Maandamano nchi nzima kwa siku 7 mfululizo kuanzia kesho!

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Wenyeji na wageni wote humu tuitishe maandamano nchi nzima kudai maslahi bora ya jeshi la polisi ikiwa ni pamoja na makazi bora, wapandishwe vyeo, marupurupu zana bora za kupambana na majambazi, kupewa fursa ya kwenda kusoma kuongeza elimu even abroad.. Maandamano hayo yafanywe na raia wote! Watatupiga MABOMU??? Karibu uchangie kwani wame2onea sana vya kutosha hasahasa hapa A-CITY.
 
This is bullshit. Hakuna haja ya kudai maslahi kwa polisi wauaji na wanaotumiwa na mafisadi kuzuia ukombozi. Tuombe polisi wazidi kuumia ili watie akili. Kama watakubali kuendelea kutumika kama mataahira nani atawasaidia zaidi ya wao wenyewe. Polisi wa Tanzania wanasifika kwa ufisadi rushwa na uuaji acha waipate. Maana mkipanga maandamano yenyewe inatumika kama mitaahira kuwapiga waandamanaji ambao kimsingi ni wakombozi. Mtaipata fresh na bado.
 
wao hawajatumulika kwa jicho la huruma kama unalowatazama nalo wewe.mbona wameletewa mabomu mengi ya machozi labda mtoa mada utueleze ulikuwa unataka wapewe zana gani zaidi ya hizo?
 
JF siku hizi hata thread zinazotishia amani ya nchi zinaachwa tu.
 
ARUSHAONE hisia yangu wewe ni afande, manjagu hamna roho ya imani hata kidogo na raia,ubinaadamu kwenu ni ishirini kwa mia. ingawa si wote, kwa hiyo hili unalolitaka labda mjipange wenyewe na watoto wenu.
 
Tukumbuke polisi Tanzania ni Force, siyo kama nchi nyingine polisi ni service. Kwahiyo hawa polisi Tanzania wanapopiga waandamanaji huwa ni command kutoka kwa vigogo wao (chama tawala) ki ukweli huwa hawapendi kupiga waandamanaji lakini hawana jinsi inawabidi wafanye hivyo huku mioyo yao ikibubujikwa machozi kwa uchungu wa kupiga ndugu zao, pia ajira hapa Tz si rahisi kupata hivyo inawalazimu kutii amri ili familia zao zipate kamshahara. Kama wewe ungekuwa polisi ungefanyaje?
 
JF siku hizi hata thread zinazotishia amani ya nchi zinaachwa tu.

Hivi Tanzania pana amani? Mimi nijuavyo Tanzania pana utulivu tu, amani hakuna, hata hii thread inazidi kupunguza sana amani ya Rejao
 
Hee hee heee! Hapo umewaweka njia panda askari polisi, watakuwa wanajiuliza sijui wazuie au waruhusu!
 
Waandamane wenyewe hiyo haituhusu kwani wakiongezewa masalahi watatumaliza bora wateseke wakose confidence
 
Hao waacheni na shida zao!
Wana shida lukuki ila kila kukicha kupiga wananchi sasa wakitatuliwa shida zao si watakuwa wanaua kabisa kulipa fadhila kwa wakubwa
 
Wenyeji na wageni wote humu tuitishe maandamano nchi nzima kudai maslahi bora ya jeshi la polisi ikiwa ni pamoja na makazi bora, wapandishwe vyeo, marupurupu zana bora za kupambana na majambazi, kupewa fursa ya kwenda kusoma kuongeza elimu even abroad.. Maandamano hayo yafanywe na raia wote! Watatupiga MABOMU??? Karibu uchangie kwani wame2onea sana vya kutosha hasahasa hapa A-CITY.
Siku nne tutakula wapi? Tulipe posho tuache shughuli zetu tuje kwenye maandamano yako
 
Tukumbuke polisi Tanzania ni Force, siyo kama nchi nyingine polisi ni service. Kwahiyo hawa polisi Tanzania wanapopiga waandamanaji huwa ni command kutoka kwa vigogo wao (chama tawala) ki ukweli huwa hawapendi kupiga waandamanaji lakini hawana jinsi inawabidi wafanye hivyo huku mioyo yao ikibubujikwa machozi kwa uchungu wa kupiga ndugu zao, pia ajira hapa Tz si rahisi kupata hivyo inawalazimu kutii amri ili familia zao zipate kamshahara. Kama wewe ungekuwa polisi ungefanyaje?
Ningepiga
 
Back
Top Bottom