Maandamano UDSM sasa yaongozwa na 'AL-SHABAAB'?

sio kupuuza matatizo, madai yao hayana msingi.
Hakuna chuo nchi hii amabacho wanafunzi woote wamepewa mikiopo.
Sasa nao wakisema waandamane itakuwaje?

sio Tanzania tu. Nchi gani wamefanikiwa kuwapa wanafunzi wote wa vyuo vikuu mkopo.

Hawa bado ni watoto, pia ni wavivu wa kufikiria.
 
Baada ya wanaharakati kuwekwa ndani, wamejitokeza vijana wengine wenye nguvu na utashi kuongoza maandamano hayo, kikosi hicho kinaongozwa na kijana machachari ambaye amejipa jina la ALSHABAAB kijana huyo amesikika akisema "maboko na mkandala kama mnataka kufukuza wanafunzi, mnifukuze mimi kwanza.

mimi Alshabaab niko tiyari kufukuzwa, niko tiyari kufungwa Ikibidi kufa nikiwatetea wenzangu walioko maabusu" kijana huyo amesikika akisema. Kijana huyo inasemekana anatafutwa na polisi kwa kujiita Alshabaab. Hadi sasa hali ni mbaya, polisi walivamia na kutawanya wanafunzi, maeneo yote ya chakula yamefungwa na masomo hakuna.

Hiyo ni cha mtoto! Subirini yajayo kwani itaweka historia hapa KISIWA CHA AMANI na bila shaka itakuwa FUKUFUKU la WAFU na bila shaka siku si nyingi wapendwa!
 
nasubiri kwa hamu vuguvugu hilo la mabadiliko,nitakua front line!
 
Guyz,
Naombeni mnielewe, msione kama mimi napinga kila kitu. Na mimi nilisoma kwenye chuo hicho hicho na migomo ilikuwepo. Ukijaribu kufanya analyis ya migomo ya miaka hii, yote ni yakitoto, kwanza hawapo organized. Wanajigomea tu, hawana common objective! Wanaogoma ni kikundi tu cha wanafunzi. Migomo imekuwa inafanywa kila siku kudai vitu ambavyo hata havina msingi. Haipose threat yoyote kwa serikali. Miaka yetu ilikuwa ukisikia chuo kikuu wamegoma(miaka hiyo kilikuwa kimoja tu) kila mtu alikuwa anatetemeka. Siku hizi imeshakuwa routine! Tumeshaona ni kitu cha kawaida, ndio maana mwaka jana UD waligoma 3 dayz mfulululizo lakini chuo hakikufungwa wakati kisheria ingetakiwa kifungwe!
 
wewe hukusoma hapo..unaganga njaa tu
 
imekaa vemaaa,NATO watakuja si muda mrefu kutugaia silaha tulianzishe la kilibyalibya..Agggrrrrh
 
Guyz,
Naombeni mnielewe, msione kama mimi napinga kila kitu. Na mimi nilisoma kwenye chuo hicho hicho na migomo ilikuwepo. Ukijaribu kufanya analyis ya migomo ya miaka hii, yote ni yakitoto, kwanza hawapo organized. Wanajigomea tu, hawana common objective! Wanaogoma ni kikundi tu cha wanafunzi. Migomo imekuwa inafanywa kila siku kudai vitu ambavyo hata havina msingi. Haipose threat yoyote kwa serikali. Miaka yetu ilikuwa ukisikia chuo kikuu wamegoma(miaka hiyo kilikuwa kimoja tu) kila mtu alikuwa anatetemeka. Siku hizi imeshakuwa routine! Tumeshaona ni kitu cha kawaida, ndio maana mwaka jana UD waligoma 3 dayz mfulululizo lakini chuo hakikufungwa wakati kisheria ingetakiwa kifungwe!

pumba tupu kama mmezoea mbona serikali yako jinga inapiga mabomu,mbona wamewaachia kama migomo imezoeleka? Hacha kubwabwaja utumbo.
 
Baada ya wanaharakati kuwekwa ndani, wamejitokeza vijana wengine wenye nguvu na utashi kuongoza maandamano hayo, kikosi hicho kinaongozwa na kijana machachari ambaye amejipa jina la ALSHABAAB kijana huyo amesikika akisema "maboko na mkandala kama mnataka kufukuza wanafunzi, mnifukuze mimi kwanza.

mimi Alshabaab niko tiyari kufukuzwa, niko tiyari kufungwa Ikibidi kufa nikiwatetea wenzangu walioko maabusu" kijana huyo amesikika akisema. Kijana huyo inasemekana anatafutwa na polisi kwa kujiita Alshabaab. Hadi sasa hali ni mbaya, polisi walivamia na kutawanya wanafunzi, maeneo yote ya chakula yamefungwa na masomo hakuna.
Kumbe wapo Dar»
 
Tutafika tu,kifo mbele mauti nyuma,hao iron boys tutakabiliana nao kwa mabom,risas na maji ya upupu na kutosoma kwao huko!
 
Vijana daini haki yenu hadi mwisho kwani magamba yanamaliza fedha kwa starehe zao na matibabu India.
 
Guyz,
Naombeni mnielewe, msione kama mimi napinga kila kitu. Na mimi nilisoma kwenye chuo hicho hicho na migomo ilikuwepo. Ukijaribu kufanya analyis ya migomo ya miaka hii, yote ni yakitoto, kwanza hawapo organized. Wanajigomea tu, hawana common objective! Wanaogoma ni kikundi tu cha wanafunzi. Migomo imekuwa inafanywa kila siku kudai vitu ambavyo hata havina msingi. Haipose threat yoyote kwa serikali. Miaka yetu ilikuwa ukisikia chuo kikuu wamegoma(miaka hiyo kilikuwa kimoja tu) kila mtu alikuwa anatetemeka. Siku hizi imeshakuwa routine! Tumeshaona ni kitu cha kawaida, ndio maana mwaka jana UD waligoma 3 dayz mfulululizo lakini chuo hakikufungwa wakati kisheria ingetakiwa kifungwe!

Toa uongo wako hapa mwaka jana wap wewe?
 
acha kudanganya ww ni graduate wa Moro muslim university
 
Kuna mijitu miongo eti mwaka jana udsm wamegoma 3 dayz chuo hakikufungwa ka changanya madesa itakua UDOM hajielew jamaa!
 
Mie mwenyewe nimegraduate hapo,migomo inakuwa na madai ya msingi sema wengi wa wanafunzi ni waoga na wasaliti.
 
ndugu huyo Rejao ni psychopathy tena chronic! He likes to hurt others feelings kwa post zake na pia ni aina ya mtu yule akiona hata mwenzie anakufa au ako na problem anafurahia, ndo orgasm yake hyo! And i thnk he cant be healed, labda m2 amgonge akafilie mbali akaishi na pepo wenzake huko akhera! I dis ths creature mbaya!
Hata kama ni chuki hii imezidi..kweli nimeamini asili haipotei! Hizi ndizo hulka zenu wamachame aka wapalestina!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom