Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!

Kwa hiyo tuachane na maandamano!Dowans walipwe,mafisadi waendelee kupora rasilimali za nchi,sisi tuwe tunaamasisha tu maendeleo,rasilimali zetu zitalindwa na akina Rostam na wageni wengine kutoka nje!!Sipendi kuungana na ujinga huu!msitufanye wajinga,rasilimali za nchi yetu tutazilinda wenyewe!!
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Maendeleo yapi ndugu yangu? umeme hakuna, matatizo yanazidi mpaka utosini siku hadi siku... Wewe ndiye hutaki maandamano, kwa uelewa wako mdogo huwezi elewa umuhimu wa maandamano haya. hivyovyote barabara,shule na hospitali vitapatikana baada ya mabwege kama nyinyi kuelimika japo kwa elimu ya watu wazima
 
we unataka hawa viongozi wetu wanyamaze ili mambo yaishe.ok mbona kule kaskazini kuna kila kitu ila warabu wanaandamana tena bila kibali
 
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.
 
Fedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
 
Andamaneni halafu kesho asubuhi au wiki ijayo mtuambie hayo maandamano yameleta mabadiriko gani?
Sio mnaandamana kila siku na hakuna kinachobadiria lakini bado mnaandamana tena na tena na tena.
Kuwa insane maana yake ni " to do the same thing again and again and then somehow expect different results". Mkiandamana kila siku na hakuna kinachobadirika mjue mko insane.
 
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.

Walala hoi wanatembea kwa miguu nyinyi mko ndani ya gari,
 
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.

Na hiyo ndiyo achievement pekee mtakayoipata toka kwenye hayo maandamano; kushangiliwa na watu "wa kawaida".
 
Fedha iliyotumika kwa ajili ya haya maandamano ingewafaa sana wakazi wa GONGO LA MBOTO, maslahi ya Taifa kwanza.
nYIE WAJINGA MABOOM YANALIPUKA KWA UZEMBE WENU HALAFU MNATULETEA UPUMBAVU WENU HAPA PUMBAVU ZENU CCM! n
 
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.
Watendeeni wema watanzania na wao wataendelea kuwapenda na kukumbuka mema mliyowafanyia hata mtakapokufa wataendelea kuwakumbuka!
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Kwenye hapo penye rangi nyekundu
Fedha zote ambazo zingetumika kufanya hivyo vitu vyote viwe bora kwa manufaa ya wananchi zinatumiwa ovyo kwa mfano: Kulipa dowans, kulipa makampuni hewa (deep Green, merameta, kagoda n.k). Wewe unaongelea kutoka wapi?
 
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.

She might be a good predential candidate for the future!! Just thinking on the way how she fullfills her position and with the record on the last year's election!
 
Back
Top Bottom