Maandamano ndio chanzo cha umaskini Tanzania-Wazir

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Waziri wa Mambo ya ndani kwenye hotuba yake amesema maandamano yanayofanywa na CHADEMA ndio chanzo cha umaskin kwa mtanzania..........
 
Unategemea nini kutoka yeyote yule ndani ya magamba kama si kuongea pumba. Kikwete na Pinda walishindwa kulijibu swali hili sasa sijui yeye kapata wapi dhana hii kama Maboss wake walikuwa hawalijui jibu la swali kuhusu umaskini wa Watanzania.
 
hahaha! at last wamegundua chanzo cha umaskini! surprisingly it took them this long! since umaskini ni moja ya maadui wa taifa hili, weapons of mass distruction should be employed kufuta kizazi choote cha maandamano,then we shall live happily ever aftr! big up chama cha magamba!
 
CCM wapuuzi wakubwa! tutaandamana hadi mtoke madarakani. mtu km lukuvi job ndugai sijui wassira sijui pinda wote furusha tuu peooooopleeeeeeees poweeeeeeeeer!
 
Hawa magamba washagundua kuwa watz hawataki kuskia hata sauti zao hivyo wanajitahidi kupandikiza mbegu ya chuki kati ya cdm na wananch, wanachosahau ni kuwa watanzania wa sasa si wa enzi za nyuma
 
kumbe CDM kilikuwepo tokea uhuru! Nashukuru mh waziri kwa kunifumbua macho.
 
Hawa watu mbona wanatufanya sisi mazuzu tusioweza kutambua wala kutafakari masuala yahusuyo nchi yetu jamani?Ina maana anataka tuamini kuwa umasikini wetu umeanza mwaka huu?KWA NINI HATUTAKI KUCHUKUA HATUA ZA KUWAADHIBU HAWA WATU!
 
Ampgie simu Kikwete yupo ziarani newala amueleze chanzo cha umaskini kwamba ni CDM, si alkuwa hajui chanzo.
 
Napendekeza headline kwa magazeti ya kesho kiwe 'Breaking News - CCM yagundua chanzo cha Umaskini Tanzania'
 
Back
Top Bottom