Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

peoples ignorance is not peoples power.....! peoples power is peoples fulfilling the responsibilities
 
maandamano yamekatazwa Arusha ila i real wish ningekuwa mm ndo Mboye,hi inchi co ya wendawazmu majuha mafala na mafsad pekee yao hi inch ni ya kwe2 wote,hi kutunyima kla aina ya hak zetu sasa ni too much wanatuona ss ni wajnga kwel 7bu ni huu upole wa kjnga 2lionao.watz wamezoea shda kubwa wanaloweza ni kufumania kuhudhuria matamasha ya bongo fleva kulogana kusengenya na kurap pumba umbeya.**** THE POLICE,**** CCM,**** TANZANIA,**** UA GOVEMENT N **** U TO KWA KUSUBR FLAN ALETE MABADILIKO SHAME ON U PEOPLE. NILPAPENDA SANA TANZANIA PAMOJA NA WA2 WAKE LKN SS NAPACHUKIA KINYAMA
 
Hakikisha unaweka kumbu kumbu through picture kwa kila linalotokea mkuu.
 
mpaka kieleweke mwaka huu....soweto and shapville massacre....haki haiji hivi hivi...viva cdm
 
Andengenye aliruhusu hayo maandamano, shida ni shemeji wa Jk IGP mwema ndiye ameyafuta......
 
Andengenye aliruhusu hayo maandamano, shida ni shemeji wa Jk IGP mwema ndiye ameyafuta......

Hakuna kitu hapo, Andengenye aliyaruhusu ili kujikosha kwa wananchi baada ya mashambulizi makali aiozuia mkutano mwishoni mwa dec.

Sasa akaona amtumie mkuu wake ii asionekane mbaya, kwani aliyetoa taarifa za "kiintelijensia" kwamba kuandamana kutakuwa na tishio la amani ni nani kama sio andengenye? aliyemwambia mwema kwamba hali ya usalama mkono arusha bado ni tete ni nani kama sio andengenye?
 
polisi wa nchii wajinga sana wanalala kwenye mabanda ya mabati wanaona sawa. wametokea watu wa kuwatetea wanaona sio sawa .mwisho utafika na chadema wataongoza nchi hii hii
 
I hate this Andengenye puppet!...!Majitu yako na profession zao lakini wanapelekeshwa na wanasiasa...
Hivi kazi ya polisi ni kulinda amani au kutumikia wanasiasa?...
Syphilized minded...YOU aNDENGENYE!
 
Huo ndio uzuri wa waTZ wakibadilika. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
watu waingie barabarani wala wasiogope ili dunia iuone uozo na ufisadi wa serikali hii ya kiguberi.
 
I hate this Andengenye puppet!...!Majitu yako na profession zao lakini wanapelekeshwa na wanasiasa...
Hivi kazi ya polisi ni kulinda amani au kutumikia wanasiasa?...
Syphilized minded...YOU aNDENGENYE!

Pole kiongozi wangu, najaribu kuiona hasira yako katikati ya mistari.

Lakini hakuna namna hawa polisi wetu wapuuzi wakubwa kabisa, wakisikia maandamano ya amani wanalundikana mjini na mabomu na risasi za moto lakini wakiambiwa kuna majambazi mahali fulani hawaonekani kabisaa hadi wananchi wajitolee mhanga kupambana kwa mawe na marungu ndipo utawaona na miland cruiser yao mbio mbio, mi siyapendi kabisa haya mamtu.
 
kama huna cha kuchangia ni bora ukae kimya, nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria!

Mdau usifanye hivyo unamkosesha uhuru wake wa kutoa maoni. Hebu tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya wengine na kuvumiliana! Samahani kama nimekukwaza huu ni mtazamo wangu
 
Mdau usifanye hivyo unamkosesha uhuru wake wa kutoa maoni. Hebu tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya wengine na kuvumiliana! Samahani kama nimekukwaza huu ni mtazamo wangu

Kumwacha mtu aongee upuuzi si kuvumilia kama unavyodhani. Ni kuunga mkono ujinga na upuuzi. Kuna nyakati "maoni" ya kipuuzi yanatakiwa kukemewa na wakati wa kufanya hivyo ni huu. Tunajenga nchi yetu bwana, kama umekata tamaa, bahati mbaya kwako. "Samahani kama nimekukwaza huu ni mtazamo wangu"!!!
 
Back
Top Bottom