Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

wewe maandamano unayoyataka ni ya mshikamano. tunawajua nyinyi, wivu tu umewajaa. mnaona nchi inawashinda mnasingiziaMaandamano. Mbona nchi za Kiarabu zimefanikiwa ktk kuandamana? Wewe subiri upepo ugeuke ndipo utakapojua nini kitawatokea. Kama mgeshinda kihalali bila ya wizi leo hii msingestuka hivi.Na kama mgechaguliwa kwa % mlizojitangazia. watu wote wangewaunga mkono. Soma alama za nyakati.Nchi imeshamwagiwa Petroli cheche tu Moto utawaka.

Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.

Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.

Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".
 
nYIE WAJINGA MABOOM YANALIPUKA KWA UZEMBE WENU HALAFU MNATULETEA UPUMBAVU WENU HAPA PUMBAVU ZENU CCM! n

Mkuu najua wamekuzi sana,wasamehe bure na usitumie abusive language,tusichoke kuwaelimisha ipo siku wataelimika!!
 
Sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?
Unanifurahisha sana toka uanze kupiga kelele umezuia nini maandamano ndiyo kwanza yanaendelea sasa tuko mjini katikati Nyerere Road endelea tu kufurahisha kijiwe.
 
icon1.png
Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mwanza-Live

Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo. THINK CAREFULLY BEFORE YOU WRITE.
 
Fedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
Na fedha alizotumia mwenyekiti wako kwenda kufanyia usuhishije?anzeni kuwapelekea hizo kwanza na mnazotaka kuwalipa dowans,acha kuwa kibaraka wewe hii nguvu ya umma hamuwezi kuizuia someni alama za nyakati....CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA VEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
PEOPLE'SSSSSSSSSSSSSSS.......POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

We huna akili, kazi zenyewe za kufanya ziko wapi? Ajira hakuna si bora tuandamane kuzidai, CCM wanajisifia ajira za kuokota makopo, tunaandamana tupate ajira za heshima.
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Wewe unafikiri kazi ya serikali ni nini??? Yaani tulipe kodi halafu tuhamasishe kujenga shule?? Fine tutawahamasisha kwa kuandamana!!! Inakuuma kwa vile mwisho wenu unakaribia siyo?? Mtaondoka Mubarak design!!
 
zemarcopolo serikali nyingi za kiafrika ikiwemo tanzania bila kuziconfront haziwezi kusikiliza kilio cha wananchi sasa njia pekee ni kuandamana. Effect ya maandamano haiwezi kuonekana right away lakini eventually itaonekana tu.
Mkuu jinsi unavyoandika inaonekana haupo Tanzania.
 
andamaneni halafu kesho asubuhi au wiki ijayo mtuambie hayo maandamano yameleta mabadiriko gani?
Sio mnaandamana kila siku na hakuna kinachobadiria lakini bado mnaandamana tena na tena na tena.
Kuwa insane maana yake ni " to do the same thing again and again and then somehow expect different results". Mkiandamana kila siku na hakuna kinachobadirika mjue mko insane.

he he he utakufa nalo babu.
 
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?

Kila Mtanzania anafahamu Coca Cola, Safari Beer, Pepsi, Voda, AirTel nk. lakini kwenye vyombo vya habari matangazo yao hayaishi; Ukijua haya makampuni yanapata nini kwa kujitangaza wakati tayari yana majina makubwa mbele ya jamii utafahamu Mikutano ya hadhara au maandamano yana manufaa gani kwa chama husika
 
Viajenda vya kuchupia chupia na kuleta fujo tu, mara hii mnachokitegemea kitokee Mwanza, kama kule Arusha, hakitatokea, labda mkitafute wenyewe, hakuna wa kuwaopoweni, mtapiga makelele mchana na usiku mtatafuta vitanda mlale!
 
Inapendeza miji mzima ni vidole viwili tu.

Mheshimiwa,
Hapo furahisha mtafanya mkutano wa hadhara? Na nani atahutubia?
Inamaana mnapitia nyerere road...makongoro rd...pale nera...mpaka furahisha au mnapitia njia za kule juu kwa RC na sokoutore reginal hosp na mnashukia nera ama?
 
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.

Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.

Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".

Sasa hiyo itakuwa definition ya CCM au Mafisadi au wote kwa pamoja!vipi yakiitwa maandamano inakuwa kama msumari unaochoma kotekote!pole sana !!
 
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.

:decision:maandamano Ndo njia ya kuwashinikiza waliopo madarakani kuleta hzo hospitali na barabara Je unafikiri serikali ya ccm inaweza fanya ki2 bila shinikizo???:decision:
 
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.

Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.

Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".

Na Baado. mtatafuta definition nyingi saana hata mkitaka tafuteni meaning...
 
Back
Top Bottom