Kumbe unabisha wakati ukweli unaujua. Akhsante sana. Ukiongea tena zaidi ya hapa utaharibu, nakushauri ukae kimya ndugu umeongea point nzuri kuliko point zote zilizotolewa kwenye thread hii. Big up.
Ruzuku hii inatumikaje ndio concern yangu na Watanzania masikini wa nchi hii ambao baadhi wanaandamana huko Mbeya bila hata kikombe cha chai tangu asubuhi ya leo na hata kesho baada ya maandamano haya.