Maandamano Tena: Safari hii wanafunzi wa sekondari

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
:flame:Nilikuwa hapo karibia na ofisi ndogo ya CCM Lumumba majira ya saa 7 mchana nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa msingi na sekondari wanaandamana wakiwa wamebeba mabongo yakitaka nauli za daladala zishuke. kitu ninachoona ni kuwa kama mtu unataka upate maslahi binafsi usithubutu kugombea uongozi kwa TZ ya leo. Kama watoto hawa wanaanza kuhoji mambo leo wakifikisha miaka 18 utaweza kuwapa blabla za CCM ni baba na mama wakubali? Hiki ni kizazi chakimapinduzi! Watch out plzzzzzzzzzzzzzz.:pray:
 
At the very same time nilikuwa hapohapo Lumumba,nikawasimamisha na kuwauliza, plan yao ni kwenda Ikulu, walipofika mahakama ya mnazi mmoja polisi (tigo) wakawasimamisha na kuwauliza hawakuelewana kiswahili wakatokomea zao

wanasema nauli ya sh. 150 is too much for their parents.........

I think they are sending a message to other people that they should not keep silent!
 
Weka picha tujionee sisi tulio mbali
 
Who are the people, are you not among the people?.
 
...Nakubaliana na waandamanaji! Gharama za maisha zimepanda sana, ikiwemo nauli za daladala
 
:flame:Nilikuwa hapo karibia na ofisi ndogo ya CCM Lumumba majira ya saa 7 mchana nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa msingi na sekondari wanaandamana wakiwa wamebeba mabongo yakitaka nauli za daladala zishuke. kitu ninachoona ni kuwa kama mtu unataka upate maslahi binafsi usithubutu kugombea uongozi kwa TZ ya leo. Kama watoto hawa wanaanza kuhoji mambo leo wakifikisha miaka 18 utaweza kuwapa blabla za CCM ni baba na mama wakubali? Hiki ni kizazi chakimapinduzi! Watch out plzzzzzzzzzzzzzz.:pray:

hapo nilipopigia mstari ndio penyewe haswaaaaa!!! nina wazo la kuwashawishi vijana wa CHADEMA kufikiria kupinga marupurupu mengi ya kibunge kwamba yanaharibu maan nzima na taswira ya bunge letu tukufu??? watu wamekuwa wakipigania kwenda MJENGONI kwa ajili ya kutafuta mitaji na si kuhudumia umma!!! nashauri mshahara wa mbunge uwe sawa na wa UNIVERSITY PROFESSOR. tumjue mwanasiasa mwenye mapenzi mema na taifa letu tofauti na ilivyo sasa!!
 
Huo bado ni mkubwa ukizingatia kazi zao nyingi ni kusafiri hapa na pale hivyo kujikusanyia Per diem za kutosha. Mshahara wa Mbunge ungefaa uwe sawa na wa Mkurugenzi wa Halmashauri
 
:flame:. kitu ninachoona ni kuwa kama mtu unataka upate maslahi binafsi usithubutu kugombea uongozi kwa TZ ya leo.:pray:

Mpaka ifike 2015 (kama itafika!) naona wachakachuaji watakuwa wamepata somo la sintarudia! wee acha kabisa biashara ya kukimbilia ikulu!!
 
Huo bado ni mkubwa ukizingatia kazi zao nyingi ni kusafiri hapa na pale hivyo kujikusanyia Per diem za kutosha. Mshahara wa Mbunge ungefaa uwe sawa na wa Mkurugenzi wa Halmashauri
Hapana uendane na elimu ili std seven wasigombee hawana mchango wowote bungeni.
 
:flame:Nilikuwa hapo karibia na ofisi ndogo ya CCM Lumumba majira ya saa 7 mchana nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa msingi na sekondari wanaandamana wakiwa wamebeba mabongo yakitaka nauli za daladala zishuke. kitu ninachoona ni kuwa kama mtu unataka upate maslahi binafsi usithubutu kugombea uongozi kwa TZ ya leo. Kama watoto hawa wanaanza kuhoji mambo leo wakifikisha miaka 18 utaweza kuwapa blabla za CCM ni baba na mama wakubali? Hiki ni kizazi chakimapinduzi! Watch out plzzzzzzzzzzzzzz.:pray:

INAMAANA NA HUKU KUNA CHADEMA ?? UTAISIKIA MPUUZ ANASEMA WAMECHOCHEWA NA CHADEMA HAOO!

NYI NYI EMU (ulimi wangu na nafsi yangu vinapata ukakasi kijiweka nafsi moja jina la hicho chama cha mafisadi, bora kuwaita NYI NYI eMU ) wamelewa wanashindwa kusoma nini wananchi wanataka. 2015 is very far...karibu tutasikia anguko.
 
hule mradi wa mabasi ya wanafunzi uliishia wapi jamani?hii nchi kwa mipango ni hodari sana,njoo kwenye utekelezaji sasa!mpaka ipite karne.nawaunga mkono waandamanaji dhidi ya serekali dhalimu,wao nikulinda mafisadi tu na wala sio watoto ambao ni tafa lijalo
 
Watoto vizuri mudai haki zenu nchii hii ilisaini na kuridhia mkataba wa watoto wa Kaki za mtoto ,Ewura haiwezi kuamka na kubandika bei kiholela namna hii huku wakijua wananchi tuko hoi,mishahara midogo,maisha yamepanda jamani tukimbilie wapi
 
:flame:Nilikuwa hapo karibia na ofisi ndogo ya CCM Lumumba majira ya saa 7 mchana nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa msingi na sekondari wanaandamana wakiwa wamebeba mabongo yakitaka nauli za daladala zishuke. kitu ninachoona ni kuwa kama mtu unataka upate maslahi binafsi usithubutu kugombea uongozi kwa TZ ya leo. Kama watoto hawa wanaanza kuhoji mambo leo wakifikisha miaka 18 utaweza kuwapa blabla za CCM ni baba na mama wakubali? Hiki ni kizazi chakimapinduzi! Watch out plzzzzzzzzzzzzzz.:pray:

atleast wangeimba nyimbo za ukombozi kama vile peopleeeezzzz!!!!! wangeona cha moto, mkwere hakawii kutuma jeshi la mabomu
 
Hongera wanafunzi kwa kuonesha umma kuwa mmeikataa nauli ya kinyonyaji. Kweli mwaka huu mkwere analo. Mwl Nyerere alisema,Ikulu si mahali pa kukimbilia. Siku izi call tone yangu nimeweka wimbo wa Roma,ule wa "ikulu ni mahali patakatifu. Mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Tanzania kupageuza kuwa pango la walanguzi" waache sasa waliokengeuka wakome na ikulu ya kufoji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom