Maandamano ya CCM Singida Thibitisho la Kifo Chake

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Leo nimeona CCM wakifanya Maandamano Singida wakiwa Katika Ziara ya keelezea Kujivua Gamba

Kwa Nilichokiona Katika yale Maandamano hakika naweza Sema kwamba Kweli CCM ni Chama Kikongwe na Wanachama wake wengi ni Vikongwe na Kutokana na Hilo KINAELEKEA Kaburini.

Buriani CCM
 
Ni kweili sisiemu kitaalam it is gasping,tutazika si muda mrefu,kwa haeri sisiemu buriani magamba!
 
HUKU NI KuSHUSHA kabisa heshima ya forum hii, CCM wanawapokea Sekretarite yao kesho sasa hayo maandamano ya wapi? Khaaaaaaa inatia kichefuchefu unatufurahisha hapa kwa uongo na uzushi. Kwaheri CCM, RIP CCM
 
Hayo ni mawazo mafupi ya mfa maji
Buriani CCM
pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino
 
Vipi safari hii hawakuwapata wanafunzi wa shule za msingi kujazia idadi? ...au walikua likizo??
 
Sekretariat ina enda Singida kesho naona maandamano hayo ni ya nini? Na kwa taarifa zilizopo wao watakua na mkutano wa hadhara na sio maandamano! Pole na Uongo wa Mchana kweupe ndani ya JF!
 
Ni kweili sisiemu kitaalam it is gasping,tutazika si muda mrefu,kwa haeri sisiemu buriani magamba!

Dua la kuku! Sisiemu wanaongoza kwa kupata wabunge wengi wa majimbo chadema mna wabunge wa majimbo 23 wao 188 sasa dalili za kuingusha ni maandamano mnayofanya? CCM sio ya kuanguka mapema hivyo!
 
pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino

Hiyo miaka 100 watakuwa wanaitawala familia yako not otherwise.
 
HUKU NI KuSHUSHA kabisa heshima ya forum hii, CCM wanawapokea Sekretarite yao kesho sasa hayo maandamano ya wapi? Khaaaaaaa inatia kichefuchefu unatufurahisha hapa kwa uongo na uzushi. Kwaheri CCM, RIP CCM

Mkuu wangu Sijatunga hizi Habari nimeziona Mwenyewe kwenye Taarifa ya Habari, nimeona CCM wakiandama lakini wengi wa Waaandamanaji ni Vikongwe
 
Narudia tena CCM wameongoza Maandamano ya Wamama na Vikongwe na Mmoja wa waliohutubia ni James Lembeli Taarifa ya Habari ITV Saa Mbili Usiku
 
Sekretariat ina enda Singida kesho naona maandamano hayo ni ya nini? Na kwa taarifa zilizopo wao watakua na mkutano wa hadhara na sio maandamano! Pole na Uongo wa Mchana kweupe ndani ya JF!

Kweli CCM imepoteza Mvuto hata Miongoni mwa Wanachama. Wenzenu CDM wanafanya Maandamano Mbeya na hata Bibi yangu kule Mwanza anafahamu leo hii Wana CCM wa JF hamna habari kwamba Chama chenu Kimefanya Maandamano?

Kweli CCM ni chama Kinachokufa
 
Sekretariat ina enda Singida kesho naona maandamano hayo ni ya nini? Na kwa taarifa zilizopo wao watakua na mkutano wa hadhara na sio maandamano! Pole na Uongo wa Mchana kweupe ndani ya JF!

Nimewaona kwenye ITV. Badala ya kuonesha nguvu ya umma sumbawanga wakaonesha watu wasizidi mia Singida. Walikuwa wanaandamana kuunga mkono maamuzi na NEC kuvua gamba
 
Asante sana Gurudumu, Nimegundua kwamba wana CCM wa JF wako Busy na Pipoz power hata hawafuatlii Porojo za Kujivua Gamba

CCM NI CHAMA KINACHOKIMBILIA UMAUTI KWA KASI YA AJABU
 
Narudia tena CCM wameongoza Maandamano ya Wamama na Vikongwe na Mmoja wa waliohutubia ni James Lembeli Taarifa ya Habari ITV Saa Mbili Usiku

Sekretariet inaenda kesho Singida! Na sekretariat haifanyi maandamano itafanya mikutano ya hadhara!
 
Ilikuwa ni vibibi na vibabu vikongwe vimechoka mno, na hali zao za maisha zionasikitisha mno, na wanaonyesha wazi hawajapata mlo wa mchana!
CCM ibn MAGAMBA wanatesa watu sana!
 
Asante sana Gurudumu, Nimegundua kwamba wana CCM wa JF wako Busy na Pipoz power hata hawafuatlii Porojo za Kujivua Gamba

CCM NI CHAMA KINACHOKIMBILIA UMAUTI KWA KASI YA AJABU

Mlisema hivyo hivyo 2010 mkaambulia wabunge 23! CCM 189
 
Back
Top Bottom