Maandamano ndio yanatusaidia pengine kuliko Bunge, magazeti.

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Serikali hii imekuwa ikiwatumia wabunge wa chama chake ambao ndio wengi bungeni kutetea hata mambo ambayo hayatuingii akilini. Wabunge hawa wanafumbia macho ukweli kwa vile wanafaidika na mfumo huu nyoyaji na wanaogopa kukosa ulaji.
 
Maandamano? Watakwambia unahatarisha amani na utulivu vilivyodumu kwa miaka 50! Ila hawatakwambia ni kwanini pamoja na amani yetu tumeshindwa kupata maendeleo yanayoenda sambamba na amani yetu. Rwanda pamoja na mauaji ya kimbali, wanaomba sight watu-overtake kimaendeleo. Kumchinja bata ni rahisi maana hapigi kelele kama kuku!
 
Serikali hii imekuwa ikiwatumia wabunge wa chama chake ambao ndio wengi bungeni kutetea hata mambo ambayo hayatuingii akilini. Wabunge hawa wanafumbia macho ukweli kwa vile wanafaidika na mfumo huu nyoyaji na wanaogopa kukosa ulaji.
Nakubaliana na wewe sulpha, tukienda kibungebunge hatutoki kamwe, maana wapiga kura ndo walewale wanaotetea ufisadi na hata mshipa wa aibu hawana, maana kama unavyosema masuala mengine yanayopitishwa bungeni hata kwenye akili ya mtu wa kawaida hayaingii, si unaona ushuru wa mafuta ya taa umepanda eti kuzuia uchakachuaji kwa hiyo hatuna teknologia ya kujuya mafuta yaliyochakachuliwa ispokuwa kwa kuongeza kodi ya bidhaa muhimu kama hii kwa mlalahoi!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom