Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

People's power kwa kweli
sudden changes is inevitable watalawa kubalini kushindwa acheni unyanyasaji
mwee.
Mungu tusaidie tushinde huu udhalimu
 
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.

Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.

Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".

Du kazi kweli kweli, corruption can wash people's brains
 
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.

Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.

Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".
Nyie CCM hata hotuba tu mnaandamana eti kuunga mkono inawasaidia nini mbona huwa hamsemi ni matembezi ya kuunga mkono hotuba.
 
fedha ingewasaidia sana wahanga wa hayo mabomu kuliko kutumika kwenye maandamano, taifa kwanza
tunaangalia kwanza nani alifanya uzembe kwa kuua ndugu zetu! Na ccm ndo mmefanya kazi hiyo hv nimesahau ccm MLITOA nini kwa wahanga unakumbuka mkuu au kazi yenu ni kukosoa wenzenu tuu na mnahali mbaya sana ninyi!
 
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?
Wewe bwana ndo mnafiki, mara ngapi CCM wamefanya maandamano yasiyo na kichwa wala miguu na hakuna aliyewahi kuhoji? Kwa mfano siku ya tar 05/02, mlifanya maandamano, yalikuwa yanahamasisha nini yale? wenzenu haya yanalenga kutetea rasilimali za nchi zisitumiwe hovyo na wahuni kama wewe, ninyi ya kwenu yalitaka kusema nini kwa nchi, na yalisababisha watu waahiriishe shughuli zao za maendeleo, na barabara zilifungwa ili ninyi muandamane, kulikuwa na return gani kwa nchi kutokana na maandamano yenu yale?
 
Viajenda vya kuchupia chupia na kuleta fujo tu, mara hii mnachokitegemea kitokee Mwanza, kama kule Arusha, hakitatokea, labda mkitafute wenyewe, hakuna wa kuwaopoweni, mtapiga makelele mchana na usiku mtatafuta vitanda mlale!

Kwani kulala shida? shida ni nani aliye lala chini yetu.
 
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?[/QUOTE]

Weee! weee! usinichefue hapo kwenye RED. Are you in this world au ushakufaga. Majuzi hujasikia mafanikio ya MAANDAMANO huki Tunisia na Misri! Habari ndio hiyo. Kama wewe ni CCM hamna chenu mmekalia kuti kavu.
 
Mwanza wa hosptali na maendeleo kwa ujumla kwa nchi kama ya kwetu iliyojaa ufisadi ni maandamano. Tafadhali usiache kutujuza kinachojiri
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

We boya kweli sasa hayo yatakuja umekaa hapa tumeongea sana saiv ni mwendo wa vitendo tu try to reason
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

unatia aibu kama sio kinyaa mbona hukupinga maandamano ya wana CCM wakati wa kumpongeza Kikwete kwa kura za Kuchakachua? yangekuwa hayana faida wenzetu wa Arusha wasingeuawa kisa tu serikari inaogopa maandamano:spider:
 
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.
Halima anakubalika sana alipokuja arusha MC aliwasahau viongozi wa CDM kuwatambulisha...watu walipiga kelele wakimtaka Halima kweli mpaka alitambulisha na kila lilipokuwa likitajwa jina la Halima Mdee watu ni shangwe, ndivyo inavyo takiwa hata kama hata gombea kawe anaweza kugombea Jimbo lolote Tanzania na akapita...Halima Fanyakazi watu wanakukubali mbaya kabisa
 
Hao vibwengo ni kuachana nao wala mhihangaike kujibizana nao! Pipoz pouwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Wewe ni Kilaza kweli miaka 50 yote imetufikisha hapa -hatuna maji, hatuna barabara, afya hovyo, shule hovyo, makazi hovyo, ufisadi juu, watawala wanyonyaji na mambo mengine. Mandamano ni njia ya ukombozi penda usipende kinachofanywa na chadema ni wajibu wa chama cha siasa makini na hai. Mwambie makamba atekeleza miradi ya serikali sio kuruhusu wizi kwa kukupa vijsent kuja kuandika upupu hapa. Watawala hasi na vibaraka kama wewe. Kuwa great thinkers na unga mkono juhudi za kimapinduzi.
 
Back
Top Bottom