Maandamano nchi nzima, yanaweza kutatua kero zetu?

Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?

Wewe ni fisadi kama hao. Mimi ninaona uhsino tena mkubwa, tena tutaandamana hadi kieleweke. Baada ya maandamano mambomyote yatarekebishika. Nguvu ya umma ni kubwa kuliko unavyofikiri. Nafikiri wewe si Mtanzania halisi.
 
Oya lini na wapi hii muhimu sana, wanaopinga ni waliojaa ubinafsi maana ubinafsi unaziba mishipa ya fahamu.
 
Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?

Mkuu kama hujui mwisho wa maandamano itakuwaje.....mifano ni hii hapa;
  1. Libya
  2. Misri
  3. Tunisia
  4. Malawi
  5. Ivory Coast
  6. Syria
Nadhani unajua yaliyowapata marafiki hawa wa JK wenye vichwa vigumu,wasiotaka kusikia,wasio na utashi wa kusoma majira na nyakati kama JK mwenyewe......nadhani kwenye orodha hii namba saba itakuwa ni Tanzania....
 
Ni hoja ya msingi kwa kweli. kwa kifupi ni kwamba Serikali imeshindwa kazi. Ni vyema wakaamua kusema ukweli kuliko kun'gan'gania. Labda strategy iwe ni kuwapa muda Serikali kuondoka yenyewe kwanza, na kama ikishindikana, ndipo watolewe kama wenzao wanavyotolewa. Na muda wenyewe wa kuwapa si miaka ni siku 14 tu zinawatosha sana. Ni vyema wakaelewa kuwa Watanzania wamevumilia na sasa wamechoka!
 
Kwa nini jamani tusiandamane siku ya uhuru kwa kigezo chakupinga madhimisho ya miaka 50 ya uhuru tufanya makusudi tunaomba kibali cha polis wa kikataa ndo po kuanzia wakuu tunalasimisha nawasilisha amka mtanzania
 
naungana na kila mmoja ikiwa maandamano yatakuwa na lengo la kumtaka raisi awachulie hatua kali, David jairo, lowassa, Rostam, Karamagi, Msabaha na Luhanjo na wafikishwa polisi wote kwa kuunga mkono Rushwa..Na sasa hivi kaingie mwingine katika kashfa za ufisadi, huyu Ludovic Utoh. Kitendo cha Utoh kumsafisha Jairo ni kashfa kwa nchi na dhalau kubwa kwa Umma wa kitanzania.

Kumtoa madarakani raisi Mubaraka na Yule mtunisia, ilikuwa raisi kwao , kwa sabau, ni waislamu walimtoa madarakani muislamu mwenzao. Kwa Tanzania hilo haliwezekani, na hatari yake ni kugawika kidini.

Ni vizuri kwa kuandamana kudai katiba mpya yenye kujenga kazi za Raisi, atakaye kuja tawala nchi hii, Bunge kuwa na nguvu za kupiga kura isiyokuwa na imani,na mahakama kuwa huru kama ilivyo kwa marekani Israel, na Ulaya EU. Halafu tena lazima kuandamana ili kuwapeleka polisi David Jairo na marafiki zake wote niliowataja hapo juu na kukomesha Tume za kisiasa kuingilia makosa Jinai na kujifanya wanaweza kuchunguza bila kushilikisha polisi.

Halafu lazima katika maandamano hayo,tulilie adhabu ya kifo itumike kwa wahujumu uchumi na kifungu kinachosema, Raisi asishitakiwe akimaliza madaraka yake ya ukampteni nacho kiondolewe. Hapo kweli tutajenga tanzania Imara kwa vizazi vyetu.

Maandamano haya yatapongezwa na dunia nzima , maana kashfa ya Richmond, Madini, EPA na Radda, meremeta zimetuhalibia heshima duniani kote. Na hii ni sababu ya katiba kutokuwa na nguvu . haya ndio maoni yangu mimi mlevi wa matango.
 
