maandamano mbeya lini?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
mwenye taarifa niambieni mbeya tutaandamana lini? halafu kama wenzangu tunakitaka kitengo cha information chadema kiwe kinatoa taarifa mapema. kinatakiwa kiwajulishe wanahabari ratiba mapema watu wajiandae. peoples power!
 
Mbeya tutafika tu huko si muda mrefu. Inatupasa kwanza kutathimini ufanisi wa maandamano hayo baada ya yale ya Kagera. Ili kubaini strategy nzuri zaidi ya kufikisha ujumbe sahihi kwa wapiga kura wetu nchi nzima juu ya udharimu wa CCM na viongozi wao. Hivyo Mbeya pozeni majeshi kwanza twaja huko si-muda mrefu. Nadhani Mwakyembe, Mwandosya nao wataungana nasi bila SHAKA.
 
Duh kasheshe.
 
Hivi Zito Kabwe na Shibuda wako wapi? Mbona wao haskiki? Au hawahusiki.
 
Back
Top Bottom