amewalipua vichwa vyao
bado wanadhan watamaliza matatizo kwa kukamata watu, kupiga mabomu na risasi?
Huyu mzee tutamkumbuka sana!!
Bajet ya gesh ra porisi itaisha mapema sana kabra ya mwaka huu wa fedha haujaisha
kuwa alshababu sio mpaka uue, unapokuwa tayari kufa kwa manufaa ya wengi, unaweza kujifananisha na alshababu, kwa hamasa ya huyo dogo, mapinduzi yanaendelea
Kwanza Mimi siwapendi Al-Shabab maana ni Magaidi hawana Ubinadamu kabisa hivyo hata mtu akijiita hivyo jua ni wale wale waliokunywa uji Wa Mgonjwa.
Utajiitaje Al shabab....
Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo
Kwa umri wangu siwezi tena kwenda kusoma pale kozi za kugombania %! tayari nimeshapita huko.Huu ndo uwezo wako? unataka kuniambia wanafunzi wote wa UDSM ni wenetu na wadogo zetu? Ikitokea kesho na kesho kutwa Rejao unaenda kupiga kozi fulani pale utaingia kwenye kundi la wenetu na wadogo zetu?
Utajiitaje Al shabab....
huyo anayejiita Alshabab, asubil kinachomfuatia atasimulia hadi wajuu zake..amekosa jna jngne la kujiita la watu wanaharakati?? Mbona meng sn na walikuwepo na bdo wapo...
Naona wewe hata hujui tofauti kati ya mgomo na maandamano. Hebu niambie hayo maandamano ya hiyo miaka uliyoitaja yalitokea wapi na yakaishia wapi?jana nilikupa faaida za maandamano, nilikurejesha mwaka 2006/2007 mpaka 2008/2009, sikuona ukicoment. Maandamano ndiyo yamekuwa mwarobaini japokuwa kuna baadhi inawagharimu. kwa mwa
Kwa umri wangu siwezi tena kwenda kusoma pale kozi za kugombania %! tayari nimeshapita huko.
Sidhani na wala sijawahi kusikia watu wanaofanya Master's degree na phd wakigoma. Wanaogoma wengi ni watoto, wana akili za kitoto.
Mawazo yao pale loan board kuna mahela yao na ni kitendo tu cha kwenda kuzichukua.
Naona wewe hata hujui tofauti kati ya mgomo na maandamano. Hebu niambie hayo maandamano ya hiyo miaka uliyoitaja yalitokea wapi na yakaishia wapi?
Baada ya wanaharakati kuwekwa ndani, wamejitokeza vijana wengine wenye nguvu na utashi kuongoza maandamano hayo, kikosi hicho kinaongozwa na kijana machachari ambaye amejipa jina la ALSHABAAB kijana huyo amesikika akisema "maboko na mkandala kama mnataka kufukuza wanafunzi, mnifukuze mimi kwanza.
mimi Alshabaab niko tiyari kufukuzwa, niko tiyari kufungwa Ikibidi kufa nikiwatetea wenzangu walioko maabusu" kijana huyo amesikika akisema. Kijana huyo inasemekana anatafutwa na polisi kwa kujiita Alshabaab. Hadi sasa hali ni mbaya, polisi walivamia na kutawanya wanafunzi, maeneo yote ya chakula yamefungwa na masomo hakuna.
yupi Bigilita?
Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo
Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo