Gamba Jipya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 401
- 80
CHADEMA sio CCM tumeona ilivyojengwa na jinsi gani wamezitumia rasilimali zetu kwa ajiri ya kuendeleza matubo yao na familia zao(UFISADI)Kwa ziara za kwenda nje na kuwakumbuka wananchi wakati wa uchaguzi kwa kuwazadia walalahoi pea za khanga fulana na pilau.Utakijengaje chama kwa kukaa Dar na kutanua.HAMA KWELI CCM KICHEKESHO HAWA VIWAVI ILIOWATUMA HAPA JAMVINI KUWATEA HAWANA HOJA WANAKURUPUKA .
Hatuwezi kuwekeza raslimali zetu kwenye siasa wakati wote, kodi zetu hizi wanazopeana kama posho ya maandamano ya kutalii mikoani zingeweza kusaidia katika kuleta maendeleo kwa jamii ya watanzani.