Ni hoja ya msingi kwa kweli. kwa kifupi ni kwamba Serikali imeshindwa kazi. Ni vyema wakaamua kusema ukweli kuliko kun'gan'gania. Labda strategy iwe ni kuwapa muda Serikali kuondoka yenyewe kwanza, na kama ikishindikana, ndipo watolewe kama wenzao wanavyotolewa. Na muda wenyewe wa kuwapa si miaka ni siku 14 tu zinawatosha sana. Ni vyema wakaelewa kuwa Watanzania wamevumilia na sasa wamechoka!

sidhani kama wanavichwa wakufanya maamuzi ya kuondoka baada ya hizo siku 14
 
Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
wewe inaonekana unafikiria kwa kutumia masaburi yako, hoja zimetolewa hapo na kusemwa tuondoe udini,usiasa lkn wewe bado unaona hali hii sawa kwa nchi yetu, uongozi uliopo umeshindwa kuleta maisha bora kwa watanzania sasa ni lazima tuchukue hatua kwani mkataba wetu na watawala ilikuwa kutuletea MAISHA BORA yako wapi sasa yanazidi kuwa MAISHA HOVYO
 
Hvi maneno bila actions inakuaje?hapa naona tunatwanga maji kwenye kinu.kila mtu anachangia alipo halfu akimaliza anaskilizia wht is going to hapen.worse enough no body tht is making a folow up.people should hv a place 2meet physicaly na kulianzisha otherwse we wl be wastng tme discusng ths issue.
 
Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
Wewe mwekezaji nani amekukaribisha JF? Kweli tumeingiliwa na jini!
 
Kwa nini jamani tusiandamane siku ya uhuru kwa kigezo chakupinga madhimisho ya miaka 50 ya uhuru tufanya makusudi tunaomba kibali cha polis wa kikataa ndo po kuanzia wakuu tunalasimisha nawasilisha amka mtanzania

wazo zuri sana.. naomba tusi liue wazo hili sasa tuendelee na moto hu huu na kuzidi kuwaelemisha watu umuhimu wa maandamano
 
Salaam ndugu wana JF:

Nimejaribu kupitia thread kwa haraka kidogo nami nimeona nitoe yangu niliyoyatafakari kulingana ninyi mnavyowaza:

1) kwanza kabisa inaonekana kabisa wadau wengi sana wanatoa maoni kwa mtazamo wa hasira na chuki juu ya kiongozi(Rais aliyeko madarakani)
2) kwa mtazamo huu wa hasira na chuki points nyingi zinazotolewa are not critical toward the decision to be taken na hii inatokana kuwa watu wengi wanatazama matatizo kwa mtaji wa kisiasa(hii ni hatari sana)

Ni ushauri wangu kwenu ninyi wadau kwamba yawezekana kabisa tusitumie maandamano kumtoa aliyepo madarakani rather tukatumia hili jamvi kutengeneza mkakati wa AMANI kabisa wa miaka 4 ijayo kuelekea uchaguzi mkuu namna ambavyo tunaweza kumpata mtu ambaye tunamwona ni strong then potential akatushikia hii nchi.

Binafsi naona kabisa lets find a source of the problems, hence solutions na siyo nani kashikilia nyadhifa fulani ili tumtoe. Tunaweza tukatumia nguvu nyingi sana ktk kufanikisha hili jambo na tusipate kile tunachokitaka. Please TANZANIAN lets use our MIND of peace.

"HUU NI MTAZAMO TU"
 
hiyo siku tuwaalike na aljazeera,cnn,bbc,sabc,rt, ili wakati tunapigwa risasi dunia ione nn kimeendelea mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa
 
Wana Jf wengi wana tabia ya kuhamasisha maandamano kwenye keybord. Siku yakianzishwa bado utawakuta kwenye keybord wanaanza kuulizia kinachoendelea kwenye maandamano, tena kwa ujasiri wataomba kuhabarishwa. Chadema tunaandaa maandamano kwa strategies ambazo zipo public, mikutano ya viongozi inakaa na kuandaa utaratibu wa jinsi gani maandamano yanatakiwa kuwa.

Watu wanaweza kuandamana bila hata kuwa na chembe ya chama chochote cha siasa, kinachotakiwa ni watu kuwa na determination ya kitu wanachotaka kufanya. Demokrasia ni gharama sana kupatikana. Lazima kujitoa mhanga. Nipo tayari kwa maandamano hata kesho.
 
