ambayo haitawaliki na itawachukua muda mrefu badala ya kuleta maendeleo ninyi mtaanza kutafuta amani,” alisema Wasira huku akimyooshea kidole mbunge wa Rombo Joseph Selasini na wabunge wa CCM wakishangilia.

Mawaziri wengine waliojibu hoja mbalimbali za wabunge zilizojitokeza kwenye hotuba hiyo ya Rais kwenye uzinduzi wa bunge ni Profesa Jumanne Maghembe( Kilimo), Haji Mponda (Afya),Philip Mulugo naibu Waziri (Elimu), Omary Nundu (Uchukuzi)John Magufuli (Ujenzi) na Naibu Waziri wa Viwanda biashara na Masoko Lazaro Nyarandu.

Bunge linaendelea leo, baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Maulid ambapo leo wabunge wataanza kwa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kabla ya kuingia katika maswali ya kawaida.
Mheshimiwa Pinda Pole sana kwani haitokuwa rahisi ya Kuandika katiba mpya ya Tanzania ikawa ni sababu ya Kuathir katiba ya Zanzibar iliofanyiwa marekebisho ya 10 kwa kuulizwa watu kwa kura ya maoni na Wazanzibari waka kaa kimya kukutizama wewe ukiiathiri katiba yao hilo halitawezkana. Litakalo wezekana ni kuwa na Serikali 3 ndani ya katiba mpya ya Tanzania hiyo itakayoandikwa ikishindikana kwaheri Muungano huu utavunjika na kila mtu atarudia katika Nchi yake kama ilivyokuwa kabla ya tarehe 25.4.1964 sisi tulikuwa Nchi mbili tafauti haiwi SUDAN iliokuwa ni Nchi moja leo sio ziko 2 kila upande na wake. Bila ya Serikali Pinda nuungano huu mwisho wake umeshafikia tunakuahi tena di utavunjikaaaaaaaaaaa
 
Hali hii haisaidii CCM bali inaipeleka shimoni. Wajaribu kusoma move za Sokoine au Mandela, suala ni nini kinasibu wana wa nchi, Kwa mtindo huu watangooka kabisaaa.
 
Naona nimwamini asemacho kwa sasa. Ila kilichofanyika zanzibar kifanyike Tanganyika halafu tutaangalia maeneo muafaka. Katiba ya Tanganyika iko wapi tuanze na sisi kura ya maoni.:hungry:
 
Tuandae freedom square yetu tuwaondoshe madarakani hawa ccm na kikwete waliuochoka kufikiri, hawana dira wala sera za kutuongoza tuseme basi
me naona mnazi mmoja itakuwa mahala muafaka pa kukutania tukijipanga kufanya million people much foward yetu ya kuiangusha serikali kwani pale ndipo walipozikwa mashujaa wa nchi hii
 
Hatutaki kusiki hizo hadithi; kwani Wazanzibari ndio wamesema Katiba Mpya Muungano hawapendi kuiona????
 
Sija msoma vizuri huyu Pinda ina maana maendeleo tuliyonayo yanatakiwa yawe propotional na maligafi zetu zinazoibiwa kwa hiyo alitegemea tusiendelee kuanzia uhuru mpaka leo hii kweli na wewe pinda nimeamini ni fisadi mmoja wapo. umewekwa kama kivuli ili wajanja waendelee kuila nchi halafu wanakuletea taarifa ukatoe Bunge kama hii ili kuwarithisha wasiojua ukweli. Acha kudaganya wananchi kwa kauli za kejeli zisizo na maono.:clap2:
 
PINDA KUBALI MDOMO ULIPINDA NA MH: LEMA ALITAKA KUUNYOOSHA ILI UWE UNAONGEA VITU VILIVYONYOOKA. This ia New Generation Mzee! Hata watoto mliowasababishia Div.0 hawawaelewi.
 
CCM wanajua kabisa sikio la kufa halisikii dawa ...... wanajua kaburi lao lishachimbwa, bado wao kuzikwa tu....... Wanatapa tapa tu.... Unafikiri mchezo nn? We fikiria wakigeuka huku Richmond/Dowans, huku kuna Meremeta, huku EPA, huku maandamano vyuoni, walimu etc, huku Mabomu G'mboto... etc. Pinda kaona speaker ameanzisha bunge la vijembe nayeye kaamua ingia kucheza hivyo vijembe....... Sorry for CCM as they're finalizing their era......
 
Back
Top Bottom