Maandamano ya CHADEMA Karagwe

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,861
1,302
Mji mzima wa Omurushaka na Kayanga shughuli zimesimama kabisa. Watu wametoka vijiji vya mbali kuja kuwaona wakombozi wao.
Naenda kwenye maandamano, nikirudi nitaweka picha. Natumia pc ya rafiki yangu.
well done CDM - peoples power!

Nimeweka picha katika hizo attachments. Mtandao ukitulia nitaweka nyingine
 

Attachments

  • karagwe 4.doc
    553 KB · Views: 35
  • karagwe 3.doc
    924.5 KB · Views: 31
Safi sana hadi kieleweki na wananchi wamjue mchawi wa maendeleo yao ni nani.
 
Mhadithiwe tu msiane kwa macho, haishangazi chama chetu kuchanganyikiwa, Jamani wazee tulizeni vichwa fanyeni vitu genuine hii aibu sitaki kuiona kwenye macho yangu dah... tofauti hapa hakuna unafiki... CHADEMA watu wanakuja wenyewe, sisi tunaitana weeeee na kutafutiana posho za kwenda kwenye mikutano kazi kwelikweli... Wazee tafuteni kiongozi ndani yenu tuokoe chama, siasa za majungu uzushi kejeli zimepitwa na wakati Generation X hawqaelewi hilo sijui kama mnasoma alama za nyakati....
 
Hii hamasa itadumu hadi 2015? - matokeo ya muda mfupi wa hii hamasa ni lini? Wananchi wasije kuchoka CDM kama walivyokwisha choka CCM kwa maendeleo ya maisha yao.
 
Hii hamasa itadumu hadi 2015? - matokeo ya muda mfupi wa hii hamasa ni lini? Wananchi wasije kuchoka CDM kama walivyokwisha choka CCM kwa maendeleo ya maisha yao.
mkuu haponi m2.CCM ilishakufa 2010,mazishi 2015.2nasubiri ndugu wa marehem ambao ni Cuf,nccr,udp na wengine,wakifika 2 mazishi
 
mmmmh hii nguvu ya umma ndio inamfanya jamaa asikae nchini kila kukicha kwani anapatwa na stress za ajabu kila akiwaona hawa watu kwenye maandamano.
chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa................vemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ngojeni waende Dodoma kujivua gamba labda wataeleweka kidogo, mpaka sasa ni hofu tupu
 
Back
Top Bottom