Binafsi sioni kama maandamano hayo yatatufikisha mahali. Sanasana tutaishia mikononi mwa dola yenye kasumba ya internecine violence. Hata tukiandamana kwa amani vyombo vya dola kwa kutumiwa na dola vitayafanya maandamano kuwa ghasia na hawatasita kupata cha kusema na kuthibitisha semi zao kwa mujibu wa taarifa za ki intelijensia.

Na zikitokea ghasia tu kwa mujibu wa maandamano basi tujue tu kuwa tumewapa ccm uwanja wa kuendelea kutawala kwa kisingizio cha kipindi cha mpito kuelekea amani.

Wito wangu kwa watanzania wapenda amani ni kufa na katiba mpya yenye tija. Watz hatumudu ghasia maana zitatupeleka tusipotarajia
 
Wana Jf wengi wanatabia ya kuhamasisha maandamano kwenye keybord. Siku yakianzishwa bado utawakuta kwenye keybord wanaanza kuulizia kinachoendelea kwenye maandamano, tena kwa ujasiri wataomba kuhabarishwa. Chadema tuna andaa maandamano kwa strategies ambazo zipo public, mikutano ya viongozi inakaa na kuandaa utaratibu wa jinsi gani maandamano yanatakiwa kuwa. Watu wanaweza kuandamana bila hata kuwa na chembe ya chama chochote cha siasa, kinachotakiwa ni watu kuwa na determination ya kitu wanachotaka kufanya. Democrasia ni gharama sana kupatikana. Lazima kujitoa mhanga. Nipo tayari kwa maandamano hata kesho.
Nakuunga mkono mkuu tupo pamoja natamani tuliazishe siku ya uhuru
 
Binafsi sioni kama maandamano hayo yatatufikisha mahali. Sanasana tutaishia mikononi mwa dola yenye kasumba ya internecine violence. Hata tukiandamana kwa amani vyombo vya dola kwa kutumiwa na dola vitayafanya maandamano kuwa ghasia na hawatasita kupata cha kusema na kuthibitisha semi zao kwa mujibu wa taarifa za ki intelijensia.

Na zikitokea ghasia tu kwa mujibu wa maandamano basi tujue tu kuwa tumewapa ccm uwanja wa kuendelea kutawala kwa kisingizio cha kipindi cha mpito kuelekea amani.

Wito wangu kwa watanzania wapenda amani ni kufa na katiba mpya yenye tija. Watz hatumudu ghasia maana zitatupeleka tusipotarajia
Samahani kidogo mkuu tumia fact hili twende sawa usiogope tupo pamoja mkuu na huo mda wa mpito unaosema tunisia libya misiri awaku na uo muda/kipindi cha mpito sawa mkuu
 
Week mbili zilizopita niliongea na rafiki yangu dodoma akanambia bei ya sukari
@kilo moja ni sh.3000/= huko dodoma,....leo nimeenda kununua mwenyewe
hapa nilipo bei ni sh2400/= @kilo,....

Ndio maisha bora haya?
Mafuta ya taa nimeanza kukaa geto lita moja ilikua 650/=,...ikapanda kijinga jinga tu ikafika
2050/= afu serikali inasema imepunguza bei na inataka tufurahi,leo naenda kununua mafuta eti bei sh.1980/= kwa lita!!!

Hivi hayo ndo maisha bora na serikali sikivu wanataka tuifurahie?

Pamoja na hayo yote poa tu,MAOMBI YANGU NI BEI YA SUKARI IFIKIE 10,000/= kwa kilo,...
mafuta yafikie 7,000/= kwa lita (bila kujali mafuta gani)

yaani naomba mfumuko wa ajabu kweli wa bei utokee Tanzania,hapo kila mtanzania atapata akili maaana naamini
kila mtu ataguswa kwa namna moja au nyingine,...
maana kwa sasa maisha yalivo ukiongea watu wanasema ...

ACHA UVIVU WEWE PIGA KAZI,....Damn,twende tu,...i wish my prayers come true..

Mkuu Speaker,
Unayoyasema ni sahihi kabisa tena nashangaa cjui upo Dom maeneo gani maana mimi nipo Dom mjini but still mafuta ya taa lita 2500 na kwa Dodoma acha wakome sabbu wana wanajifanya wana ccm wazuri sana wacha wapate joto ya jiwe na uloyasema natamani yatokee hata kesho eti nna hasira sana na hii serikali ya ccm
 
Back
Top Bottom