Maandamano UDSM sasa yaongozwa na 'AL-SHABAAB'?

Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo

saluti mkuu.

Sidhani hata kama wanaweza kutofautisha siasa na sheria. Kuna haja ya kuwapa somoa.
 
Kila tusi lililopo duniani linakufaa sana mzee.

Ni kiumbe gani ambaye ulisoma buru, tena enzi zile za kupewa hadi mkate na nyama, halafu leo wadogo zetu, watoto typical wa mkulima na mfanyakazi/mtumishi wa umma anayelipwa chini ya 300,000/= kwa mwezi wanaokosa melezi ya mwl. uliyoyapata, wanadai haki kama wewe ulivyoikwapua leo hii unawaona wahuni?

Kama iliwezekana enzi zenu wakati hata haujaanza kuchimba madini , kwani mwl. aliamua kuyahidhi kuliko kukaribisha wez wataochimba kwa kutuhasarisha, leo hii tunachimba madini kila kona ya nchi lakini raha ya kusoma uliyoipata wadaogo zako wasiipate, huoni kuwa wewe ni mbinafsi?

Mimi kwa mawazo yangu, nilitegemea nyie ambao mlisomeshwa vizuri, kuwa nyuma ya hawa watanzania wanaoambiwa hakuna bure itakuwa ni mikopo ,na mikopo yenyewe hawapewi, wanaishia kujiuza manzese na kwingineko, wewe ungewasaidia na kuwaokoa kwa kuwatetea serikalini

ndugu huyo Rejao ni psychopathy tena chronic! He likes to hurt others feelings kwa post zake na pia ni aina ya mtu yule akiona hata mwenzie anakufa au ako na problem anafurahia, ndo orgasm yake hyo! And i thnk he cant be healed, labda m2 amgonge akafilie mbali akaishi na pepo wenzake huko akhera! I dis ths creature mbaya!
 
Wakuu UDSM huu moto Msiulegeze.. Mkisema m' laylow tu, basi watafukuzwa chuo watu wengi.
 
katika hilo, hoja sio jina bali dhamira yake ya kweli ktk kutetea haki. Mbona kuna watu wengi tu wanaitwa Ossama
 
madogo komaeni, wenzenu tulifanya hivyo hadi Marehemu Mkili akatolewa na akamaliza shule yake. Mwenyezi Mungu amrehemu.
 
]Utoto unashida[/COLOR] sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo


Rejao hata Libya mambo yalipoanza Gadaffi-RIP alisema wale waandamanaji ni sawa na panya tu hakukua na kitu cha kutisha
I wish ungekuja huku uswazi kwetu ndo ungejua unaishi Tanzania ipi......
 
Jamani,utamu wa ngoma uingie ucheze,pale chuoni kuna mambo na matatizo mengi yasiyovumilika.
Nawaunga mkono wanafunzi hao na nawashauri wasikate tamaa na wasimame kidete kudai haki zao!
 
Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo

kamfunze mama na baba yako ambao walishindwa kukufunza wewe ukiwa mdogo na kukuacha ukiwa galasa
 
Kwa umri wangu siwezi tena kwenda kusoma pale kozi za kugombania %! tayari nimeshapita huko.
Sidhani na wala sijawahi kusikia watu wanaofanya Master's degree na phd wakigoma. Wanaogoma wengi ni watoto, wana akili za kitoto.
Mawazo yao pale loan board kuna mahela yao na ni kitendo tu cha kwenda kuzichukua.

wewe ni mtoto tu,kwani mawazo yako ya kitoto.
 
AL-SHABAAB WAMEFANIKISHA KUWATOA. Kesho masomo..lakini akifukuzwa mtu kunji linaendelea kama kawa hadi kieleweke.
 
AL-SHABAAB WAMEFANIKISHA KUWATOA. Kesho masomo..lakini akifukuzwa mtu kunji linaendelea kama kawa hadi kieleweke.
DAH NAMPONGEZA SN AL- SHABAB KM C UJASIRI WAKE HW MADOGO WANGEENDELEA KUNYEA DEBE! Rejao we unasubiri nini kudai haki yako ya kushirikishwa kwenye mswada?
 
Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo
Kesho kutwa mwingine atajiita mungiki,wiki ijayo mwingine atajiita alquaeda, mwezi ujao mwingine atajiita taleban, mwisho wa siku wewe na wenzako ndio mtajua kuwa hili wanalolifanya wanachuo ni ukubwa na utagundua kuwa wanaoimba nyimbo za miaka 50 ya uhuru ndio wanafanya utoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom